GE2025 Wakili Fatma Karume asema CHADEMA haiwezi kuzuia UCHAGUZI

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu anasumbuliwa na udini anafikiri CCM watashindwa kupitisha Sheria mbovu kwa watu 30 bungeni kuwa wapinzani?

Sisi hatutaki watu kuuawa kwenye chaguzi

Kwahiyo act watalindaje kura?
 
Mindset za udini zipo wazi na mnazionesha, kwann umesema Muslim na kuwahusisha na SSH na isiwe kinyume chake kwa kwenda moja kwa moja kwa TUNDU na ukristo! Limtokalo mtu ndilo lililopo moyoni mwake.
Hakuna reform Tanzania kwa sababu Muslims wameshawajua nyinyi na mbinu zenu siku hizi. Kwann this time, ndiyo awamu mbovu kuliko zote! Waislamu wameamka tafuteni mbinu nyingine
 
Mimi naona tu watu wanaweweseka,Chadema imesema hawatashirki uchaguzi,sasa hao wengine wanawashwa nini!!si washiriki wao mbona maneno yamekuwa mengi .
 

unanilisha maneno, ngoja nikuulize huyo demu si walikuwa na tundu lisu, maria & co. tokea enzi za kupigwa risasi toe to toe ? si walikuwa pmj kudai katiba mpya against dhalimu ccm, sasa nini kimebadilika kwa maana tundu lisu yuko jela au sijui rumande kwa kesi ya uhaini ni lini alijitokeza hata kumtetea ukichukulia na yeye ni wakili? ni lini hata alilaani tu kuwekwa ndani kwa “mwenzake” kwa uhaini ambapo anaweza hata kunyongwa? lini aliongelea kutekwa na tunasikia kuna watu wamekutwa wamefariki lini kawatetea? nini kimebadilika wakati walikuwa wote kwenye mapambano? …
 
Mimi naona tu watu wanaweweseka,Chadema imesema hawatashirki uchaguzi,sasa hao wengine wanawashwa nini!!si washiriki wao mbona maneno yamekuwa mengi .
Ngoja tuone mwisho wake
 
Labda aliyokuwa anayapigia kelele yamefanyiwa kazi
 
Muhimu kuwa na umoja wa kitaifa kwa maendeleo yetu sote
 
Huyu anasumbuliwa na udini anafikiri CCM watashindwa kupitisha Sheria mbovu kwa watu 30 bungeni kuwa wapinzani?

Sisi hatutaki watu kuuawa kwenye chaguzi

Kwahiyo act watalindaje kura?
Zito ana pambana na Baba levo, hizo kura zitakuja akisha muangusha Baba levo. ACT wao wamesema Oktoba wanaTIKI
 
Kuna umuhimu wa kuwa na mjadala wa kitaifa kuhusu haya mambo ya husuyo taifa au nchi kwa ujumla na mustakabali wake
Hawa ni wanafiki ndani yao kuna uzanzibari na uzanzibqri
 
Yaani ujadiliane (negotiate) na system inayowaua, kuwatesa, kuwafunga jela!

Kweli hilo jimama, limechemka.
Alitakiwa kudadavua ili wananchi waweze kumuelewa vema
 
Tatizo linafahamika tu, huyu naye tayari Imani imemsomba.
 
Hao sio watanganyika!! Ni walowezi km wanyasa tu ndani y Tanganyika.
KAZI ni kipimo cha utu
Kwa kuzaliwa na kuishi kwao Wana hadhi Sawa na watanzania wengine
 
Yupo sahihi kabisa...

Naunga mkono hoja yake..
 
Yupo sahihi kabisa...

Naunga mkono hoja yake..
Lakini wadau wanahisi ni kama amekengeuka tofauti na misimamo yake ya huko nyuma. Una zungumziaje hilo?
 
Lakini wadau wanahisi ni kama amekengeuka tofauti na misimamo yake ya huko nyuma. Una zungumziaje hilo?
Wanaona amekengeuka sababu tu amepishana nao misimamo.

Fatima karejea kilichotokea huko Zanzibar ambapo CUF waliposusia uchaguzi wa 2016 huko Zanzibar,Ccm walikomba Kila kitu na kufanya watakalo ndicho anachoona kutokea huku bara.

JokaKuu zitto junior
 
Shangazi ni royal family hawezi kujua ugumu wa maisha wanayopitia raia wa kawaida
 
Kiumbe yeyote anaefaidika na CCM huwa hawezi kuwa mwanaharakati huyu sijawahi mkubali maana najua ana CCM ndani yake. Wazenji wameungana kumtetea mama abdul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…