Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Amechelewa sana na hataweza kumzuia Mzanzibar mwingine yoyote yule endapo kama atajitokeza mwingine ambaye anataka kufanya hayo yaliyofanyika.
Suluhisho pekee la kudumu ni wananxhi wenyewe wa Tanzania kushikamana kwa pamoja na kupigania upatikanaji wa Katiba Mpya itakayotokana na mawazo au maoni yao wenyewe wananchi.
Timalize Kwanza suala la bandari ni suala mtambuka.
 
WAKILI BONIFACE MWABUKUSI;KAMA HAMTATUSIKILIZA,TUTAZUNGUMZA LUGHA MTAKAYOTUSIKILIZA,HATUTARUHUSU MZANZIBARI KUFANYA MAMBO YA HOVYO KWENYE MALI ZA TANGANYIKA.

"Wazee wangu wa Mbeya nipo hapa kuwahakikishia Tanganyika hailiwi tena,tutafuatilia hatua kwa hatua kwenye mikataba ya Mali zote za Tanganyika" Wakili Boniface Mwabukusi

"Mkataba unatakiwa ujisimamie na ujitetee,ila watu wanautetea bila "baseline" za data na facts kwenye mkataba huo,hakuna research wala data, mkataba hauna data ambazo ni measured kisayansi watu wanacheza na maneno tu ambayo hayapo kwenye mkataba" Wakili Boniface Mwabukusi

"Mkataba wa bandari ni batili, chochote kilichofanywa nje ya sheria na nje ya katiba kirekebishwe" Wakili Boniface Mwabukusi.

"Tanganyika ni nchi kama ilivyo Zanzibar,hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya hovyo kwenye Mali za Tanganyika,kama ambavyo Mtanganyika hawezi kufanya mambo ya hovyo kwenye Mali za Zanzibar" Wakili Boniface Mwabukusi.

"Ndoa ya Tanganyika na Zanzibar ilikuwa ndoa ya utotoni sasa tumekua tunataka tuongee tukubaliane Mali za Tanganyika ziwe chini ya Mtanganyika na Mali za Zanzibar ziwe chini ya Mzanzibari" Wakili Boniface Mwabukusi.

"Waziri Mkuu alitudanganya kuhusu kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli na hajawahi kuomba radhi,na leo anatudanganya kuhusu mkataba wa bandari,akae pembeni kumsaidia Rais" Wakili Boniface Mwabukusi

"Waziri Mkuu atujibu,sheria sura 449 na sheria sura 450 kuhusu Ulinzi wa rasilimali za nchi na kuhusu ushughulikiwaji wa vifungu vyenye utata walizifuata,je vipengele vya mkataba wa bandari vinaoana na vipengele hivi vya sheria yetu" Wakili Boniface Mwabukusi.

"Waziri Mkuu atujibu,kwa nini bunge linataka kubadili sheria sasa hivi ziendane na mkataba huu wa bandari" Wakili Boniface Mwabukusi

"Tuliibinafsisha Tanesco kwa Net Solution tulipata faida gani na leo Tanesco ya nani? Tulileta watu TRL wakaishia kubeba vichwa vya treni kurudi navyo India,tulifanya hivyo hivyo kwa NBC kuuzwa bei ya kutupwa,na leo mnatuambia mna muujiza kwenye kuibinafsisha bandari" Wakili Boniface Mwabukusi

"Kama mkataba ni sahihi,Waziri Mkuu anatuambiaje tukusanye maoni,nani anakusanya maoni,yaende wapi,ya nini? kama mkataba tayari umeshapita" Wakili Boniface Mwabukusi

"Wakati nchi yetu ina Kiongozi mwenye element za Uzalendo watu fulani hawakuonekana kabisa,sasa hivi wamerudi wanatukana hadi Mahakama, Watanzania angalieni walioko nyuma ya huu mkataba"Wakili Boniface Mwabukusi.

"Kila uovu juu ya Tanganyika tutaukabili kwa jina lake na kila muovu tutamkabili kwa jinsi anavyokuja,hii ni nchi yetu hatutamuchia mtu mwingine aitetee" Wakili Boniface Mwabukusi

"Mabadiliko ya sheria yanayokwenda kufanyika ni matusi kwa Tanganyika,narudia tena Tanganyika ni nchi kama ilivyo Zanzibar" Wakili Boniface Mwabukusi.

