evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Mwenzako kishatapika huko mpaka wanaomlipa. Kuna cha kuongea tena hapo.
Wewe subiri leo au kesho anatangazwa mshindi wa zabuni rasmi, habari zilizovuja ni DP World. na siku wanayotangazwa wanaanza kazi rasmi.
Hapo sasa!
Wewe unanufaika na nini?Hata wewe unaweza kuitisha wanahabari ukawaambia unatishiwa maisha baada ya hapo utaitwa kuhojiwa na ukirudi utatupa mrejesho . Wabongo mnapenda kuwatumia wenzenu kwenye matatizo nyie mmetulia majumbani mwenu kimya.
Hiyo zabuni imetangazwa wapi?
Kishawekewa 'Lebo' ya kuwa mchumia tumbo kwa Karamagi.
Tatizo hiyo kazi anaifanya kwa akili ndogo sana, atadharauliwa mpaka na watoto wadogo, naona sasa anajiropokea tu baada ya kuishiwa maneno ya uongo.Mkuu 'denooJ', hicho Kibibi kielewe vizuri.
Ukisoma maandishi yake yote humu ndani ya JF, na hasa kwenye hili sakata la DP World, utaelewa vizuri kazi anayofanya.
Sio kuvimba huo ndio ukweli kila jamii ina misingi yake katika kila nyanja za maisha yanayotuzunguka. Tunapotofautina kimawazo sio sehemu ya kupanda chuki na kejeli dhidi ya mamlaka. Hapa hakuna ujuaji wala kitu chochote isipokuwa hekima na busara vinapaswa kutangulia mbele. Mbona prof shiv hakuitwa wala kutushiwa kwanini yeye. Mamlaka za nchi lazima zieshimiwe sio unaweza kuargue against na sio kumdhalilisha raisi na kauli zenye utata utanyooshwa tu. Ukitaka kujua mamlaka ziko active fanya ujinga uone ndio maana magufuri alikuwa mkali kwenye ujinga unaoitwa Uhuru wa kujieleza.Sasa nawe utasema unajua unacho andika juu yake, au ni kujivimbisha tu na jambo usilolifahamu kabisa?
Kwanza uandishi tu unaonyesha kiwango cha chini kabisa cha uwezo ulio nao katika eneo hili. Kwa hiyo huna lolote unaloweza kuchangia hapa linaloweza kufikirisha wasomaji.
Nia yako ni kuweka vitisho tu, ukidhani enzi hizi bado watu wanatishwa kama enzi za ukoloni..
Kumbe huwa mnabishana kwa msiyoyafahamu?
Pia kasome tovuti ya tenda za serikali.
Huna taarifa yoyote wew Ni mganga tu Mara dp anafunga mashine zake ,Mara wako wanajindaa kutua nchini yaani wee huna tofauti na popomaMwenzako kishatapika huko mpaka wanaomlipa. Kuna cha kuongea tena hapo.
Wewe subiri leo au kesho anatangazwa mshindi wa zabuni rasmi, habari zilizovuja ni DP World. na siku wanayotangazwa wanaanza kazi rasmi.
Hapo sasa!
Usihangaike sana, wewe na wezako niulizeni mtakacho kukifahamu, nimeweka uzi wa watu kuuliza chochote wapemdacho, bofya chini hapo ukaulize"Mkuu 'denooJ', hicho Kibibi kielewe vizuri.
Ukisoma maandishi yake yote humu ndani ya JF, na hasa kwenye hili sakata la DP World, utaelewa vizuri kazi anayofanya.
Je kama aliwekwa ndani?Dr Rugemeleza Nshala aliitwa polisi kwenda kuhojiwa, siyo kwa uchunguzi wa kutishiwa kwake, bali kwa yale aliyoyasema kuhusu suala la Bandari.
Sasa wala haieleweki kama alikwenda kuhojiwa, na kama alipewa masharti asiseme chochote kuhusu mahojiano hayo?
Katika hali ya kawaida, ilitegemewa vyombo vya habari vimfuate na kumuuliza maswali kuhusu alichoitiwa huko osisini kwa DCI; lakini hata waandishi wa habari na wao hawana hamu ya kupata tarifa wanayoweza kuwafikishia wananchi.
Kama wakili alipewa masharti ya kutozungumzia chochote baada ya mahojiano hayo, maana yake ni kwamba wakili huyo katishwa na kutishika, kiasi kwamba hata haki yake ya kupasha na kupata habari imeingiliwa.
Ni vigumu sana kuamini kuwa wakili msomi kama huyu anaweza kutishika kirahisi namna hiyo.
Kunyamazishwa kwake, kuna maana kwamba ameshughulikiwa na kukubali kusalimu amri katika jambo ambalo wengi waliamini kuwa katika nafasi yake, aliyoyazungumzia yalikuwa ya kweli na umuhimu mkubwa kwa jamii.
