PreGE2025 Wakili Addo November: CHADEMA bado wanayo nafasi kutia saini kanuni za maadili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi.

Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Addo November kutoka Chama cha Wanasheria wa Serikali alisema chama hicho kinayo fursa hiyo.

Kanuni hizo tayari zilishatiwa saini na Vyama 18 vya Siasa nchini isipokuwa CHADEMA pekee ambao walitaka kufanyika mabadiliko kwanza ili kutia saini.

"Leo CHADEMA wakija wakitaka kushiriki nafasi wanayo 'as long as' hatujafikia hatua ya kuanza mchakato wa uchaguzi" alisema Addo

Chanzo: Nipashe Digital
 
Kanuni za Maadili ya Uchaguzi (Code of Ethics for Political Parties)​

Hizi ni kanuni ambazo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) huandaa kwa kila uchaguzi mkuu au uchaguzi mdogo, kwa kushirikiana na vyama vya siasa.
  • Kifungu cha 2 na 3: Kinaeleza kuwa vyama vitashiriki uchaguzi kwa kutii kanuni hizi.
  • Kifungu cha 4: Kinazungumzia wajibu wa kutia saini kwa vyama vya siasa kama ishara ya kukubali masharti ya uchaguzi.
Lakini hakuna sehemu inayoeleza mwisho wa kutia saini ni lini.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi.

Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Ado November kutoka Chama cha Wanasheria wa Serikali alisema chama hicho kinayo fursa hiyo.

Kanuni hizo tayari zilishatiwa saini na Vyama 18 vya Siasa nchini isipokuwa CHADEMA pekee ambao walitaka kufanyika mabadiliko kwanza ili kutia saini.

“Leo CHADEMA wakija wakitaka kushiriki nafasi wanayo ‘as long as’ hatujafikia hatua ya kuanza mchakato wa uchaguzi”.alisema Ado
FB_IMG_1750583497122.jpg

Source: NipasheDigital
 
Kanuni za Maadili ya Uchaguzi (Code of Ethics for Political Parties)​

Hizi ni kanuni ambazo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) huandaa kwa kila uchaguzi mkuu au uchaguzi mdogo, kwa kushirikiana na vyama vya siasa.
  • Kifungu cha 2 na 3: Kinaeleza kuwa vyama vitashiriki uchaguzi kwa kutii kanuni hizi.
  • Kifungu cha 4: Kinazungumzia wajibu wa kutia saini kwa vyama vya siasa kama ishara ya kukubali masharti ya uchaguzi.
Lakini hakuna sehemu inayoeleza mwisho wa kutia saini ni lini.
Yule jaji mpuuzi hawezi hata kitafsiri hiyo aya!
 
Mchakato wa Uchaguzi utaanza within two weeks na Lissu bado yupo jela .

Tuseme kwa mfano mtu mwingine anasaini kwa niaba ya Lissu,mtu mwingine anasaini ingawa kuna kesi mahakamani.

Ina maana sasa Chadema wanasaini: wanasema tumeshawaambia UN. EU wana taarifa. ICC pia na Amnesty International pia wamearifiwa,kwa hiyo tuendelee na Uchaguzi.

Can they sign mechanically au inabidi Chadema na CCM wafanye mazingumzo,pamoja pia na vyama vingine vya Upinzani?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi.

View attachment 3378672
Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Ado November kutoka Chama cha Wanasheria wa Serikali alisema chama hicho kinayo fursa hiyo.

Kanuni hizo tayari zilishatiwa saini na Vyama 18 vya Siasa nchini isipokuwa CHADEMA pekee ambao walitaka kufanyika mabadiliko kwanza ili kutia saini.

"Leo CHADEMA wakija wakitaka kushiriki nafasi wanayo 'as long as' hatujafikia hatua ya kuanza mchakato wa uchaguzi" alisema Ado

Chanzo: Nipashe Digital
Ado November ex dakawa

Huyu ni kada wa ccm mbobevu
 
Mchakato wa Uchaguzi utaanza within two weeks na Lissu bado yupo jela .
Uchaguzi unahesabika pale ambapo wagombea wanateuliwa ma tume sio watu kuchukua fomu na kurudisha za vyama vyao. Ni siku moja baada ya wagombea kuteuliwa ndio zinaanza tumika.
Tuseme kwa mfano mtu mwingine anasaini kwa niaba ya Lissu
Anasaini katibu mkuu sio mwenyekiti au mtu yeyote unless akaimishwe na kamati kuu.
mtu mwingine anasaini ingawa kuna kesi mahakamani.
Unfortunately mnyika naye kasimamishwa ukatibu, so anaweza saini kama kaimu KM. Ukiweka na hilo zuio ndio kabisaa hakuna way ya kusaini.
Can they sign mechanically au inabidi Chadema na CCM wafanye mazingumzo,pamoja pia na vyama vingine vya Upinzani?
Hata behind closed doors wanaruhusiwa kusaini.
 
Back
Top Bottom