Wakili Chavula: Watake wasitake wakili wa Jamhuri ni Wakili wa Mahakama

By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???

Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama

WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama

Mahakama: 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Hiyo ni moja ya sababu ya madai ya Katiba mpya. Katiba Mpya izuie Rais kuteua Majaji wa Mahakama Kuu, Tume ya Utumishi ya Mahakama ipewe jukumu hilo
 
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???

Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama

WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama

Mahakama: 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Aaah kumbe?? wao pia ni majaji😅😅
 
Sasa nimegundua kwanini kesi nyingi serikali huwa inashindwa, mawakili wa serikali ni viazi mbatata kabisa, hawawez kujenga hoja kabisa
Wanatumia ubabe na akili finyu sana. Akili wanazo ila hawataki kuzitumia. Vile wanaendeshwa kwenye Vieitee na nyumba za serikali mishahara minono na marupurupu kibao basi hawajigusi kabisa.
 
Wakitoka hapo mahakamani hua hawana muda wa kukaa na kutafakari mwenendo wao mahakamani? DPP hao watu wapuuzi unawatoa wapi? au wanafanya upuuzi kwa faida ya Nani Sasa.

Wajitathmini make wanaanza kupanda juu ya mahakama, na kesi inavyozidi kuendelea watamtukana na jaji kabisa.

DPP na Jaji Mkuu kuweni makini hao wapuuzi wanataka kutupeleka siyo.
Mamamaaaeee khaaa! Hao mna uhakika ni mawakili kweli
 
Kauli hiyo aliitoa wakili mwandamizi wa serikali Bw. Chavula jana tarehe 26 Novemba 2021 katika kesi ya ugaidi inayomuhusu Mbowe ndani ya Mahakama Kuu ya uhujumu uchumi jijini Dar es Salaam. Nini maana ya kauli hii?

Je, ni kwamba hakuna tena muhimili wa mahakama? Na kwamba mahakama na serikali ni kitu kimoja kwa mujibu wa katiba?

Je, uhuru wa mahakama tayari umepokwa na serikali?
Je, wananchi tutegemee nini tunapokuwa mbele ya Mahakama?
Je, mahakama ina uwezo wa kutoa haki bila kuingiliwa na serikali?

Ni maswali mengi ambayo yamo vichwani mwetu yanayotakiwa kupatiwa majibu vinginevyo mahakama inaelekea kupoteza hadhi yake kama muhimili inayojitegemea.
 
Turudi kwenye mabaraza ya kimila kuamua kesi zetu. Mahakama tuachane nayo ishapoteza mwelekeo.
 
Kauli hiyo aliitoa wakili mwandamizi wa serikali Bw. Chavula jana tarehe 26 Novemba 2021 katika kesi ya ugaidi inayomuhusu Mbowe ndani ya Mahakama Kuu ya uhujumu uchumi jijini Dar es Salaam. Nini maana ya kauli hii?

Je, ni kwamba hakuna tena muhimili wa mahakama? Na kwamba mahakama na serikali ni kitu kimoja kwa mujibu wa katiba?

Je, uhuru wa mahakama tayari umepokwa na serikali?
Je, wananchi tutegemee nini tunapokuwa mbele ya Mahakama?
Je, mahakama ina uwezo wa kutoa haki bila kuingiliwa na serikali?

Ni maswali mengi ambayo yamo vichwani mwetu yanayotakiwa kupatiwa majibu vinginevyo mahakama inaelekea kupoteza hadhi yake kama muhimili inayojitegemea.
nchi ya kusadikika hii
 
Back
Top Bottom