Wakili Dkt. Nshala: Ofisi ya DPP imekiuka wajibu wa Kikatiba katika Kesi ya Lissu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameiambia mahakama kuwa amekaa mahabusu kwa siku 139 tangu Februari 24, 2026 hadi Julai 3, 2026 bila kesi yake kusikilizwa.

Soma: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139

Kwa mujibu wa Dkt. Nshala, Lissu ameeleza kuwa kucheleweshwa kwa shauri hilo ni mbinu ya kuendelea kumweka ndani huku akiendelea kupata madhara.

My friends, ladies and gentlemen,

ni muhimu kufahamu kwamba,
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kwa mujibu wa shinikizo au matakwa kutoka kwa muhalifu yeyote yule, kikundi cha watu wowote wale, taasisi au mtu binafsi yeyote yule anaekabiliwa na tuhuma fulani kwa mujibu wa sheria.

Hakuna muujiza, huruma wala mzaha kwenye utaratibu huo wa wazi kabisa wa mahakama huru za Tanzania na kote ulimwenguni 🐒
 
We jamaa jinga sana na unaboa
 
My friends, ladies and gentlemen,

ni muhimu kufahamu kwamba,
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kwa mujibu wa shinikizo au matakwa kutoka kwa muhalifu yeyote yule, kikundi cha watu wowote wale, taasisi au mtu binafsi yeyote yule anaekabiliwa na tuhuma fulani.

hakuna muujiza, huruma wala mzaha kwenye utaratibu huo wa mahakama huru za Tanzania 🐒
Sheria ndiyo inayotaka shauri liharajlkishwe kesi imalizike eitha mumnyonge chiba au mumwachilie ende zake
 
We jamaa jinga sana na unaboa
Gentleman,
ni muhimu kubainisha uerevu wako dhidi ya ujinga wa kwenye comment yangu au hoja ya msingi mezani bila kuweweseka na itapendeza zaidi,

kuendekeza mihemko nonsense jukwaani ni kujiexpose tu jinsi ulivyo na empty head 🐒
 
Sheria ndiyo inayotaka shauri liharajlkishwe kesi imalizike eitha mumnyonge chiba au mumwachilie ende zake
Gentleman,
ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra kwenye mambo haya ambayo yanahitaji nafasi, muda wa kutosha, weledi na umakini mkubwa zaidi wa mahakama huru za Tanzania katika kufikia uamuzi wa mwisho.

hakuna shinikizo linaloweza kufua dafu mbele ya mahakama huru za Tanzania au kokote ulimwenguni, unless huyo wakili mlevi na mtuhumiwa wanatafuta kiki au public sympathy to.

but,
malalamiko yao hayana msingi wowote na yanafaa kupuuzwa na mahakama na jamii nzima ya kiTanzania na dunia nzima 🐒
 
My friends, ladies and gentlemen,

ni muhimu kufahamu kwamba,
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kwa mujibu wa shinikizo au matakwa kutoka kwa muhalifu yeyote yule, kikundi cha watu wowote wale, taasisi au mtu binafsi yeyote yule anaekabiliwa na tuhuma fulani kwa mujibu wa sheria.

Hakuna muujiza, huruma wala mzaha kwenye utaratibu huo wa wazi kabisa wa mahakama huru za Tanzania na kote ulimwenguni 🐒
Mbweha mtingisha matako wewe mnakula Kodi zetu kibwege Sana
 
My friends, ladies and gentlemen,

ni muhimu kufahamu kwamba,
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kwa mujibu wa shinikizo au matakwa kutoka kwa muhalifu yeyote yule, kikundi cha watu wowote wale, taasisi au mtu binafsi yeyote yule anaekabiliwa na tuhuma fulani kwa mujibu wa sheria.

Hakuna muujiza, huruma wala mzaha kwenye utaratibu huo wa wazi kabisa wa mahakama huru za Tanzania na kote ulimwenguni 🐒

Baada ya watu kukuzoea , naona hakuna comment zako watu waki-likes au kureply.

Hii inaonyesha jinsi gan mawazo yako hayakubaliki.
Sio kwasababu ww ni CCM, hapana. Ila kwasababu unatoa comments zisizo na mantiki.

