Wakenya wengi wakubalian na matendo ya kushambuliwa kwa wageni huko "South AFrica"

Wakenya wengi wakubalian na matendo ya kushambuliwa kwa wageni huko "South AFrica"

Tatizo LA ukabila na Ubinafsi walilonalo Waafrika Kusini weusi pia lipo ktk nchi ya Kenya, KWA hiyo sitashangaa kuona kuwa baadhi Wakenya walio wengi wakaunga mkono vitendo vile vibaya vinavyoendelea kule nchini Afrika Kusini.
Wakenya wanakabiliwa na tatizo la CHUKI zilizosababishwa na UKABILA na Ignorance kama Afrika Kusini vile vile.
 
Ni kweli lkn mngeanza kwanza nyie kuondoka huku TZ ambako mmejaa mpk mnaju-register kwny vitambulisho vya Taifa mnaishia kukamatwa tu eti mkidai nyie wabongo,mrudi Kunya land kwny nchi ya maziwa,asali usisahau na mchele wa plastic from china.
Kwani ninyi mna nini ambayo Kenya haina? Sisi uchumi wetu hivi karibuni itakuwa maradufu yenu. Bajeti yetu tayari ni mara dufu yenu. Endeeni kujitekenya na kucheka wenyewe.
 
Kwani ninyi mna nini ambayo Kenya haina? Sisi uchumi wetu hivi karibuni itakuwa maradufu yenu. Bajeti yetu tayari ni mara dufu yenu. Endeeni kujitekenya na kucheka wenyewe.
Na deni lenu ni mara ngapi ya deni letu?
 
Kwani ninyi mna nini ambayo Kenya haina? Sisi uchumi wetu hivi karibuni itakuwa maradufu yenu. Bajeti yetu tayari ni mara dufu yenu. Endeeni kujitekenya na kucheka wenyewe.
Very weak argument, wealth is to save and improve lives of people not just for show off. If you can't feed yourselves, if you can't provide descent shelters, water, good public Hospitals, security and pay medical bills for poor citizens who have got cancer, can you really talk about big economy?, you must be feel bada if you are really a wise enough.
 
Ni kweli nyie ni bab kubwa mpk Mchina akagoma kuwakopesha na SGR ikawa ndio kwaheri.

Bab kubwa wanakufa njaa mpk wanasaidiwa mchele wa plastic na wachina,majuzi naona waarabu tena wamesaidia msosi wkt wao nchi yao ni jangwa.

Bab kubwa hamsikii aibu tu?
Deni letu ni $59 billion. Yaani deni letu ni sawa na thamani ya uchumi wenu wote. Sie bab kubwa nyie bab ndogo
 
Are you clinically insane or just acting really crazy?
We know those who are crazy.
tapatalk_1567765370505.jpeg
 
Back
Top Bottom