"Tunatoa onyo kwa Kiongozi mwingine kudhani anaweza kuingia mikataba ya kuuza nchi akabaki salama,wasituchezee" Wakili Boniface Mwabukusi

"Tunawaomba Watanzania wa dini zote,Waislamu, Wakristo,Wachungaji na Mashehe na WA jadi,tufunge tarehe 14,15,16 kuomba mapenzi ya Mungu yakafanyike kwa Tanganyika na Tanzania,ahsanteni sana"Wakili Boniface Mwabukusi
huyo mbwa kuna kitu kinamwasha siku si nyingi atapata anachokitafuta. Ameshindwa kupata umaarufu huko mahakamani kwasababu ni kilaza. Amekula pesa za mafisadi wanaofikiri wanaweza kuikwamisha serikali hii, atakwama yeye ngedere. Lengo la hao mambwa ni kuikwamisha serikali na wanatumika na mafisadi wa bandari. Mnafiki mkubwa eti Tanganyika yetu, anaijua Tanganyika huyo fala? Hii nchi haigawanyiki watagawanyika wao.
 
anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
wewe inaonekana hata ukitishiwa na manati tayari unakumbatia ukuta na kusomwa jicho ki urahiiisi kabisa madai yako usije tolewa nundu na jiwe la manati. Mambo yenu ya ki bwabwa pelekeni huko kwa wajomba zenu wanaotaka kubeba bandar yetu
 
Hata Dunia izunguke mpka ifyatuke Raisi kama Magu hawez tokea Tena
, Wakili anaongea fact tupu ucdhan hakuna anae elewa wote wanaelewa vyema lakn shida hofu waaliojengewa wananchi wanaona kama vile hawan haki ya kuuliza kuhusu rasilimali zao, every Tanganyikan is fully responsible to inquire anything concerning Tanganyika
Magu hatatokea kweli kwani likuwa baguzi, katili, yenye roho mbaya siyo vinginevyo. Binadamu anayefanya watanzania wataabike mpaka sasa hivi kwa kukosa ajira never again hatatokea tena
 
wewe inaonekana hata ukitishiwa na manati tayari unakumbatia ukuta na kusomwa jicho ki urahiiisi kabisa madai yako usije tolewa nundu na jiwe la manati. Mambo yenu ya ki bwabwa pelekeni huko kwa wajomba zenu wanaotaka kubeba bandar yetu
we mbona siku ya maandamano hukujitokeza umejificha nyuma ya keyboard, kunguru kweli
 
Viongozi heshimuni maoni ya Wananchi, mikataba yote nchi hii ingekuwa inavuja kama huu naamini msingeingia mikataba mibovu kama huu
Mashirika mengi tu yamebinafsishwa lakini wapi?
Wakili kafoka kweli ni haki yake.

Ugumu wa kuachana na DPW uko wapi?
Na bado muda unavyosonga wataibuka wengi tu
Wenye nchi hawataki mliopewa dhamani heshimu wenye nchi
Figisu la muungano nalo ni kweli watu washaamka lilifanyika hivyo hivyo kwa maelewano wa watu wawili
Siku zinavyosonga utavunjika ndo mtatamani swala la serikali 3 kuna vitu kwa dunia ya sasa havibebeki.
 
WAKILI BONIFACE MWABUKUSI;KAMA HAMTATUSIKILIZA,TUTAZUNGUMZA LUGHA MTAKAYOTUSIKILIZA,HATUTARUHUSU MZANZIBARI KUFANYA MAMBO YA HOVYO KWENYE MALI ZA TANGANYIKA.

"Wazee wangu wa Mbeya nipo hapa kuwahakikishia Tanganyika hailiwi tena,tutafuatilia hatua kwa hatua kwenye mikataba ya Mali zote za Tanganyika" Wakili Boniface Mwabukusi

"Mkataba unatakiwa ujisimamie na ujitetee,ila watu wanautetea bila "baseline" za data na facts kwenye mkataba huo,hakuna research wala data, mkataba hauna data ambazo ni measured kisayansi watu wanacheza na maneno tu ambayo hayapo kwenye mkataba" Wakili Boniface Mwabukusi

"Mkataba wa bandari ni batili, chochote kilichofanywa nje ya sheria na nje ya katiba kirekebishwe" Wakili Boniface Mwabukusi.

"Tanganyika ni nchi kama ilivyo Zanzibar,hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya hovyo kwenye Mali za Tanganyika,kama ambavyo Mtanganyika hawezi kufanya mambo ya hovyo kwenye Mali za Zanzibar" Wakili Boniface Mwabukusi.

"Ndoa ya Tanganyika na Zanzibar ilikuwa ndoa ya utotoni sasa tumekua tunataka tuongee tukubaliane Mali za Tanganyika ziwe chini ya Mtanganyika na Mali za Zanzibar ziwe chini ya Mzanzibari" Wakili Boniface Mwabukusi.