Na hujajijulia tu. Ww Siasa hujui. Ni kelele tu. Hebu rud kwenye zile comments zako za mapenz. Huko ndio haswa Uliko. Ila Huku kwenye siasa waachie wanaojua Siasa na wenye akili za kujenga hoja.
Ww njia hii ya Siasa hauwezi.
 
Just relax gentleman na upate tama la maji baridi kidogo kwanza utulize jotro.

Halafu kwani hujui kwamba,
kulike, kudislike, kuignore, kublock, kureply au kukoment ni uhuru na hiyari ya kila mdau wa jf kulingana na taratibu za platform?. That's completely none of my business.

Au wew huwa unalazimishwa kulike au kudislike? au ulilazimishwa kujiunga JF.

kama mdau huru wa Jf,
nitatoa maoni, ushauri, mawazo na mapendekezo yangu kadiri ninavyoona inafaa katika kila jukwaani, bila kujali makasiriko au mihemko ya mwenye maoni tofauti na yangu.

daima nitaeleza ukweli mtupu, kwenye mambo ya msingi tu, bila kuchoka au kusita 🐒
 
My friends, ladies and gentlemen,

ni muhimu kufahamu kwamba,
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kwa mujibu wa shinikizo au matakwa kutoka kwa muhalifu yeyote yule, kikundi cha watu wowote wale, taasisi au mtu binafsi yeyote yule anaekabiliwa na tuhuma fulani kwa mujibu wa sheria.

Hakuna muujiza, huruma wala mzaha kwenye utaratibu huo wa wazi kabisa wa mahakama huru za Tanzania na kote ulimwenguni 🐒
Sasa mtuhumiwa yupo tayari kusomewa hukumu na hata ikibidi kunyongwa... Mnaogopa nini??
 
Just relax gentleman na upate tama la maji baridi kidogo kwanza utulize jotro.

Halafu kwani hujui kwamba,
kulike, kudislike, kuignore, kublock, kureply au kukoment ni uhuru na hiyari ya kila mdau wa jf kulingana na taratibu za platform?. That's completely none of my business.

Au wew huwa unalazimishwa kulike au kudislike? au ulilazimishwa kujiunga JF.

kama mdau huru wa Jf,
nitatoa maoni, ushauri, mawazo na mapendekezo yangu kadiri ninavyoona inafaa katika kila jukwaani, bila kujali makasiriko au mihemko ya mwenye maoni tofauti na yangu.

daima nitaeleza ukweli mtupu, kwenye mambo ya msingi tu, bila kuchoka au kusita 🐒

M so relaxing.
Just concerning.

Ila Kuna siku utachoka.
sisi ni binadamu. Tuna Limit.
Yaan Uwe unatoa mawazo kama unavyotoa sasahivi na watu wanakuignore namna hii ni lazima tu ipo siku utaona sio sawa.

Na shida sio kwa kuwa uko CCM. Ila ni akili unayotumia kujibu hoja za CCM.

So jua tu shida sio ww kuwa CCM. Ila ni namna unavyojenga hoja.

Yaan hata ungekuwa Chadema. Bas hata wanaChadema Bado wasingekuunga mkono.
Na ndio hapo ujue shida sio mlengo wako wa kisiasa.

Umeona jinsi Erythrocyte anavyo-interact na watu ambao ni Mlengo tofaut na yeye.

basi hata kama una uhuru wa maoni . Ambayo tunayaheshim. Bas uyatoe kwa namna ambayo tutaona aliyoko nyuma ya Keyboard ni kijana matured kwenye Siasa.

Ww unatoaga au kutetea hoja kama yule kijana anabishania mpira alaf hajui info au hana taarifa. Ila kila hoja mshipa wa shingo unamtoka.k
 
Sasa mtuhumiwa yupo tayari kusomewa hukumu na hata ikibidi kunyongwa... Mnaogopa nini??
gentleman,
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa weledi sana, kulingana na utaratibu wa kisheria na kimahakama uliopo kadiri inavyoona inafaa.

