Hapo na Wakili wa Makonda anayetakiwa kuwatetea na wananchi kutokana na dhuluma mbalimbali akisoma hukumu ya kesi nadhani. Huyu bwana ndio angekuwa anahojiwa na makonda angeitwa hajasoma, anaongea vibaya, anabana pua kama anaongea na mke wake, mwishowe amtengeu, ila sababu yuko upande wake kila kitu shwari, na atamtendea vizuri bila ubaguzi.
Haitakiwi kuwa hivi, kuwe na double standard, kila mtu atendewe vizuri bila kumdhalilisha wala kushusha utu wake. Kama ni mzembe au mwizi wa mali umma awajibishwe kwa kufuata taratibu siyo kutumia mihemko na kufanya kiki kwa gharama ya utu wake.

Mimi ngeli inanipiga chenga sana mbali na kwenda eti kusoma nje Ila kukweli nisifiche huyo namzidi mbali sana .
Kwanza Mimi natia lafudhi ya kizaramo kwenye kingereza hapo mpaka wakubali .
Jirani Makonda ,nichukue bwana niwe nakusomea mambo ya kingereza japo utafute na mtu wa kutafsiri nimesoma nini