Wakenya wawili wamequalify kuenda Tokyo Olympics kukimbia mbio za 100 metres

Wewe ni mbumbumbu. Jifunze kiswahili kisha uje na argument za maana.
Ndio maana nakuuliza maana ya talanta you are just translating from Kiswahili to English.
You are not giving us the definition.

So my conclusion is, you are stupid.
 


Hii ni mada ya michezo, si angalau ungeleta mifano ya game ambazo Tz imebobea, we umeruka hadi startups...... Sasa huko ndo unafikiri ndo utakimbia.... Haya hii hapa ripoti ya mwaka huu kuhusu performance ya kila nchi kwenye startups

Kenya ni ya pili Africa nzima nyuma ya Sa





Kwa top 10 MiddleEast and Africa TZ haipo







Kwahivyo labda ungoje ripoti ya startup 2022 ndo uturingie



 
Hebu orodhesha michezo Tanzania imebobea.
 
Utamliza! 🀣 🀣 🀣
 
hongereni mbio za masafa sasa mmeona mmetosha mmeenda na kuwachachafya wajamaica na wamerkani sasa
Kuna wakati tulikubaliana na Jamaica kwamba tutafanya coach swapping from time to time, Coach wa masafa mafupi kutoka Jamaica waje Kenya kuwafunza macoach na wakimbiaji wa Kenya alafu na sisi tunatuma coaches wetu wa masafa marefu kufanya vivyo hivyo kule Jamaica...

--------------------------------------------------------------------

The Minister of Culture, Gender, Entertainment and Sport Olivia Grange says that Jamaica and Kenya have agreed to cooperate in the fields of sports, culture and heritage.

Grange says the agreement was finalised during the recent State visit of the President of Kenya Uhuru Kenyatta.

The minister signed the memorandum of Understanding (MOU) formalising the cooperation agreement with the Kenyan Cabinet Secretary for Sports, Culture and Heritage, Ambassodor Amina Mohamed.
Under the MOU, Jamaica and Kenya have agreed to cooperate in the organising of major sporting events in track and field, water sports, football, cycling, cricket, netball, boxing, tennis, golf, martial arts, basketball, rugby, and any other discipline that both countries may mutually decide upon.

Grange said: β€œJamaica is the sprint capital of the world and Kenya has a great reputation of producing some of the finest long-distance runners that we have ever known. I believe there is much that we can share not only in track and field, but in other sporting disciplines as well. And so we look forward to exchanges of coaches, administrators and physical education teachers; welcoming Kenyan athletes for training here in Jamaica among other initiatives which will benefit both of our countries.”

Jamaica and Kenya have also agreed to collaborate on sports science, the promotion of sports for people with special needs, and the implementation of anti-doping policies, procedures and practices within the World Anti-Doping Agency system.

 
Waniuliza mimi mkenya niorodheshe michezo ambayo TZ imebobea 😍 mi sijawahi kuwatambua kwa mchezo wowote!
Kwahiyo hiyo comment yako uliyoiweka hapo juu, ulikuwa umekunywa chang'aa!?
 
Haa! Tumequalify kwa mchezo mwengine ambao hatujawahi kupeleka timu kwa Olympics...
For the first time tutawakilishwa kwa beach volleyball !! Kawaida hua Nigeria, Morocco au algeria ndo hushinda lakini mwaka huu tumewachapa wote na kuwanyima nafasi..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…