Cannibal OX
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,204
- 3,606
Wanaanza kupiga yuutani mdogo mdogo
Yule mzee sijui kwa nini hauwawi hana faida yoyote kwa nchi hii zaidi ya ukuda tu na kumtengenezea mwanawe nafasi ya kuja kuwa Rais baada ya Samia.No Reforms No Election
Yule dingi wao wa Msoga amekuwa na ufala mwingi sana nowadays ,jana amezingua sana ,mastory mengi then pointless
labda wakasaini kwenye tume ya Uchaguzi isiyo huru ambayo haina taratib zake huru za kusimamia wajibu na majukumu yake kwa uhuru.Kanuni za Maadili ya Uchaguzi (Code of Ethics for Political Parties)
Hizi ni kanuni ambazo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) huandaa kwa kila uchaguzi mkuu au uchaguzi mdogo, kwa kushirikiana na vyama vya siasa.
Lakini hakuna sehemu inayoeleza mwisho wa kutia saini ni lini.
- Kifungu cha 2 na 3: Kinaeleza kuwa vyama vitashiriki uchaguzi kwa kutii kanuni hizi.
- Kifungu cha 4: Kinazungumzia wajibu wa kutia saini kwa vyama vya siasa kama ishara ya kukubali masharti ya uchaguzi.
Sure love. Time is the best answer
Tangu lini mswahili akawa na akili.No Reforms No Election
Yule dingi wao wa Msoga amekuwa na ufala mwingi sana nowadays ,jana amezingua sana ,mastory mengi then pointless
Hakuna nafasi nyingine ya kutia saini.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi.
View attachment 3378817
Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Ado November kutoka Chama cha Wanasheria wa Serikali alisema chama hicho kinayo fursa hiyo.
Kanuni hizo tayari zilishatiwa saini na Vyama 18 vya Siasa nchini isipokuwa CHADEMA pekee ambao walitaka kufanyika mabadiliko kwanza ili kutia saini.
"Leo CHADEMA wakija wakitaka kushiriki nafasi wanayo 'as long as' hatujafikia hatua ya kuanza mchakato wa uchaguzi" alisema Ado
Chanzo: Nipashe Digital
kwa kifungu kipi cha Sheria/Kanuni.Hakuna nafasi nyingine ya kutia saini.
Funguka vizuri mkuu, wengine hatujakuelewa.Huyu si ndio yule wa utabaki kuwa Mungu?
Unaposikia mtu kama huyo Ado anazungumzia swala la "CHADEMA kusaini", ujue kuna joto kali huko jikoni.Hata behind closed doors wanaruhusiwa kusaini.
John Heche, makamu Mwenyekiti CHADEMA ameshawajibu tayari. Sikiliza majibu hapa👇👇Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi.
View attachment 3378817
Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Ado November kutoka Chama cha Wanasheria wa Serikali alisema chama hicho kinayo fursa hiyo.
Kanuni hizo tayari zilishatiwa saini na Vyama 18 vya Siasa nchini isipokuwa CHADEMA pekee ambao walitaka kufanyika mabadiliko kwanza ili kutia saini.
"Leo CHADEMA wakija wakitaka kushiriki nafasi wanayo 'as long as' hatujafikia hatua ya kuanza mchakato wa uchaguzi" alisema Ado
Chanzo: Nipashe Digital
Watakuwa wapumbavu sana kushiriki uhuni wa uchaguzi...kete sahihi ni kuto kushiriki bila ya kupepesa macho ...faida ni nyingi kwenye hiyo kete ...mfano kama chadema wangetia saini basi kungekuwa na fujo kutoka genge la wapumbavu wa mbowe ila kugomea kutia saini na kushiriki uchaguzi, umewafanya wahuni wa "ccm ya mbowe" kukimbia chadema kwa kujitoa...pia itasahidia chadema kuwa chama pekee kwa upinzani na kufanya vyama vingine vyote kutokubalika tena milele daimaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi.
View attachment 3378817
Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Ado November kutoka Chama cha Wanasheria wa Serikali alisema chama hicho kinayo fursa hiyo.
Kanuni hizo tayari zilishatiwa saini na Vyama 18 vya Siasa nchini isipokuwa CHADEMA pekee ambao walitaka kufanyika mabadiliko kwanza ili kutia saini.
"Leo CHADEMA wakija wakitaka kushiriki nafasi wanayo 'as long as' hatujafikia hatua ya kuanza mchakato wa uchaguzi" alisema Ado
Chanzo: Nipashe Digital
Funguka vizuri mkuu, wengine hatujakuelewa.
Oooh! Asante sanaAlikuwa mchungaji/mwimbaji wa nyimbo za injili. Aliimba wimbo unaitwa 'utabaki kuwa Mungu'
Sasa hapo amepiga wapi mjinga wewe mnajiita wanademokrasia ila mawazo ti ya mtu hamtaki kusikiaNdio huyo , jamaa mpuuzi sana huyu. Ana tamaa sana na ni mpigaji mzuri kupitia mgongo dini
Sasa unafikiri Addo atapoteza nini ikiwa chadema itafelWameona waji ya shingo sasa wanatapatapa wamekua vigeugeu. Ina maana walivyotangaza na kutoa tamko kuwa CDM haitaruhusiwa kushiriki uchaguzi kwa kuwa hawakutia sign hawakua ni wao?...Mbona hawakusema kuwa bado wana nafasi ya kutia saini toka mwanzo?
NO REFORMS NO ELECTION