Mahakama huru za Tanzania kamwe haziwezi kubabaika na hizo porojo za kibaraka siju awe tayari au asiwe tayari kwa hukumu n.k.
that's is none of Tanzanian free court businesses. Atahukumiwa na kupewa haki yake inavyostahili bila kiherehere cha yeyote miongoni mwenu.

ni muhimu sana kuelewa na kufahamu hili, waambie na wenzako na itapendeza zaidi 🐒
 
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa weledi sana
Tanzania hakuna Mahakama Huru bro.
Na hapo inaondoa uweledi wake.

Mahakama huru kwa EA ni Kenya tu
na ni kwasababu Katiba inawalinda na wanafanya Ile Haki.

Ila nchi majiran wengine ni Pwagu na pwaguzi.
 
Kenya ndio nchi pekee yenye Demokrasia. Kwa hapa majiran.

Na mwakan Ruto anaweza kuondolewa pale kwenye Kiti kwa sanduku la kura. Na ndio Demokrasia yenyewe.

Ila tukiangalia Rwanda na Uganda tuna tofaut ndogo sana na wao. Tofaut kuwa kule ni mtu mmoja na chama chake wameamua kutawala na Tanzania ni Chama kimoja kimeamua kutawala.

Ila mengine ni the same.

Tanzania kuna watu wema. Ila hakuna amani.
 
M so relaxing.
Just concerning.

Ila Kuna siku utachoka.
sisi ni binadamu. Tuna Limit.
Yaan Uwe unatoa mawazo kama unavyotoa sasahivi na watu wanakuignore namna hii ni lazima tu ipo siku utaona sio sawa.

Na shida sio kwa kuwa uko CCM. Ila ni akili unayotumia kujibu hoja za CCM.

So jua tu shida sio ww kuwa CCM. Ila ni namna unavyojenga hoja.

Yaan hata ungekuwa Chadema. Bas hata wanaChadema Bado wasingekuunga mkono.
Na ndio hapo ujue shida sio mlengo wako wa kisiasa.

Umeona jinsi Erythrocyte anavyo-interact na watu ambao ni Mlengo tofaut na yeye.

basi hata kama una uhuru wa maoni . Ambayo tunayaheshim. Bas uyatoe kwa namna ambayo tutaona aliyoko nyuma ya Keyboard ni kijana matured kwenye Siasa.

Ww unatoaga au kutetea hoja kama yule kijana anabishania mpira alaf hajui info au hana taarifa. Ila kila hoja mshipa wa shingo unamtoka.k
Gentleman,
kwamba wew ndio utanichosha right?🤣

By the way,
mimi sijali ikiwa wewe ni mrengo gani wa kisiasa, wala wa dini gani humu nchini. Ukiweka andiko jukwaani, ambalo nadhani ninayo maoni, ushauri, mawazo, mapendekezo au kupuuza kwa kueleza hata kaneno kafupi tu, kamwe siwezi kusita kufanya hivyo hata kwa sekunde moja.

Na siwezi kabisa kuona haya wala aibu kueleza ukweli kwenye jambo ambalo nina mawazo nalo. Halafu jambo kubwa zaidi ambalo niko chonjo nalo, ni kwamba, najua ukweli ni mchungu sana, na ukweli una kera sana, na ninaelewa ukieleza ukweli tofauti na matarajio ya wengine ni dhahiri utaoga mvua ya matusi ambayo kwangu mimi hua ni hot air tu.

Lakini pia,
sihitaji kufanana au kujifunza tabia ya kuinteract au namna ya kujieleza na wadau wengine wa JF. Nadhani kila moja anaweza kufanya kadiri inavyoona na itapendeza zaidi.

Nikiwa nafundisha huko universities ndani au nje ya nchi, ndio pekee hua ni complasory kwa wanafunzi kutumia the same styles kujibu maswali kwenye mtihani, kwenye assignments au kwenye research.
But humu jukwaani, I think it's not necessary at all.

Nitajieleza kadiri ninavyoona inafaa, ilimradi sikiuki sheria, kanuni na utaratibu wa mijadala jukwaani, right?

I hope umenielwa?

waambie na wenzako kwamba hakuna fidia yoyote itakayo tolewa kwa kibaraka anaesota korokoroni kwa tuhuma za uhaini 🐒
 
Back
Top Bottom