Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Unayo haki ya mawazo huru mkuu cassava. JPM hakuwa fascist. Alikuta taifa la wapigaji na akaamua alichangamshe.

Hakuna fascist anayeweza kujenga SGR kama ilivyojengwa na kuelekea kumalizika.

Hakuna dikteta anayeweza kupambana mpaka bwawa la Mwalimu Nyerere limekamilika na kwenda kuongeza umeme kwenye gridi ya taifa.

Hakuna dikteta mwenye uwezo wa kufufua shirika la ndege na linapaa katika ushindani wa kidunia kwa kasi, hayupo mbabe wa aina hiyo.

Tunadhani ni dikteta kwa sababu wengi wetu tulizoea kubembelezana katika kila hatua ya uongozi wa nchi, tumezoea mno kupiga domo na kudhani wenzetu na wao wanaendekeza ujinga huu wa demokrasia zinazopitiliza kama sisi.

Muungano wetu sio fumbo la imani, mkuu usiikejeli imani katoliki hata kama wewe sio mkatoliki.

Muungono wetu umejikita kwenye utu wa mtu na hauwezi kukwepa mantiki ya muungano wakati wowote ule wa maisha yako. Usiwasikilize hawa wapumbavu wanaozungumzia Utanganyika katika afrika mashariki ambayo Sudan ya kusini inataka kuwa sehemu yake pia.

Usiwasikilize hawa wapumbavu wanaojiita watanganyika wakati Congo anaingia kwa kasi kuwa sehemu ya jumuiya ya afrika mashariki na kati.
Hata historia hujua....Hitler alijenga nini.....Magufuli was Megalomanic period! Kujenga vitu hakumuondolea sifa ya kuwa Megalomaniac, alikuwa na obsessed na control ya watu na madaraka! Wapi nimekejeli Wakatoliki....Umemsahau yule Waziri yenu aliyesema Magufuli ni kama Yesu! .......Kama umeshindwa kuona utata wa Muungano unavyoumiza au kutumika kuilinda CCM kweli wewe ni kipofu!
 
Mkuu nimekupa ushauri wa kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi vinginevyo utaendelea kuwa na ufundi mwingi wa kuandika sentensi ndefu na mwisho wa siku ni kuumia kule kule kwa moyo.
 
Unayo haki ya mawazo huru mkuu cassava. JPM hakuwa fascist. Alikuta taifa la wapigaji na akaamua alichangamshe.

Hakuna fascist anayeweza kujenga SGR kama ilivyojengwa na kuelekea kumalizika.

Hakuna dikteta anayeweza kupambana mpaka bwawa la Mwalimu Nyerere limekamilika na kwenda kuongeza umeme kwenye gridi ya taifa.

Hakuna dikteta mwenye uwezo wa kufufua shirika la ndege na linapaa katika ushindani wa kidunia kwa kasi, hayupo mbabe wa aina hiyo.

Tunadhani ni dikteta kwa sababu wengi wetu tulizoea kubembelezana katika kila hatua ya uongozi wa nchi, tumezoea mno kupiga domo na kudhani wenzetu na wao wanaendekeza ujinga huu wa demokrasia zinazopitiliza kama sisi.

Muungano wetu sio fumbo la imani, mkuu usiikejeli imani katoliki hata kama wewe sio mkatoliki.

Muungono wetu umejikita kwenye utu wa mtu na hauwezi kukwepa mantiki ya muungano wakati wowote ule wa maisha yako. Usiwasikilize hawa wapumbavu wanaozungumzia Utanganyika katika afrika mashariki ambayo Sudan ya kusini inataka kuwa sehemu yake pia.

Usiwasikilize hawa wapumbavu wanaojiita watanganyika wakati Congo anaingia kwa kasi kuwa sehemu ya jumuiya ya afrika mashariki na kati.

Steven,

Unasema alikuta taifa la wapigaji.......nani alijenga hilo taifa la wapigaji? Kama sio hao wavaa mashati ya kijani.....
 
Mkuu nimekupa ushauri wa kwenda kupiga kura siku ya uchaguzi vinginevyo utaendelea kuwa na ufundi mwingi wa kuandika sentensi ndefu na mwisho wa siku ni kuumia kule kule kwa moyo.

