Wakili aliyeitwa Ofisini kwa DCI Kunyamaza ni Makosa

Wakili aliyeitwa Ofisini kwa DCI Kunyamaza ni Makosa

Mabomu hao wameshasema "hatuna uhakika"...."hatujui".

Case closed.
 
Kipimo cha nchi ambayo haipo serious ni rahisi sana.

Kuna vitu unabaki unashangaa huyu Kingai aliyebumba kesi ya Mbowe na ikaitia aibu na hasara serikali akaishia kuwa DCI.

Bado kule ex-DPP akaishia kuzawadiwa ujaji licha ya mikono yake na miguu yake kujaa lukuki hadi za kuficha fedha uchina.

Mahita na genge lake bado wanadunda tu.

I wonder Tanzania ni kitu gani kipo serious au ni udaku , umbea na ngono?

Kama sio hivyo tajwa hapo juu basi watuambie wazi tujue
 
Kuna silencer mkuu. Bin saanane na kijana wa nguruka kigoma Azory gwanda wapo wapi? Lazima Nshalla aufyate.
Hapana.

Siamini hivyo.
Licha ya akina Ben Sanane na wengineo kupatwa na yaliyowapata, Tanzania haijawahi kunyamaza. Badala yake kelele nyingi ndiyo zinaongezeka
Sina shaka, hatma ya kelele zote hizo ni hawa majambazi kukutana na jinamizi linalowanyemelea.

WaTanzania hawatanyamazishwa kamwe kwa aina yoyote ile.
 
Msitishane humu tupige soga life liendelee.
Bandari tushaliwa
Wewe kama unaona wakati huu ni wa kupiga soga, hilo ni shauri lako. Wengine hili tunaliona kuwa jambo la kufa na kupona kwa taifa letu na heshima yetu.

Ninakuomba usijiingize kwa mambo yasiyokuhusu wewe.
 
Back
Top Bottom