Wakili huyu angekuwa ndio anahojiwa na Makonda angeloa kejeri na udhalilishaji!

Maaaaama yangu! Hivi naota!! Huyu ni nani eti? Wakili wa Makonda? Cute Wife hebu acheni utani bwana. Nimelewa bila hata kunywa pombe!
 
Products za shule ya Kata , kingerreza si lazma , kiswahili ni lugha ya kimataifa, wengi mnaomzodoa wakili hapa ni kwasababu hajui kingereza ila kizungu si lazma kujua, kwani wachina wanajua kingereza? Warusi wanajua kingereza?
Inawezekana wewe ni huyo kilaza! Tanzania tumefika kuwa na stage ya kuwa na wanasheria wa namna hii? Huyu hata mtoto wangu wa darasa la sita mbona anaweza kusoma vizuri zaidi?
 
Ndio ushahidi kwamba una chuki binafsi na Makonda.Huyu pia unamdhalilisha kwa kuweka mapungufu yake wazi.Sio ndio logical thinking uliyotumia kumshambulia Makonda alipotaka yule dada aongeze sauti?
Wewe upo subjective kwenye kumshambulia Makonda mpaka umediriki kufanya assumption iwe ndio ukweli.
Isije ikwa wewe ni mojawapo wa kikundi cha mafisadi au wala rushwa/wazembe.
Unasumbuliwa na spana.
 
Lamamayeee oyaaa huyu ndiyo wakili mwenyewe!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…