joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mbunge wa Kenya aliyeripoti udhahifu wa serikali ya Kenya katika kupambana na maabukizi ya korona akamatwa na polisiKama sio kumtunukia sifa Mtakatifu Jiwe, Try this in Tz at your own RISK.
i.d.i.o.t.s.... yaani wamtamani mtu anayecheza kamari na maisha ya wananchi wake??Huyu jamaa anazungumza kwa hisia kali sana, amejitoa muhanga haogopi lolote, hapo kuna jamaa alimkaribia akashituka kidogo akidhani ni polisi amekuja kumcharaza bakora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wakenya hawajui wakiombacho, na wewe hujui thamani ya ulichonacho, hivi ulishasikia ule msemo unaosema "Nabii hakubaliki nyumbani kwake?", Yesu yalimkuta hayo kwa kusulubiwa na mafarisayo kama wewe.i.d.i.o.t.s.... yaani wamtamani mtu anayecheza kamari na maisha ya wananchi wake??
ndugu, kama upo Tanzania kwa sasa basi tambua kwamba wewe ni sampuli ya majaribio (experimental specimen on a petri dish) ambayo serekali ya Tanzania inaifanya vs Corona.
hao Wakenya hawajui wakiombacho!
Kama wakenya hawajui wakiombacho, na wewe hujui thamani ya ulichonacho, hivi ulishasikia ule msemo unaosema "Nabii hakubaliki nyumbani kwake?", Yesu yalimkuta hayo kwa kusulubiwa na mafarisayo kama wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
rais wa Tanzania hadi sasa amechukua hatua gani ya kimkakati kudhibiti Corona?Kama wakenya hawajui wakiombacho, na wewe hujui thamani ya ulichonacho, hivi ulishasikia ule msemo unaosema "Nabii hakubaliki nyumbani kwake?", Yesu yalimkuta hayo kwa kusulubiwa na mafarisayo kama wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mikakati aliyotumia ndio iliyofanya hadi leo Tanzania ina wagonjwa 14, hakuna vifo na maambukizi yanaongezeka kwa kasi ndogo sana, " Work in silence, let success be your noise".rais wa Tanzania hadi sasa amechukua hatua gani ya kimkakati kudhibiti Corona?
usituletee geresha za kuosha mikono kwani hilo kila mtu anajua.
Kumbe ninazungumza na poyoyo?, sikujua nisamehe sana.unathubutu kumfananisha yesu na jiwe ? au nabii ? , nenda utubu hii dhambi mnaojichumia nyie lumumba ni kubwa sana
jiwe hastahili hata kumtolea vyombo mezani yesu akija
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa anazungumza kwa hisia kali sana, amejitoa muhanga haogopi lolote, hapo kuna jamaa alimkaribia akashituka kidogo akidhani ni polisi amekuja kumcharaza bakora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
mikakati au neema ya Mungu? itaje mikakati.Mikakati aliyotumia ndio iliyofanya hadi leo Tanzania ina wagonjwa 14, hakuna vifo na maambukizi yanaongezeka kwa kasi ndogo sana, " Work in silence, let success be your noise".
Sent using Jamii Forums mobile app
Are you real sure Tanzania ina wagonjwa hao tu wa Corona?Mikakati aliyotumia ndio iliyofanya hadi leo Tanzania ina wagonjwa 14, hakuna vifo na maambukizi yanaongezeka kwa kasi ndogo sana, " Work in silence, let success be your noise".
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe Mungu yupo na watanzania pekee hawapendi wakenya?. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mikakati au neema ya Mungu? itaje mikakati.
of course mkakati mmojawapo naweza ku guess....nchi haina facility za kutosha za kupima Corona so idadi ya cases ina reflect uwezo wa nchi ku detect new cases. kama Burundi.
pathetic!!
Wakenya wengi wanatudharau sana aisee basi tu!Wakenya Magufuli ni Rais wa ajabu na wa hovyo kuwahi kutokea don't learn anything from him uchumi wenu utadorora vibaya sana.
Tanzania is a hell
So all Kenyans have jobs? Wakenya hawasoti making end meets?Bongo hakuna mtu anapata pesa?Wakenya Magufuli ni Rais wa ajabu na wa hovyo kuwahi kutokea don't learn anything from him uchumi wenu utadorora vibaya sana.
Tanzania is a hell people don't have jobs,watu wanasota, watu wana work hard ila hawapati pesa kibinafsi Simpendi Rais Magufuli.
hata Wataliano walikuwa na mentality hii ya ki Bashite before hell broke loose!Kumbe Mungu yupo na watanzania pekee hawapendi wakenya?. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Are you real sure Kenya ina wagonjwa na vifo hivyo walivyotangaza?, taarifa zinasema Kenya ina wagonjwa zaidi ya 200 ila serikali imeamua kutangaza kidogo kidogo ili watu wasishituke sana, zaidi ya wakenya 30 wameshakufa, ila serikali ya Kenya inaficha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Are you real sure Tanzania ina wagonjwa hao tu wa Corona?
Wanaona wajinga wanajisifia Magufuli huku hafanyi lolote kazi kupiga domo tu.Wakenya wengi wanatudharau sana aisee basi tu!
Wakenya wabawadharau watu wote weusi hapa africa, iwapo wao wenyewe kwa wenyewe wanadharauliana, unategemea nini?. Wakenya ni watu wa hovyo sana.Wakenya wengi wanatudharau sana aisee basi tu!