cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Hoja sio kusoma ni kuelewe! Kama una ubongo uliofubaa....utaelewe kweli!Kila mwaka tunasoma maoni kama haya, kuanzia ujanani mpaka uzeeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja sio kusoma ni kuelewe! Kama una ubongo uliofubaa....utaelewe kweli!Kila mwaka tunasoma maoni kama haya, kuanzia ujanani mpaka uzeeni.
Hakunaa asiyewajua nyinyi manabii wa majanga, kila siku ni kulialia tu.Hoja sio kusoma ni kuelewe! Kama una ubongo uliofubaa....utaelewe kweli!
Unataka nikupe Summary ya ulichokiandika mpaka sasa?Wewe utakuwa kijana mdogo unadanganyika na hizi harakari za humu jukwaani.
Ukweli unauma! Hampendi kusikia hivyo!Hakunaa asiyewajua nyinyi manabii wa majanga, kila siku ni kulialia tu.
Hakunaa asiyewajua nyinyi manabii wa majanga, kila siku ni kulialia tu.
Nimeshaandika mengi sana humu jamvini, usipoteze muda mwanaharakati.Unataka nikupe Summary ya ulichokiandika mpaka sasa?
Uwezo wako wa kumbukumbu naona ni mdogo mno! Unasahau hata maazimio ya Lumumba na viongozi wako!Nimeshaandika mengi sana humu jamvini, usipoteze muda mwanaharakati.
JPM alisema utafika mwaka wa mtu kusafiri kwa gari akiizunguka nchi nzima. Nenda zunguka na gari uone barabara zinavyojengwa kwa kasi na kumalizika.Haaahhhhh nyie ndio manabii wa neema mnapowapatia watu Fulana za kijani na njano kila miaka! Mnatengeneza wapigaji....halafu mnawarubuni wananchi eti mnondoa wapigaji! Bila kujua ni mifumo yenu wenyewe ndio kiwanda cha wapigaji!
JPM alisema utafika mwaka wa mtu kusafiri kwa gari akiizunguka nchi nzima. Nenda zunguka na gari uone barabara zinavyojengwa kwa kasi na kumalizika.
Nenda katumie umeme wa REA umetapakaa nchi nzima, kuliko kujifungia ukilialia nenda zunguka utazame wawekezaji wanavyozitumia fursa ambazo sisi wala hatuzioni tumebakia kununa na kujazana mawazo hasi tu.
Nimeshaandika mengi sana humu jamvini, usipoteze muda mwanaharakati.
Mkuu, hivyo unataka Mwakabusi asifu na kuabudu !Haaaaahhh Maendeleo yanayoletwa kwa jinsi hiyo ni tabu sana!Huyu Mwabukusi anataka kutuponza Wanyakyusa. Hatutajengewa ile barabara ya TANZAM kwa njia nne
Ni kweli mkuu lakini Mbeya ni lango la kibiashara, ingekuwa mbali sana kama kusingekuwa na upinzani upinzani kama hivi. Angeacha kwanza mradi usishe ndio aseme[emoji16]Mkuu, hivyo unataka Mwakabusi asifu na kuabudu !Haaaaahhh Maendeleo yanayoletwa kwa jinsi hiyo ni tabu sana!
Huyu Mwabukusi anataka kutuponza Wanyakyusa. Hatutajengewa ile barabara ya TANZAM kwa njia nne
Ni kweli mkuu lakini Mbeya ni lango la kibiashara, ingekuwa mbali sana kama kusingekuwa na upinzani upinzani kama hivi. Angeacha kwanza mradi usishe ndio aseme[emoji16]
Steven,Wewe utakuwa kijana mdogo unadanganyika na hizi harakari za humu jukwaani.
Nimeshaandika mengi sana humu jamvini, usipoteze muda mwanaharakati.
Chama unachokifuatilia tangu tisini na mbili hakijawahi kukaa ikulu hivyo kila kitu kwako ni malalamiko tu.Sasa kazi ya Serikali ni nini.....alitoa hizo pesa mfukoni mwake! Kweli unahitaji daktari wa ubongo!