Wakenya wazidi kumtamani Magufuli, wamtaka Uhuru Kenya kujifunza toka kwake kupambana na Corona

Huyu jamaa anazungumza kwa hisia kali sana, amejitoa muhanga haogopi lolote, hapo kuna jamaa alimkaribia akashituka kidogo akidhani ni polisi amekuja kumcharaza bakora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

i.d.i.o.t.s.... yaani wamtamani mtu anayecheza kamari na maisha ya wananchi wake??

ndugu, kama upo Tanzania kwa sasa basi tambua kwamba wewe ni sampuli ya majaribio (experimental specimen on a petri dish) ambayo serekali ya Tanzania inaifanya vs Corona.

hao Wakenya hawajui wakiombacho!
 
Kama wakenya hawajui wakiombacho, na wewe hujui thamani ya ulichonacho, hivi ulishasikia ule msemo unaosema "Nabii hakubaliki nyumbani kwake?", Yesu yalimkuta hayo kwa kusulubiwa na mafarisayo kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wakenya hawajui wakiombacho, na wewe hujui thamani ya ulichonacho, hivi ulishasikia ule msemo unaosema "Nabii hakubaliki nyumbani kwake?", Yesu yalimkuta hayo kwa kusulubiwa na mafarisayo kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

unathubutu kumfananisha yesu na jiwe ? au nabii ? , nenda utubu hii dhambi mnaojichumia nyie lumumba ni kubwa sana
jiwe hastahili hata kumtolea vyombo mezani yesu akija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wakenya hawajui wakiombacho, na wewe hujui thamani ya ulichonacho, hivi ulishasikia ule msemo unaosema "Nabii hakubaliki nyumbani kwake?", Yesu yalimkuta hayo kwa kusulubiwa na mafarisayo kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
rais wa Tanzania hadi sasa amechukua hatua gani ya kimkakati kudhibiti Corona?

usituletee geresha za kuosha mikono kwani hilo kila mtu anajua.
 
Mikakati aliyotumia ndio iliyofanya hadi leo Tanzania ina wagonjwa 14, hakuna vifo na maambukizi yanaongezeka kwa kasi ndogo sana, " Work in silence, let success be your noise".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh jamaa kamwaga minerals sio mchezo, halafu mwisho kasema watu wana ogopa tu kusema, wanaweka hii kitu moyoni....beware Uhuru🙂

Huyu jamaa anazungumza kwa hisia kali sana, amejitoa muhanga haogopi lolote, hapo kuna jamaa alimkaribia akashituka kidogo akidhani ni polisi amekuja kumcharaza bakora[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikakati aliyotumia ndio iliyofanya hadi leo Tanzania ina wagonjwa 14, hakuna vifo na maambukizi yanaongezeka kwa kasi ndogo sana, " Work in silence, let success be your noise".

Sent using Jamii Forums mobile app
mikakati au neema ya Mungu? itaje mikakati.

of course mkakati mmojawapo naweza ku guess....nchi haina facility za kutosha za kupima Corona so idadi ya cases ina reflect uwezo wa nchi ku detect new cases. kama Burundi.

pathetic!!
 
Wakenya Magufuli ni Rais wa ajabu na wa hovyo kuwahi kutokea don't learn anything from him uchumi wenu utadorora vibaya sana.

Tanzania is a hell people don't have jobs,watu wanasota, watu wana work hard ila hawapati pesa kibinafsi Simpendi Rais Magufuli.
 
Kumbe Mungu yupo na watanzania pekee hawapendi wakenya?. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya Magufuli ni Rais wa ajabu na wa hovyo kuwahi kutokea don't learn anything from him uchumi wenu utadorora vibaya sana.

Tanzania is a hell
Wakenya wengi wanatudharau sana aisee basi tu!
 
Wakenya Magufuli ni Rais wa ajabu na wa hovyo kuwahi kutokea don't learn anything from him uchumi wenu utadorora vibaya sana.

Tanzania is a hell people don't have jobs,watu wanasota, watu wana work hard ila hawapati pesa kibinafsi Simpendi Rais Magufuli.
So all Kenyans have jobs? Wakenya hawasoti making end meets?Bongo hakuna mtu anapata pesa?
 
Are you real sure Tanzania ina wagonjwa hao tu wa Corona?
Are you real sure Kenya ina wagonjwa na vifo hivyo walivyotangaza?, taarifa zinasema Kenya ina wagonjwa zaidi ya 200 ila serikali imeamua kutangaza kidogo kidogo ili watu wasishituke sana, zaidi ya wakenya 30 wameshakufa, ila serikali ya Kenya inaficha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom