Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Hakunaa asiyewajua nyinyi manabii wa majanga, kila siku ni kulialia tu.

Haaahhhhh nyie ndio manabii wa neema mnapowapatia watu Fulana za kijani na njano kila miaka! Mnatengeneza wapigaji....halafu mnawarubuni wananchi eti mnondoa wapigaji! Bila kujua ni mifumo yenu wenyewe ndio kiwanda cha wapigaji!
 
Upuuzi naona sasa mnamuandama mama Kwa unzanzibari na jinsi yake
 
Haaahhhhh nyie ndio manabii wa neema mnapowapatia watu Fulana za kijani na njano kila miaka! Mnatengeneza wapigaji....halafu mnawarubuni wananchi eti mnondoa wapigaji! Bila kujua ni mifumo yenu wenyewe ndio kiwanda cha wapigaji!
JPM alisema utafika mwaka wa mtu kusafiri kwa gari akiizunguka nchi nzima. Nenda zunguka na gari uone barabara zinavyojengwa kwa kasi na kumalizika.

Nenda katumie umeme wa REA umetapakaa nchi nzima, kuliko kujifungia ukilialia nenda zunguka utazame wawekezaji wanavyozitumia fursa ambazo sisi wala hatuzioni tumebakia kununa na kujazana mawazo hasi tu.
 
Sasa kazi ya Serikali ni nini.....alitoa hizo pesa mfukoni mwake! Kweli unahitaji daktari wa ubongo!
 
Huyu Mwabukusi anataka kutuponza Wanyakyusa. Hatutajengewa ile barabara ya TANZAM kwa njia nne
 
Huyu Mwabukusi anataka kutuponza Wanyakyusa. Hatutajengewa ile barabara ya TANZAM kwa njia nne
Mkuu, hivyo unataka Mwakabusi asifu na kuabudu !Haaaaahhh Maendeleo yanayoletwa kwa jinsi hiyo ni tabu sana!
 
Mkuu, hivyo unataka Mwakabusi asifu na kuabudu !Haaaaahhh Maendeleo yanayoletwa kwa jinsi hiyo ni tabu sana!
Ni kweli mkuu lakini Mbeya ni lango la kibiashara, ingekuwa mbali sana kama kusingekuwa na upinzani upinzani kama hivi. Angeacha kwanza mradi usishe ndio aseme[emoji16]
 
Ni kweli mkuu lakini Mbeya ni lango la kibiashara, ingekuwa mbali sana kama kusingekuwa na upinzani upinzani kama hivi. Angeacha kwanza mradi usishe ndio aseme[emoji16]

Tulia yupo Mkuu.....Serikali lazima ifanye nguvu za makusudi kabisa to counter attack mawazo ya Mwakabusi....maybe is a blessing in disguise.....tusubiri! Inaweza kuwa ni chachu ya Serikali ya CCM kuingalia Mbeya....wasije ipoteza tena!
 
Wewe utakuwa kijana mdogo unadanganyika na hizi harakari za humu jukwaani.
Steven,

Magufuli alikuwa anazichukia harakati za Majukwaani.....nadhani hujapoteza kumbukumbu....Mheshimia Rais Samia kwa kwa kinywa chake alisema anafuatilizia mitandaoni......Wewe mwenyewe unajaza bando kuona tunasemaje!

Hii ni njia mojawapo ya kuwafikia watu kama ninyi mliobatizwa na maji ya kijani na njano hadi kupofua macho yenu na ufahamu wenu! Kwani ni siri kwamba vijana wa Lumumba wanalipwa kufuatilizia kinachoandikwa humu!

Danganyeni watu Majukwaani lakini tutawapa ukweli mitandaoni!
 
Sasa kazi ya Serikali ni nini.....alitoa hizo pesa mfukoni mwake! Kweli unahitaji daktari wa ubongo!
Chama unachokifuatilia tangu tisini na mbili hakijawahi kukaa ikulu hivyo kila kitu kwako ni malalamiko tu.

Tangu tumeanza kuongea huna jipya zaidi ya malalamiko, nikakushauri utafute labda uraia wa nchi nyingine ili angalau upate furaha.
 
Wakili nadhani itakuwa inaongea pombe na sio yeye.

Kama una ukweli wake aweke hadharani lakin sio kuongea kwa chuki namna hiii

Yeye anadhani muungano ndio tatizo lakin hata huko zenjibar muungano hawautaki na walikuwa wanahamasishana lakin mwisho WA siku walipewa kesi za ugaidi na wengine kufia segerea
 
Back
Top Bottom