Wakili Albert Msando ashikiliwa na Polisi baada ya kutoa taarifa ya hali ya maambukizi ya Corona na kuhamasisha waandishi kuandika ukweli

Wakili Albert Msando ashikiliwa na Polisi baada ya kutoa taarifa ya hali ya maambukizi ya Corona na kuhamasisha waandishi kuandika ukweli

Kakamatwa kutokana na kauli kuwa hali ni mbaya kama sikosei.
 
Arusha: Wakili Alberto Msando akamatwa na Polisi kwa ajili ya mahojiano maalum kuhusu kauli yake aliyoitoa wakati akitoa msaada wa vifaa vya kukabiliana na COVID19 kwa waandishi wa habari jijini Arusha.

zaidi, soma: Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana - JamiiForums

​


Msando alidhani mtu anaweza kuingia mkataba na shetani na akawa salama. Selasini, Waitara, Mtatiro et Al, are you reading this?
 
Huu ni ujinga wa kupitiliza
Mtakamata wangapi?
Kwa nini mnaficha takwimu inawasaidia nini?
Msando jamaa zako hao umenaswa ulikuwa mstari wa mbele kuwasimanga Chadema
Tukisema kijani ni lost case muwe mnaelewa
Pole kwa maswahibu wakili naniliii
wakili naniiii huyu au ndo wakili mjinga ? sio msomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho tushingae Mhe. Mbowe akitiwa ndani...
Nchi siyo salama tena kwa maisha ya wenye akili kubwa!!
 
Back
Top Bottom