Huo ushauri wa kwenda kupiga kura wapeni wasiojua! Siku mtakapo ondoa Ma DED kusimiamia uchaguzi! Siku mtakapounda Tume Huru ya Uchaguzi! Siku Katiba itakapobadilishwa ku reflect matakwa ya Watanzania wote, labda unaniona nasogelea kituo cha kupiga kura.

Upigaji kura wa sasa kwa sheria zenu ni upuuzi!
 
Sio leo wala kesho, tunaweza kwenda makaburini na kuuacha mfumo huu huu.
 
huyo mbwa kuna kitu kinamwasha siku si nyingi atapata anachokitafuta. Ameshindwa kupata umaarufu huko mahakamani kwasababu ni kilaza. Amekula pesa za mafisadi wanaofikiri wanaweza kuikwamisha serikali hii, atakwama yeye ngedere. Lengo la hao mambwa ni kuikwamisha serikali na wanatumika na mafisadi wa bandari. Mnafiki mkubwa eti Tanganyika yetu, anaijua Tanganyika huyo fala? Hii nchi haigawanyiki watagawanyika wao.
Baba yako huko aliko anakulaani kuleta kiumbe ta*ra kama wewe.
 
Sio leo wala kesho, tunaweza kwenda makaburini na kuuacha mfumo huu huu.
Haahhhhh...sema kabisa CCM ilishushwa na Mwenyezi Mungu.......Kulikuwa na CPSU.....iko wapi leo! Kuna siku hao Polisi watachoka....hata ma DED watachoka....niwepo nisiwepo....upuuzi huu na ujinga hautadumi milele...huo ni ukweli wa historia!
 
Sio leo wala kesho, tunaweza kwenda makaburini na kuuacha mfumo huu huu.

Steven,

Hivi una hata abc ya history na Political Science......kuna mfumo usiobadilika....kuna mfumo usio kuwa obsolete! Au umeingia CCM wangu wangu kulinda maslahi yako kama walivyo wengi wanavyolinda njaa zao! Vyama vyenye nguvu kama Nazi party viko wapi leo.....! Kuna nyufa nyingi sana unaziona CCM....ni wakati tu!
 
Kesho tu ukifanya uchaguzi wa Huru na Haki mtapona bara......Lakini Zanzibari hamuwezi kabisa! .....na Muungano utakuwa redifined....kama sio kuvunjika kabisa! Kila mwenye ufahamu anajua hilo.....hata waliokunywa maji ya Bendera ya CCM na kuyaoga wanajua hilo!
 
Kila mwaka tunasoma maoni kama haya, kuanzia ujanani mpaka uzeeni.
 
Asanteni watangulizi wa JamiiForums.
The leaders of 2morro

Usihoji sana kuhusu elimu yangu wewe mwanaharakati tambua juu ya ujumbe ninaokwambia. Labda umri wako ni mdogo kiasi cha kudaganyika na hizi siasa za kitanzania.

Hebu toa angalau summary ulichokiandika! Unataka nikusaidie!........Hivi kweli unazijua siasa za Kitanzania.......Usinichekeshe!
 
Steven,

Hivi una hata abc ya history na Political Science......kuna mfumo usiobadilika....kuna mfumo usio kuwa obsolete! Au umeingia CCM wangu wangu kulinda maslahi yako kama walivyo wengi wanavyolinda njaa zao! Vyama vyenye nguvu kama Nazi party viko wapi leo.....! Kuna nyufa nyingi sana unaziona CCM....ni wakati tu!
Nimekuwa nina akili zangu timamu tangu 77 wakati CCM inazaliwa mpaka leo hii. Hizi siasa zetu za JF ni za humu humu majukwaani, huko mikoani haswa vijijini yanafika maendeleo makubwa sana.

Mitazamo yetu ni ya wachache wanaobahatika kupata elimu, wapo mamilioni ya watu wanaofaidika na mikopo, wanaofaidika na umeme wa REA, wanafaidika na mengi sana hawana muda wa kulialia kama mimi na wewe.
 
Back
Top Bottom