First of all, your argument is disjointed.
Unaposema "ndio tufanye kila tunachotaka" unamkusudia nani?
Mtumishi wa umma? Mwananchi asiye mtumishi wa umma?
Na nani kasema loloye kuhusu "tufanye kila tunachotaka"?
Kwa nini unaleta habari za "tufanye kila tunachotaka" ambazo hazipo katika mjadala, kwenye mjadala ambao unajadili mambo maalum na si "kufanya kila tunachotaka"?
Kwani mimi nimesema Idris afanye kila anachotaka?
Wapi nimeandika hilo?
Mbona unaleta hoja ambazo hazina kichwa wala mguu katika majadiliano ambayo yanalenga kujadiki vitu maalum?
Why do you want to paint me, a libertarian with clearly stated boundaries, as an anarchist with no boundaries?
Do you even know the difference?
Sent from my typewriter using Tapatalk