Wakili aliyeitwa Ofisini kwa DCI Kunyamaza ni Makosa

Mwenzako kishatapika huko mpaka wanaomlipa. Kuna cha kuongea tena hapo.

Wewe subiri leo au kesho anatangazwa mshindi wa zabuni rasmi, habari zilizovuja ni DP World. na siku wanayotangazwa wanaanza kazi rasmi.

Hapo sasa!
Jaribu kuheshimu mdomo wako. Huohuo utautumia kula
 
Haya yalimkuta Dr. Ulimboka. Je uliwahi kumsikia tena? Ogopa kushindana na wezi wenye nguvu za kimamlaka.
 
Mkuu 'denooJ', hicho Kibibi kielewe vizuri.

Ukisoma maandishi yake yote humu ndani ya JF, na hasa kwenye hili sakata la DP World, utaelewa vizuri kazi anayofanya.
Jf bwana.Any way
 
Haya yalimkuta Dr. Ulimboka. Je uliwahi kumsikia tena? Ogopa kushindana na wezi wenye nguvu za kimamlaka.
Ni kweli.
Lakini tunao mfano mwingine ulio hai, Tundu Lissu hajawahi kunyamaza hata siku moja.

Unaponyamaza ndipo hayo majambazi yanafurahi zaidi na kuongeza vitisho kwa kila mtu anayejitokeza kupinga ujambazi wao.
 
Bora yeye, sisi keyboard warriors kutaja jina tu ni shida.
 
Bora yeye, sisi keyboard warriors kutaja jina tu ni shida.
Kuna sababu chungu nzima zinazofanya watu wasitumie majina halisi humu; isiwe hiyo moja unayoifahamu wewe.

Usidharau u-keyboard warrior, unawanyima usingizi wengi tu na umeepusha madhara chungu nzima.

kama wewe hujui umuhimu wa kazi hiyo, usifikiri wote hawaujui umuhimu wake.
 
Ni kweli.
Lakini tunao mfano mwingine ulio hai, Tundu Lissu hajawahi kunyamaza hata siku moja.

Unaponyamaza ndipo hayo majambazi yanafurahi zaidi na kuongeza vitisho kwa kila mtu anayejitokeza kupinga ujambazi wao.
Tuna akina Tundu Lisu wangapi? Na serekali hii ilimpofikisha Lisu, ufahamu hana cha kupoteza, maana alishakufa, ila kwa mapenzi ya Mungu akafufuka.
 
Kuna silencer mkuu. Bin saanane na kijana wa nguruka kigoma Azory gwanda wapo wapi? Lazima Nshalla aufyate.
 
Mwenzako kishatapika huko mpaka wanaomlipa. Kuna cha kuongea tena hapo.

Wewe subiri leo au kesho anatangazwa mshindi wa zabuni rasmi, habari zilizovuja ni DP World. na siku wanayotangazwa wanaanza kazi rasmi.

Hapo sasa!
Huyu Faizafox,nakachukuliaga Kama nikibibi flani hivi kifupiiii ..cheusiiii...kibayaaa...!alafu alilelewegwa na baba wa kambo.🤯
 
Huo uliouona bungeni unaitwa IGA, bado kuna HGA halafu kuna mikataba mingi tu ya kuendesha mambo mengi tu, siyo bandari peke yake..

Vitu vinaenda kisheria, mama hakurupuki.

You can fool some people for some time but you can't fool all the people all the time FaizaFoxy
 
You can fool some people for some time but you can't fool all the people all the time FaizaFoxy
Problem is you're an uneducated fool from an uneducated school.

Even fools fool you.
 
Huyu Faizafox,nakachukuliaga Kama nikibibi flani hivi kifupiiii ..cheusiiii...kibayaaa...!alafu alilelewegwa na baba wa kambo.🤯
Safi sana, linganisha na kondoo unaefata mchungaji alyepotea.
 
Sasa kama "hakushuhudiwa" ina maana wakili anasema uongo?

Wakili bomu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…