Sasa ananyamaza jamii imuelewe vipi?
Hata kama kasalimu amri, si ajitokeze na kusema kuwa hana hamu tena ya kuendelea na yale aliyokuwa ameyasema?
Kunyamaza kwake kunawafurahisha sana aliokuwa kawatupia lawama kuhusika na yanayoendelea na makubaliano hayo ya Bandari.
Wewe FaizaFoxy wewe..!! Unazungumzia zabuni ipi? Ilitangazwa lini na wapi? Hao wazabuni wengine (kama wapo) nao watasaini mnayoyaita makubaliano..??Mwenzako kishatapika huko mpaka wanaomlipa. Kuna cha kuongea tena hapo.
Wewe subiri leo au kesho anatangazwa mshindi wa zabuni rasmi, habari zilizovuja ni DP World. na siku wanayotangazwa wanaanza kazi rasmi.
Hapo sasa!
Huyo ajuza ni mshirikina balaaWewe Bi. Kizee ni mchawi.
Kuendelea kujibishana nawe ni kujishushia heshima; hii imedhihirika kuwa sifa ya ziada uliyo nayo mbali ya ule ulevi wako wa siku zote.
Sasa kwa mfano, tazama uliyoandika hapo juu, mtu mwenye akili timamu ataandika vile na kutegemea majadiliano juu yake?
Inabidi nikuitie mkuu' Mshana jr', anayejulikana kuwa kinara wa wachawi wote hapa JF.
Tokea sasa nakupuuza kama majuha wengi waliomo humu.
wewe huelewi hata unachokiongea, rudi ukasomeshwe halafu uje kubishana kiakili.Wewe FaizaFoxy wewe..!! Unazungumzia zabuni ipi? Ilitangazwa lini na wapi? Hao wazabuni wengine (kama wapo) nao watasaini mnayoyaita makubaliano..??
BTW, umesema habari zilizovuja i za DPW..!! Hivi kuita kuwa zimevuja, inamaanisha hazikutakiwa kuwafikia wananchi..!!??
Ndiyo kawaida ya akili kisodaBadala ya kuchambua hoja, unachambua personally..!!
Mkuu pole sana mwaka huu lazima ujifungue mkataba wa bandari ππππππππππMwenzako kishatapika huko mpaka wanaomlipa. Kuna cha kuongea tena hapo.
Wewe subiri leo au kesho anatangazwa mshindi wa zabuni rasmi, habari zilizovuja ni DP World. na siku wanayotangazwa wanaanza kazi rasmi.
Hapo sasa!
Tumeshaamka.π€£Ngoja waamke
Nshalla alifanya makosa ya kumtukana Rais aliomba radhi na kuahidi kuufyata.Dr Rugemeleza Nshala aliitwa polisi kwenda kuhojiwa, siyo kwa uchunguzi wa kutishiwa kwake, bali kwa yale aliyoyasema kuhusu suala la Bandari.
Sasa wala haieleweki kama alikwenda kuhojiwa, na kama alipewa masharti asiseme chochote kuhusu mahojiano hayo?
Katika hali ya kawaida, ilitegemewa vyombo vya habari vimfuate na kumuuliza maswali kuhusu alichoitiwa huko osisini kwa DCI; lakini hata waandishi wa habari na wao hawana hamu ya kupata tarifa wanayoweza kuwafikishia wananchi.
Kama wakili alipewa masharti ya kutozungumzia chochote baada ya mahojiano hayo, maana yake ni kwamba wakili huyo katishwa na kutishika, kiasi kwamba hata haki yake ya kupasha na kupata habari imeingiliwa.
Ni vigumu sana kuamini kuwa wakili msomi kama huyu anaweza kutishika kirahisi namna hiyo.
Kunyamazishwa kwake, kuna maana kwamba ameshughulikiwa na kukubali kusalimu amri katika jambo ambalo wengi waliamini kuwa katika nafasi yake, aliyoyazungumzia yalikuwa ya kweli na umuhimu mkubwa kwa jamii.
Sasa ananyamaza jamii imuelewe vipi?
Hata kama kasalimu amri, si ajitokeze na kusema kuwa hana hamu tena ya kuendelea na yale aliyokuwa ameyasema?
Kunyamaza kwake kunawafurahisha sana aliokuwa kawatupia lawama kuhusika na yanayoendelea na makubaliano hayo ya Bandari.
Ngoja nikutaarifu kama hujui.Usihangaike sana, wewe na wezako niulizeni mtakacho kukifahamu, nimeweka uzi wa watu kuuliza chochote wapemdacho, bofya chini hapo ukaulize"
Sasa hapo si ndiyo ingekuwa vizuri kuwajulisha watu kwamba alifanya makosa; siyo kunyamaza tu.Nshalla alifanya makosa ya kumtukana Rais aliomba radhi na kuahidi kuufyata.