Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
My friends, ladies and gentlemen,Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameiambia mahakama kuwa amekaa mahabusu kwa siku 139 tangu Februari 24, 2026 hadi Julai 3, 2026 bila kesi yake kusikilizwa.
Soma: Tundu Lissu: DPP anilipe fidia kwa taabu aliyonisababishia kwa siku 139
Kwa mujibu wa Dkt. Nshala, Lissu ameeleza kuwa kucheleweshwa kwa shauri hilo ni mbinu ya kuendelea kumweka ndani huku akiendelea kupata madhara.
My friends, ladies and gentlemen,
ni muhimu kufahamu kwamba,
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kwa mujibu wa shinikizo au matakwa kutoka kwa muhalifu yeyote yule, kikundi cha watu wowote wale, taasisi au mtu binafsi yeyote yule anaekabiliwa na tuhuma fulani kwa mujibu wa sheria.
Hakuna muujiza, huruma wala mzaha kwenye utaratibu huo wa wazi kabisa wa mahakama huru za Tanzania na kote ulimwenguni 🐒
We jamaa jinga sana na unaboaMy friends, ladies and gentlemen,
ni muhimu kufahamu kwamba,
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kwa mujibu wa shinikizo au matakwa kutoka kwa muhalifu yeyote yule, kikundi cha watu wowote wale, taasisi au mtu binafsi yeyote yule anaekabiliwa na tuhuma fulani kwa mujibu wa sheria.
Hakuna muujiza, huruma wala mzaha kwenye utaratibu huo wa wazi kabisa wa mahakama huru za Tanzania na kote ulimwenguni 🐒
Sheria ndiyo inayotaka shauri liharajlkishwe kesi imalizike eitha mumnyonge chiba au mumwachilie ende zakeMy friends, ladies and gentlemen,
ni muhimu kufahamu kwamba,
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kwa mujibu wa shinikizo au matakwa kutoka kwa muhalifu yeyote yule, kikundi cha watu wowote wale, taasisi au mtu binafsi yeyote yule anaekabiliwa na tuhuma fulani.
hakuna muujiza, huruma wala mzaha kwenye utaratibu huo wa mahakama huru za Tanzania 🐒
Gentleman,We jamaa jinga sana na unaboa
Gentleman,Sheria ndiyo inayotaka shauri liharajlkishwe kesi imalizike eitha mumnyonge chiba au mumwachilie ende zake
Mbweha mtingisha matako wewe mnakula Kodi zetu kibwege SanaMy friends, ladies and gentlemen,
ni muhimu kufahamu kwamba,
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kwa mujibu wa shinikizo au matakwa kutoka kwa muhalifu yeyote yule, kikundi cha watu wowote wale, taasisi au mtu binafsi yeyote yule anaekabiliwa na tuhuma fulani kwa mujibu wa sheria.
Hakuna muujiza, huruma wala mzaha kwenye utaratibu huo wa wazi kabisa wa mahakama huru za Tanzania na kote ulimwenguni 🐒
My friends, ladies and gentlemen,
ni muhimu kufahamu kwamba,
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kwa mujibu wa shinikizo au matakwa kutoka kwa muhalifu yeyote yule, kikundi cha watu wowote wale, taasisi au mtu binafsi yeyote yule anaekabiliwa na tuhuma fulani kwa mujibu wa sheria.
Hakuna muujiza, huruma wala mzaha kwenye utaratibu huo wa wazi kabisa wa mahakama huru za Tanzania na kote ulimwenguni 🐒
Just relax gentleman na upate tama la maji baridi kidogo kwanza utulize jotro.Baada ya watu kukuzoea , naona hakuna comment zako watu waki-likes au kureply.
Hii inaonyesha jinsi gan mawazo yako hayakubaliki.
Sio kwasababu ww ni CCM, hapana. Ila kwasababu unatoa comments zisizo na mantiki.
Na hujajijulia tu. Ww Siasa hujui. Ni kelele tu. Hebu rud kwenye zile comments zako za mapenz. Huko ndio haswa Uliko. Ila Huku kwenye siasa waachie wanaojua Siasa na wenye akili za kujenga hoja.
Ww njia hii ya Siasa hauwezi.
Sasa mtuhumiwa yupo tayari kusomewa hukumu na hata ikibidi kunyongwa... Mnaogopa nini??My friends, ladies and gentlemen,
ni muhimu kufahamu kwamba,
mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi na sio kwa kwa mujibu wa shinikizo au matakwa kutoka kwa muhalifu yeyote yule, kikundi cha watu wowote wale, taasisi au mtu binafsi yeyote yule anaekabiliwa na tuhuma fulani kwa mujibu wa sheria.
Hakuna muujiza, huruma wala mzaha kwenye utaratibu huo wa wazi kabisa wa mahakama huru za Tanzania na kote ulimwenguni 🐒
Just relax gentleman na upate tama la maji baridi kidogo kwanza utulize jotro.
Halafu kwani hujui kwamba,
kulike, kudislike, kuignore, kublock, kureply au kukoment ni uhuru na hiyari ya kila mdau wa jf kulingana na taratibu za platform?. That's completely none of my business.
Au wew huwa unalazimishwa kulike au kudislike? au ulilazimishwa kujiunga JF.
kama mdau huru wa Jf,
nitatoa maoni, ushauri, mawazo na mapendekezo yangu kadiri ninavyoona inafaa katika kila jukwaani, bila kujali makasiriko au mihemko ya mwenye maoni tofauti na yangu.
daima nitaeleza ukweli mtupu, kwenye mambo ya msingi tu, bila kuchoka au kusita 🐒
Mahakama inasubiri simu ya Samia ili kutoa hukumu...
Pumbavuu sanaaa CCM
gentleman,Sasa mtuhumiwa yupo tayari kusomewa hukumu na hata ikibidi kunyongwa... Mnaogopa nini??
jBinafsi sio Uhuru wa Mahakama.
Hili jambo pamoja kuwa liko mahakaman ila linaendeshwa na Maoni ya wanasiasa.
Dah so ashamed.
Tanzania hakuna Mahakama Huru bro.mahakama huru za Tanzania zinafanya kazi zake kwa weledi sana
Gentleman,M so relaxing.
Just concerning.
Ila Kuna siku utachoka.
sisi ni binadamu. Tuna Limit.
Yaan Uwe unatoa mawazo kama unavyotoa sasahivi na watu wanakuignore namna hii ni lazima tu ipo siku utaona sio sawa.
Na shida sio kwa kuwa uko CCM. Ila ni akili unayotumia kujibu hoja za CCM.
So jua tu shida sio ww kuwa CCM. Ila ni namna unavyojenga hoja.
Yaan hata ungekuwa Chadema. Bas hata wanaChadema Bado wasingekuunga mkono.
Na ndio hapo ujue shida sio mlengo wako wa kisiasa.
Umeona jinsi Erythrocyte anavyo-interact na watu ambao ni Mlengo tofaut na yeye.
basi hata kama una uhuru wa maoni . Ambayo tunayaheshim. Bas uyatoe kwa namna ambayo tutaona aliyoko nyuma ya Keyboard ni kijana matured kwenye Siasa.
Ww unatoaga au kutetea hoja kama yule kijana anabishania mpira alaf hajui info au hana taarifa. Ila kila hoja mshipa wa shingo unamtoka.k