Uchaguzi 2020 Wakianguka Wapinzani wote katika ngazi ya Urais na Ubunge ni hatua nzuri ya kuchukua nchi mwaka 2025

Watu wengi huko jamiiforums ni wapumbavu sana..unafirkiri nchi isyo na upinzani ina Maendeleo dunia hakuna...ccm inatupeleka mahali pabaya sana. Yaaninccm isikosekewe na haliwezekani.. ji ujjhga mkubwa sana huu uchaguzi
 
Mwaka huu,ni wa tofauti sana,Acha Wananchi waonje kwanza joto la jiwe ndo akili zitawarudi
 
Tatizo la wapinzani wa Tanzania ni kupinga kila kitu. Uchaguzi huu walikuwa wanapinga maendeleo ambayo wananchi wamekuwa wakiyalilia. Ndio maana wananchi wameendelea kuwakataa.
Tafadhari haya maneno Ndio maana wananchi wameendelea kuwakataa toa kabisa maana ni wazi uchaguzi wa mwaka huu haujaamiliwa na mwananchi kamwe...
 
Kikomo cha urais TZ kipo mbioni kufutwa. Mark my words, Magu HATOKI madarakani anytime soon
 
Kipigo kipo pale pale, akimaliza hii mitano tunamuongezea mingine, mtasubiri sana 😀
 
Upinzani ni kujiandaa tu kufanya kazi katika mazingira tofauti.
Nchi nzima ni kijani na kuna uwezekano inaenda kuwa kijani kwa muda mrefu sana.
 
Sio mbaya kubadilisha magoli.
 
Tatizo la wapinzani wa Tanzania ni kupinga kila kitu. Uchaguzi huu walikuwa wanapinga maendeleo ambayo wananchi wamekuwa wakiyalilia. Ndio maana wananchi wameendelea kuwakataa.
Si kweli na ninadhani ingekuwa kweli basi hakukuwa na sababu ya matumizi ya nguvu nyingi na mabavu kwenye uchaguzi.
 
Upinzani ni kujiandaa tu kufanya kazi katika mazingira tofauti.
Nchi nzima ni kijani na kuna uwezekano inaenda kuwa kijani kwa muda mrefu sana.
Hili si lakulifurahia hasa kwa mtu mwenye uelewa mpana wa mambo ya siasa hata kama walio pita kwa sehemu kubwa ni watu wa upande wako.
 
Wanarudi wote CCM bungeni.. Let's see what they will do
Tatizo la wapinzani wa Tanzania ni kupinga kila kitu. Uchaguzi huu walikuwa wanapinga maendeleo ambayo wananchi wamekuwa wakiyalilia. Ndio maana wananchi wameendelea kuwakataa.
 
Hili si lakulifurahia hasa kwa mtu mwenye uelewa mpana wa mambo ya siasa hata kama walio pita kwa sehemu kubwa ni watu wa upande wako.
Hapa hatuongelei kufurahi au kununa. Tunaongelea uhalisia. Furaha au hasira haitabadili yanayokuja. Watu wanaojua kusoma viashiria walishaelewa kwann Pascal mayalla aliamua asikie njaa mapema.
 
Kipigo kipo pale pale, akimaliza hii mitano tunamuongezea mingine, mtasubiri sana 😀
Uzuri kwa matokeo yoyote yatakayo tokea Tanzania iwe mema au mabaya ...japo hatuombei... na wewe utakwepo na kama ni kikombe utakinywea haswa!!!
 
Hakuna kitakachotokea nendeni ze hegi mkafanye utalii, mkumbuke kuvaa barakoa , kuvaa barakoa na kunawa mikono mara kwa mara mkiwa huko kwa mabeberu
 
Tatizo la wapinzani wa Tanzania ni kupinga kila kitu. Uchaguzi huu walikuwa wanapinga maendeleo ambayo wananchi wamekuwa wakiyalilia. Ndio maana wananchi wameendelea kuwakataa.

Safari hii hawatakuwepo watakuwa ccm watupu nafikiri tutakuwa kama kalifonia alivyozungumza magufuli
 
Mkuu kuna "mkono wa chuma" ndio unaenda kutumika kunyoosha "nchi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…