"Waziri Mkuu alitudanganya kuhusu kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli na hajawahi kuomba radhi,na leo anatudanganya kuhusu mkataba wa bandari,akae pembeni kumsaidia Rais" Wakili Boniface Mwabukusi

"Waziri Mkuu atujibu,sheria sura 449 na sheria sura 450 kuhusu Ulinzi wa rasilimali za nchi na kuhusu ushughulikiwaji wa vifungu vyenye utata walizifuata,je vipengele vya mkataba wa bandari vinaoana na vipengele hivi vya sheria yetu" Wakili Boniface Mwabukusi.

"Waziri Mkuu atujibu,kwa nini bunge linataka kubadili sheria sasa hivi ziendane na mkataba huu wa bandari" Wakili Boniface Mwabukusi

"Tuliibinafsisha Tanesco kwa Net Solution tulipata faida gani na leo Tanesco ya nani? Tulileta watu TRL wakaishia kubeba vichwa vya treni kurudi navyo India,tulifanya hivyo hivyo kwa NBC kuuzwa bei ya kutupwa,na leo mnatuambia mna muujiza kwenye kuibinafsisha bandari" Wakili Boniface Mwabukusi

"Kama mkataba ni sahihi,Waziri Mkuu anatuambiaje tukusanye maoni,nani anakusanya maoni,yaende wapi,ya nini? kama mkataba tayari umeshapita" Wakili Boniface Mwabukusi

"Wakati nchi yetu ina Kiongozi mwenye element za Uzalendo watu fulani hawakuonekana kabisa,sasa hivi wamerudi wanatukana hadi Mahakama, Watanzania angalieni walioko nyuma ya huu mkataba"Wakili Boniface Mwabukusi.

"Kila uovu juu ya Tanganyika tutaukabili kwa jina lake na kila muovu tutamkabili kwa jinsi anavyokuja,hii ni nchi yetu hatutamuchia mtu mwingine aitetee" Wakili Boniface Mwabukusi

"Mabadiliko ya sheria yanayokwenda kufanyika ni matusi kwa Tanganyika,narudia tena Tanganyika ni nchi kama ilivyo Zanzibar" Wakili Boniface Mwabukusi.

"Tunatoa onyo kwa Kiongozi mwingine kudhani anaweza kuingia mikataba ya kuuza nchi akabaki salama,wasituchezee" Wakili Boniface Mwabukusi

"Tunawaomba Watanzania wa dini zote,Waislamu, Wakristo,Wachungaji na Mashehe na WA jadi,tufunge tarehe 14,15,16 kuomba mapenzi ya Mungu yakafanyike kwa Tanganyika na Tanzania,ahsanteni sana"Wakili Boniface Mwabukusi
Kwanini aende Mbeya, ni lijitu libaguzi, leo anadai Tanganyika keshao atataka myakyusa awe rais. Huyo ni shetani ni mkabila, mdini, mkanda n.k Natabiri mwisho wake utakuwa mbaya. Wazee wa Mbeya wanahusika vipi na nchi hii, pumbavu
 
Makes sense.
Walioutengeneza mkataba DP World:

Rais :Mzanzibar
Waziri Ujenzi :Mzanzibar
Katibu Mkuu Ujenzi: Mzanzibar

Bandari za Zanzibar: haziuzwi!

The country(Tanganyika) has gone to the dogs!
we uliikuta Tanganyika wakati unazaliwa acheni unafki kutafuta kiki za kipuuzi.
 
Kwanini aende Mbeya, ni lijitu libaguzi, leo anadai Tanganyika keshao atataka myakyusa awe rais. Huyo ni shetani ni mkabila, mdini, mkanda n.k Natabiri mwisho wake utakuwa mbaya. Wazee wa Mbeya wanahusika vipi na nchi hii, pumbavu
Angali dudu lingine hili kwa hiyo kufungua kesi mahakama ya mbeya lazima uwe mnyakyusa? Nyani mkubwa weye! Nakukumbusha tu Mwarabu hachukui bandari kama mmekula vya watu jipangeni
 
huyo mbwa kuna kitu kinamwasha siku si nyingi atapata anachokitafuta. Ameshindwa kupata umaarufu huko mahakamani kwasababu ni kilaza. Amekula pesa za mafisadi wanaofikiri wanaweza kuikwamisha serikali hii, atakwama yeye ngedere. Lengo la hao mambwa ni kuikwamisha serikali na wanatumika na mafisadi wa bandari. Mnafiki mkubwa eti Tanganyika yetu, anaijua Tanganyika huyo fala? Hii nchi haigawanyiki watagawanyika wao.
Hizi ndo akili za watetezi wa mkataba wa DPW! Hamna hoja zaidi ya matusi, vitisho na viroja vya kuokoteza hapa na pale! Watanganyika hawa wameamka siyo wale mliozoea kuwaburuza kama mbwa
 
Back
Top Bottom