Gentleman,
kwamba wew ndio utanichosha right?🤣
By the way,
mimi sijali ikiwa wewe ni mrengo gani wa kisiasa, wala wa dini gani humu nchini. Ukiweka andiko jukwaani, ambalo nadhani ninayo maoni, ushauri, mawazo, mapendekezo au kupuuza kwa kueleza hata kaneno kafupi tu, kamwe siwezi kusita kufanya hivyo hata kwa sekunde moja.
Na siwezi kabisa kuona haya wala aibu kueleza ukweli kwenye jambo ambalo nina mawazo nalo. Halafu jambo kubwa zaidi ambalo niko chonjo nalo, ni kwamba, najua ukweli ni mchungu sana, na ukweli una kera sana, na ninaelewa ukieleza ukweli tofauti na matarajio ya wengine ni dhahiri utaoga mvua ya matusi ambayo kwangu mimi hua ni hot air tu.
Lakini pia,
sihitaji kufanana au kujifunza tabia ya kuinteract au namna ya kujieleza na wadau wengine wa JF. Nadhani kila moja anaweza kufanya kadiri inavyoona na itapendeza zaidi.
Nikiwa nafundisha huko universities ndani au nje ya nchi, ndio pekee hua ni complasory kwa wanafunzi kutumia the same styles kujibu maswali kwenye mtihani, kwenye assignments au kwenye research.
But humu jukwaani, I think it's not necessary at all.
Nitajieleza kadiri ninavyoona inafaa, ilimradi sikiuki sheria, kanuni na utaratibu wa mijadala jukwaani, right?
I hope umenielwa?
waambie na wenzako kwamba hakuna fidia yoyote itakayo tolewa kwa kibaraka anaesota korokoroni kwa tuhuma za uhaini 🐒