Wakenya wazidi kumtamani Magufuli, wamtaka Uhuru Kenya kujifunza toka kwake kupambana na Corona

Wakenya wazidi kumtamani Magufuli, wamtaka Uhuru Kenya kujifunza toka kwake kupambana na Corona

Wanaona wajinga wanajisifia Magufuli huku hafanyi lolote kazi kupiga domo tu.
Zile story za uchumi wa Tanzania kukua kwa kasi miongoni mwa nchi tano hivi zimeishia wapi?
Hafanyi lolote wakati idadi ya maambukizi " is the lowest in EA", ulitaka awatume polisi wapige watu viboko kama alivyofanya Uhuru Kenyatta?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are you real sure Kenya ina wagonjwa na vifo hivyo walivyotangaza?, taarifa zinasema Kenya ina wagonjwa zaidi ya 200 ila serikali imeamua kutangaza kidogo kidogo ili watu wasishituke sana, zaidi ya wakenya 30 wameshakufa, ila serikali ya Kenya inaficha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza kuhusu Tanzania lakini au unaogopwa kufungulia kesi za uhujumu uchumi?
Yani mnaishi kwa hofu Magufuli amekuwa kama Mungu alafu eti mtake wakenya muwapelekee shetani LMAO!

Kenyatta kuanzia uvaaji wake, anavyozungumza na watu wakila rika, anavyoruhusu siasa safi na chafu uje umfananishe na mkoloni wenu huyo?
Kenya kuna uhuru wewe endelee kuishi jehanam na rais wenu
 
Hafanyi lolote wakati idadi ya maambukizi " is the lowest in EA", ulitaka awatume polisi wapige watu viboko kama alivyofanya Uhuru Kenyatta?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hao pinga pinga fc wao huwa hupinga kila kitu wala usipoteze muda wako kubishana nao,
Ignore them maana hadi sanitizer imiminiwe kwenye bongo zao ndio akili itawakaa sawa.
 
Nimekuuliza kuhusu Tanzania lakini au unaogopwa kufungulia kesi za uhujumu uchumi?
Yani mnaishi kwa hofu Magufuli amekuwa kama Mungu alafu eti mtake wakenya muwapelekee shetani LMAO!

Kenyatta kuanzia uvaaji wake, anavyozungumza na watu wakila rika, anavyoruhusu siasa safi na chafu uje umfananishe na mkoloni wenu huyo?
Kenya kuna uhuru wewe endelee kuishi jehanam na rais wenu

Hahaha, Kenya kuna uhuru, labda ukitaka kuwa shoga ndio Kenya kuna Uhuru. Mwanaume unamsifia mwanaume mwenzanko uvaaji wake, kweli sio riziki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So all Kenyans have jobs? Wakenya hawasoti making end meets?Bongo hakuna mtu anapata pesa?
Not all Kenyans got jobs but most of them have, kuna viwanda all over kule, kuna uhuru wa biashara kule.

Tanzania mtu anafanya kazi ya kupata 500K ila haipati anaishia kupata 100k ambayo ananunua cadet mbili na t-shirt moja imeisha hilo nalo ni li nchi au ushubwada?
 
Data za UN zinaonyesha kwamba Kenya unemployment rate is the highest in Africa, at 42%, wewe hizi data zako umezipata wapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, Kenya kuna uhuru, labda ukitaka kuwa shoga ndio Kenya kuna Uhuru. Mwanaume unamsifia mwanaume mwenzanko uvaaji wake, kweli sio riziki.

Sent using Jamii Forums mobile app

See now you run out of good arguments, matusi ya nini sasa?

Kumsifia mwanaume mwenzako ni makosa kwa minajiri ipi mbona dunia nzima inasifia uhodari na uvaaji wa watu kama Jay z, Gucci Money, Ronado na wengineo? Aisee kama ndio uko hivyo let's end this haraka
 
Ninakutakia maisha mema kaka yangu mpendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Not all Kenyans got jobs but most of them have, kuna viwanda all over kule, kuna uhuru wa biashara kule.

