joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Hafanyi lolote wakati idadi ya maambukizi " is the lowest in EA", ulitaka awatume polisi wapige watu viboko kama alivyofanya Uhuru Kenyatta?Wanaona wajinga wanajisifia Magufuli huku hafanyi lolote kazi kupiga domo tu.
Zile story za uchumi wa Tanzania kukua kwa kasi miongoni mwa nchi tano hivi zimeishia wapi?
Nimekuuliza kuhusu Tanzania lakini au unaogopwa kufungulia kesi za uhujumu uchumi?Are you real sure Kenya ina wagonjwa na vifo hivyo walivyotangaza?, taarifa zinasema Kenya ina wagonjwa zaidi ya 200 ila serikali imeamua kutangaza kidogo kidogo ili watu wasishituke sana, zaidi ya wakenya 30 wameshakufa, ila serikali ya Kenya inaficha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika gani kama wagonjwa Corona TZ ni hao tu?Hafanyi lolote wakati idadi ya maambukizi " is the lowest in EA", ulitaka awatume polisi wapige watu viboko kama alivyofanya Uhuru Kenyatta?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hao pinga pinga fc wao huwa hupinga kila kitu wala usipoteze muda wako kubishana nao,Hafanyi lolote wakati idadi ya maambukizi " is the lowest in EA", ulitaka awatume polisi wapige watu viboko kama alivyofanya Uhuru Kenyatta?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza kuhusu Tanzania lakini au unaogopwa kufungulia kesi za uhujumu uchumi?
Yani mnaishi kwa hofu Magufuli amekuwa kama Mungu alafu eti mtake wakenya muwapelekee shetani LMAO!
Kenyatta kuanzia uvaaji wake, anavyozungumza na watu wakila rika, anavyoruhusu siasa safi na chafu uje umfananishe na mkoloni wenu huyo?
Kenya kuna uhuru wewe endelee kuishi jehanam na rais wenu
Not all Kenyans got jobs but most of them have, kuna viwanda all over kule, kuna uhuru wa biashara kule.So all Kenyans have jobs? Wakenya hawasoti making end meets?Bongo hakuna mtu anapata pesa?
Wewe una uhakika gani kama Kenya wagonjwa wa Corona na vifo ni hivyo tu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una uhakika gani kama wagonjwa Corona TZ ni hao tu?
Jibu hili swali
Data za UN zinaonyesha kwamba Kenya unemployment rate is the highest in Africa, at 42%, wewe hizi data zako umezipata wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Not all Kenyans got jobs but most of them have, kuna viwanda all over kule, kuna uhuru wa biashara kule.
Tanzania mtu anafanya kazi ya kupata 500K ila haipati anaishia kupata 100k ambayo ananunua cadet mbili na t-shirt moja imeisha hilo nalo ni li nchi au ushubwada?
See now you run out of good arguments, matusi ya nini sasa?Hahaha, Kenya kuna uhuru, labda ukitaka kuwa shoga ndio Kenya kuna Uhuru. Mwanaume unamsifia mwanaume mwenzanko uvaaji wake, kweli sio riziki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninakutakia maisha mema kaka yangu mpendwaSee now you run out of good arguments, matusi ya nini sasa?
Kumsifia mwanaume mwenzako ni makosa kwa minajiri ipi mbona dunia nzima inasifia uhodari na uvaaji wa watu kama Jay z, Gucci Money, Ronado na wengineo? Aisee kama ndio uko hivyo let's end this haraka
Hujui ulisemalo..naona unaongelea picha unayoiona akilini mwako...Norway, Dernmark, China, India, Marekani, Uk, France n.k watu wanalia kazi hakuna wewe unaongelea nchi gani hiyo ya ahadi.Not all Kenyans got jobs but most of them have, kuna viwanda all over kule, kuna uhuru wa biashara kule.
Tanzania mtu anafanya kazi ya kupata 500K ila haipati anaishia kupata 100k ambayo ananunua cadet mbili na t-shirt moja imeisha hilo nalo ni li nchi au ushubwada?
Yani wa Tz sijui mna nini mimi naishi America ni mwanafunzi tu na sina muda mrefu toka nije ila nina party time job tayari.Hujui ulisemalo..naona unaongelea picha unayoiona akilini mwako...Norway, Dernmark, China, India, Marekani, Uk, France n.k watu wanalia kazi hakuna wewe unaongelea nchi gani hiyo ya ahadi.
Kumbe Mungu yupo na watanzania pekee hawapendi wakenya?. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya Magufuli ni Rais wa ajabu na wa hovyo kuwahi kutokea don't learn anything from him uchumi wenu utadorora vibaya sana.
Tanzania is a hell people don't have jobs,watu wanasota, watu wana work hard ila hawapati pesa kibinafsi Simpendi Rais Magufuli.
Unapart time job ya kunawisha wazee na kuuza bidhaa kwenye malls...hizo kazi ata huku bongo zipo..utofauti Ni malipo tu..Yani wa Tz sijui mna nini mimi naishi America ni mwanafunzi tu na sina muda mrefu toka nije ila nina party time job tayari.
Hao ambao hawana kazi sababu yake unaijua?
Hizi ndio huwa mindset zenu hata sishangai.Unapart time job ya kunawisha wazee na kuuza bidhaa kwenye malls...hizo kazi ata huku bongo zipo..utofauti Ni malipo tu..
Kwani kuna jingine Mungu aliliagiza?
Mkakati wa kipekee uliochukuliwa na Tanzania ni kujipa imani potofu ya kuwa sisi ni tofauti na mataifa mengine, ya kuwa sisi tuna kiongozi asiyekuwa muoga na anaeamini sana katika Mungu (Mungu huyo huyo katika vitabu vyake amasa watu kukusanyika endapo kutakuwa na magojwa ya maambukizi ili kulinda wengine dhidi ya magonjwa hayo) kiasi cha kuhimiza watu wakakusanyike makanisani na kuomba ilahali uwezekano wa kuambukizana ni mkubwa. Kubwa zaidi Tanzania imejiimarisha kwa kuto kutoa takwimu rasmi ya waathirika aidha kwa kutokujua ama kwa kukusudia. Sijui kwa jitihada ipi kubwa mno iliyofanywa kiasi cha kuwa idadi yetu ni watu 14 kila siku ilhali nchi zilizochukuwa hatua stahiki hadi leo hii idadi ya waathirika inaongezeka.rais wa Tanzania hadi sasa amechukua hatua gani ya kimkakati kudhibiti Corona?
usituletee geresha za kuosha mikono kwani hilo kila mtu anajua.
Hongera mkuu, umempatia sawasawa.Unapart time job ya kunawisha wazee na kuuza bidhaa kwenye malls...hizo kazi ata huku bongo zipo..utofauti Ni malipo tu..
Na wewe unajidharau kwa sababu nyang'au wanakudharau? Ha ha ha.Wakenya wengi wanatudharau sana aisee basi tu!