Wakili aliyeitwa Ofisini kwa DCI Kunyamaza ni Makosa

Wakili aliyeitwa Ofisini kwa DCI Kunyamaza ni Makosa

Mwenzako kishatapika huko mpaka wanaomlipa. Kuna cha kuongea tena hapo.

Wewe subiri leo au kesho anatangazwa mshindi wa zabuni rasmi, habari zilizovuja ni DP World. na siku wanayotangazwa wanaanza kazi rasmi.

Hapo sasa!
Jaribu kuheshimu mdomo wako. Huohuo utautumia kula
 
Looooh.
Kashikiwa bunduki kichwani.

Mbona aliposema yale aliyoyasema hapo mwanzo alionekana kuwa mtu mwenye kujitambua?

Hata kama angeshikiwa bunduki kichwani, bado kuna njia ya kufikisha ujumbe kuwa mdomo wake umefungwa, siyo kunyamaza tu kama bubu.

Niseme wazi, kama huyo ni msomi wa Havard kweli, kuna mambo ambayo anategemewa au hategemewi kuwa nayo au kutokuwa nayo.
Na siyo Havard tu, mtu msomi kwa kiwango chake kuna mambo asiyotegemewa kuwa nayo; moja ikiwa ni huko kufungwa mdomo.

kama ni kweli huyu katishiwa na kutishika, nitamsikitikia sana.
Tena unatishwa na majambazi yanayo ihujumu nchi yako?
Haya yalimkuta Dr. Ulimboka. Je uliwahi kumsikia tena? Ogopa kushindana na wezi wenye nguvu za kimamlaka.
 
Haya yalimkuta Dr. Ulimboka. Je uliwahi kumsikia tena? Ogopa kushindana na wezi wenye nguvu za kimamlaka.
Ni kweli.
Lakini tunao mfano mwingine ulio hai, Tundu Lissu hajawahi kunyamaza hata siku moja.

Unaponyamaza ndipo hayo majambazi yanafurahi zaidi na kuongeza vitisho kwa kila mtu anayejitokeza kupinga ujambazi wao.
 
Dr Rugemeleza Nshala aliitwa polisi kwenda kuhojiwa, siyo kwa uchunguzi wa kutishiwa kwake, bali kwa yale aliyoyasema kuhusu suala la Bandari.

Sasa wala haieleweki kama alikwenda kuhojiwa, na kama alipewa masharti asiseme chochote kuhusu mahojiano hayo?

Katika hali ya kawaida, ilitegemewa vyombo vya habari vimfuate na kumuuliza maswali kuhusu alichoitiwa huko osisini kwa DCI; lakini hata waandishi wa habari na wao hawana hamu ya kupata tarifa wanayoweza kuwafikishia wananchi.

Kama wakili alipewa masharti ya kutozungumzia chochote baada ya mahojiano hayo, maana yake ni kwamba wakili huyo katishwa na kutishika, kiasi kwamba hata haki yake ya kupasha na kupata habari imeingiliwa.

Ni vigumu sana kuamini kuwa wakili msomi kama huyu anaweza kutishika kirahisi namna hiyo.

Kunyamazishwa kwake, kuna maana kwamba ameshughulikiwa na kukubali kusalimu amri katika jambo ambalo wengi waliamini kuwa katika nafasi yake, aliyoyazungumzia yalikuwa ya kweli na umuhimu mkubwa kwa jamii.
Sasa ananyamaza jamii imuelewe vipi?

Hata kama kasalimu amri, si ajitokeze na kusema kuwa hana hamu tena ya kuendelea na yale aliyokuwa ameyasema?

Kunyamaza kwake kunawafurahisha sana aliokuwa kawatupia lawama kuhusika na yanayoendelea na makubaliano hayo ya Bandari.
Bora yeye, sisi keyboard warriors kutaja jina tu ni shida.
 
Bora yeye, sisi keyboard warriors kutaja jina tu ni shida.
Kuna sababu chungu nzima zinazofanya watu wasitumie majina halisi humu; isiwe hiyo moja unayoifahamu wewe.

Usidharau u-keyboard warrior, unawanyima usingizi wengi tu na umeepusha madhara chungu nzima.

kama wewe hujui umuhimu wa kazi hiyo, usifikiri wote hawaujui umuhimu wake.
 
Ni kweli.
Lakini tunao mfano mwingine ulio hai, Tundu Lissu hajawahi kunyamaza hata siku moja.

Unaponyamaza ndipo hayo majambazi yanafurahi zaidi na kuongeza vitisho kwa kila mtu anayejitokeza kupinga ujambazi wao.
Tuna akina Tundu Lisu wangapi? Na serekali hii ilimpofikisha Lisu, ufahamu hana cha kupoteza, maana alishakufa, ila kwa mapenzi ya Mungu akafufuka.
 
Looooh.
Kashikiwa bunduki kichwani.

Mbona aliposema yale aliyoyasema hapo mwanzo alionekana kuwa mtu mwenye kujitambua?

Hata kama angeshikiwa bunduki kichwani, bado kuna njia ya kufikisha ujumbe kuwa mdomo wake umefungwa, siyo kunyamaza tu kama bubu.

Niseme wazi, kama huyo ni msomi wa Havard kweli, kuna mambo ambayo anategemewa au hategemewi kuwa nayo au kutokuwa nayo.
Na siyo Havard tu, mtu msomi kwa kiwango chake kuna mambo asiyotegemewa kuwa nayo; moja ikiwa ni huko kufungwa mdomo.

kama ni kweli huyu katishiwa na kutishika, nitamsikitikia sana.
Tena unatishwa na majambazi yanayo ihujumu nchi yako?
Kuna silencer mkuu. Bin saanane na kijana wa nguruka kigoma Azory gwanda wapo wapi? Lazima Nshalla aufyate.
 
Mwenzako kishatapika huko mpaka wanaomlipa. Kuna cha kuongea tena hapo.

Wewe subiri leo au kesho anatangazwa mshindi wa zabuni rasmi, habari zilizovuja ni DP World. na siku wanayotangazwa wanaanza kazi rasmi.

Hapo sasa!
Huyu Faizafox,nakachukuliaga Kama nikibibi flani hivi kifupiiii ..cheusiiii...kibayaaa...!alafu alilelewegwa na baba wa kambo.🤯
 
Huo uliouona bungeni unaitwa IGA, bado kuna HGA halafu kuna mikataba mingi tu ya kuendesha mambo mengi tu, siyo bandari peke yake..

Vitu vinaenda kisheria, mama hakurupuki.

You can fool some people for some time but you can't fool all the people all the time FaizaFoxy
 
You can fool some people for some time but you can't fool all the people all the time FaizaFoxy
Problem is you're an uneducated fool from an uneducated school.

Even fools fool you.
 
Sasa kama "hakushuhudiwa" ina maana wakili anasema uongo?

Wakili bomu.
 
Back
Top Bottom