Tanzania mtu anafanya kazi ya kupata 500K ila haipati anaishia kupata 100k ambayo ananunua cadet mbili na t-shirt moja imeisha hilo nalo ni li nchi au ushubwada?
Hujui ulisemalo..naona unaongelea picha unayoiona akilini mwako...Norway, Dernmark, China, India, Marekani, Uk, France n.k watu wanalia kazi hakuna wewe unaongelea nchi gani hiyo ya ahadi.
 
Hujui ulisemalo..naona unaongelea picha unayoiona akilini mwako...Norway, Dernmark, China, India, Marekani, Uk, France n.k watu wanalia kazi hakuna wewe unaongelea nchi gani hiyo ya ahadi.
Yani wa Tz sijui mna nini mimi naishi America ni mwanafunzi tu na sina muda mrefu toka nije ila nina party time job tayari.
Hao ambao hawana kazi sababu yake unaijua?
 
Dah! ninyi ndiyo mliozaliwa kuijaza dunia
Kumbe Mungu yupo na watanzania pekee hawapendi wakenya?. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya Magufuli ni Rais wa ajabu na wa hovyo kuwahi kutokea don't learn anything from him uchumi wenu utadorora vibaya sana.

Tanzania is a hell people don't have jobs,watu wanasota, watu wana work hard ila hawapati pesa kibinafsi Simpendi Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani wa Tz sijui mna nini mimi naishi America ni mwanafunzi tu na sina muda mrefu toka nije ila nina party time job tayari.
Hao ambao hawana kazi sababu yake unaijua?
Unapart time job ya kunawisha wazee na kuuza bidhaa kwenye malls...hizo kazi ata huku bongo zipo..utofauti Ni malipo tu..
 
Unapart time job ya kunawisha wazee na kuuza bidhaa kwenye malls...hizo kazi ata huku bongo zipo..utofauti Ni malipo tu..
Hizi ndio huwa mindset zenu hata sishangai.
Ni sawa na mtu wa Scandinavia asikie habari za Africa anahisi watu huwa hata hawapati milo mitatu kwa siku ndio wewe.
 
rais wa Tanzania hadi sasa amechukua hatua gani ya kimkakati kudhibiti Corona?

usituletee geresha za kuosha mikono kwani hilo kila mtu anajua.
Mkakati wa kipekee uliochukuliwa na Tanzania ni kujipa imani potofu ya kuwa sisi ni tofauti na mataifa mengine, ya kuwa sisi tuna kiongozi asiyekuwa muoga na anaeamini sana katika Mungu (Mungu huyo huyo katika vitabu vyake amasa watu kukusanyika endapo kutakuwa na magojwa ya maambukizi ili kulinda wengine dhidi ya magonjwa hayo) kiasi cha kuhimiza watu wakakusanyike makanisani na kuomba ilahali uwezekano wa kuambukizana ni mkubwa. Kubwa zaidi Tanzania imejiimarisha kwa kuto kutoa takwimu rasmi ya waathirika aidha kwa kutokujua ama kwa kukusudia. Sijui kwa jitihada ipi kubwa mno iliyofanywa kiasi cha kuwa idadi yetu ni watu 14 kila siku ilhali nchi zilizochukuwa hatua stahiki hadi leo hii idadi ya waathirika inaongezeka.
Kubwa la kutumainia kila mmoja kwa nafsi yake asipate maambukizi tofauti na hapo ni swala la wakati tu tutaanza kuzikana mpaka tukose pakuzika.
Njia pekee China iliweza kuukabili huu ugonjwa ni nidhamu ya kujitenga na kuwatenga waathirika kiasi kupelekea kupunguza (si kuondosha kabisa) athari za maambukizi.
Leo hii raisi wetu anapost picha yupo kijijini kwake bila ya hofu anakunywa kahawa kwa ukaribu kabisa na wanakijiji wenzake. Nahisi huu ndio mkakati wa kipekee tulionao watanzania, kuwa mfano kwa dunia juu ya athari halisi ya ugonjwa huu pale itapodhihirika. Mola atupe stara na ampe busara raisi wetu afanye maamuzi stahiki.
 
Back
Top Bottom