Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Tundu Lissu alisema,akimaliza na sisi atakuja kwenu
Usalile. Mashi gako.Nataka nikuoe nikupeleke Mwanza Dada! Nimekudondokea wangu!!
LAZIMA NAKULYE!Usalile. Mashi gako.
Unyelile.LAZIMA NAKULYE!
huyu kajichubua sana na nywele za bandia kaweka piaIpo poa,utaizoea tu.
Ukubona ulunanyelile nhana ulushiku nalikulya!Unyelile.
Pumbafu we upo hadharan hapaTangaza na wewe wakukamata mbona umejificha nyuma ya keyboard dada?
Arusha: Wakili Alberto Msando akamatwa na Polisi kwa ajili ya mahojiano maalum kuhusu kauli yake aliyoitoa wakati akitoa msaada wa vifaa vya kukabiliana na COVID19 kwa waandishi wa habari jijini Arusha.
Pia soma: Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana - JamiiForums
Hajajichubua ni rangi yake.
Kwani kuwa hadharani ni mbaya kama unasema ukweli?Pumbafu we upo hadharan hapa
Kwenu Mwanza hali ikoje ?Yaani hawa. Tatizo wanatuona sisi wananchi wajinga. Sasa mtu kusema Arusha Arusha ugonjwa umesambaa kuna kosa gani ?
Jaga unkalye nkema wako.Ukubona ulunanyelile nhana ulushiku nalikulya!
Hujielew pumbafu wwKwani kuwa hadharani ni mbaya kama unasema ukweli?
Acha nzi wa kijani watafunane....Arusha: Wakili Alberto Msando akamatwa na Polisi kwa ajili ya mahojiano maalum kuhusu kauli yake aliyoitoa wakati akitoa msaada wa vifaa vya kukabiliana na COVID19 kwa waandishi wa habari jijini Arusha.
Pia soma: Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana - JamiiForums
Kikubwa tuache wafu wazikane...Msando tulimwambia mapema sana kwamba , SHETANI HANA RAFIKI , Ubishi tu .