Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ado November mkuda sana huyu jamaaa.. mpigaji na chawa
Ndio huyo , jamaa mpuuzi sana huyu. Ana tamaa sana na ni mpigaji mzuri kupitia mgongo diniHuyu si ndio yule wa utabaki kuwa Mungu?
Yule jaji mpuuzi hawezi hata kitafsiri hiyo aya!Kanuni za Maadili ya Uchaguzi (Code of Ethics for Political Parties)
Hizi ni kanuni ambazo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) huandaa kwa kila uchaguzi mkuu au uchaguzi mdogo, kwa kushirikiana na vyama vya siasa.
Lakini hakuna sehemu inayoeleza mwisho wa kutia saini ni lini.
- Kifungu cha 2 na 3: Kinaeleza kuwa vyama vitashiriki uchaguzi kwa kutii kanuni hizi.
- Kifungu cha 4: Kinazungumzia wajibu wa kutia saini kwa vyama vya siasa kama ishara ya kukubali masharti ya uchaguzi.
Ado November ex dakawaChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeelezwa kuwa bado kina nafasi ya kutia saini kanuni za maadili ya uchaguzi ili kipate fursa ya kushiriki uchaguzi.
View attachment 3378672
Akizungumza katika Kongamano la Sheria lililofanyika jijini Dar es Salaam jana, Ado November kutoka Chama cha Wanasheria wa Serikali alisema chama hicho kinayo fursa hiyo.
Kanuni hizo tayari zilishatiwa saini na Vyama 18 vya Siasa nchini isipokuwa CHADEMA pekee ambao walitaka kufanyika mabadiliko kwanza ili kutia saini.
"Leo CHADEMA wakija wakitaka kushiriki nafasi wanayo 'as long as' hatujafikia hatua ya kuanza mchakato wa uchaguzi" alisema Ado
Chanzo: Nipashe Digital
Uchaguzi unahesabika pale ambapo wagombea wanateuliwa ma tume sio watu kuchukua fomu na kurudisha za vyama vyao. Ni siku moja baada ya wagombea kuteuliwa ndio zinaanza tumika.Mchakato wa Uchaguzi utaanza within two weeks na Lissu bado yupo jela .
Anasaini katibu mkuu sio mwenyekiti au mtu yeyote unless akaimishwe na kamati kuu.Tuseme kwa mfano mtu mwingine anasaini kwa niaba ya Lissu
Unfortunately mnyika naye kasimamishwa ukatibu, so anaweza saini kama kaimu KM. Ukiweka na hilo zuio ndio kabisaa hakuna way ya kusaini.mtu mwingine anasaini ingawa kuna kesi mahakamani.
Hata behind closed doors wanaruhusiwa kusaini.Can they sign mechanically au inabidi Chadema na CCM wafanye mazingumzo,pamoja pia na vyama vingine vya Upinzani?