Easy Chair Mark III
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 897
- 1,369
Tatizo LA ukabila na Ubinafsi walilonalo Waafrika Kusini weusi pia lipo ktk nchi ya Kenya, KWA hiyo sitashangaa kuona kuwa baadhi Wakenya walio wengi wakaunga mkono vitendo vile vibaya vinavyoendelea kule nchini Afrika Kusini.
Wakenya wanakabiliwa na tatizo la CHUKI zilizosababishwa na UKABILA na Ignorance kama Afrika Kusini vile vile.
Wakenya wanakabiliwa na tatizo la CHUKI zilizosababishwa na UKABILA na Ignorance kama Afrika Kusini vile vile.