Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kumcheka Rais ni kosa?Ile ni dharau kafanya awaeleze police alikua anamaanisha nini mpaka sasa atakua hana hasababu za msingi ndo mana haachiwi alikosa cha kufanya mpaka kumcheka rais kweli? Mbona vitu vya kufanya vipo vingi tu
Tunakaribia kufika shimoni we are almost there sebiri uone baada ya uchaguzi CCM itashinda kimabavu kwa 99% Kama Mugabe na hapo ndio tutaanza Safari rasmi ya kuelekea ZimbabweUjinga na umasikini. Ukijitambua huwezi kuwa na akili za kishamba hivo.
Yaani kumcheka kiongozi ni kosa. Wallahi tunapo elekea ni shimoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumcheka Rais ni kosa?
Duh!!Rais ndo raia namba moja hupaswi kuleta mizahamizaha ya kitoto kwa mkuu wa nchi ameshindwa kueleza kicheko chake alikua anamanisha ile ni dharau.
Rais anatakiwa kuwa na protection ndogo zaidi kwenye mambo ya kijamii kuliko raia wa kawaida.Rais ndo raia namba moja hupaswi kuleta mizahamizaha ya kitoto kwa mkuu wa nchi ameshindwa kueleza kicheko chake alikua anamanisha ile ni dharau.
Unaelewa kwamba rais si bosi wa wananchi, ni mtumishi wa wananchi?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Washauri wa Idriss sijui ni akina nani! Ile video tokea nilipoiona nilijua itamletea shida, kwa jinsi picha zile za ‘TBT’ za Rais zilivyoenea mitandaoni huku wengi wakifanya dhihaka haikufaa yeye kujifunga kibwebwe kuchekelea waziwazi.
Kwa hili umelivagaa Idriss, umepatikana...
Ni wazi Rais hakupendezwa na dhihaka zile, utayabeba machungu yake wewe mwenyewe!
Ukiponea hili uache kiherehere cha kurukia mambo, cheap stunts zitakuponza!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Perspective ni muhimu sana.Shemeji,
Hadi ww upo low kiasi hiki?
Pamoja na mavitabu yote na stori mnazotuletea humu?
Rais anatakiwa kuwa na protection ndogo zaidi kwenye mambo ya kijamii kuliko raia wa kawaida.
Kwa sababu yeye alichagua mwenyewe kuwa mtumishi wa watu, kwa kutaka kazi yenye figisu nyingi sana.
Unaelewa hilo?
Unaelewa kwamba rais si bosi wa wananchi, ni mtumishi wa wananchi?
Sent from my typewriter using Tapatalk
First of all, your argument is disjointed.Hata kama ni mtumishi wa wananchi ndo tufanye kila tunachotaka? Huyo msanii amekosa vitu vya kuchekesha mpaka atumie picha ya rais? Dharau hizo aache kabisa
First of all, your argument is disjointed.
Unaposema "ndio tufanye kila tunachotaka" unamkusudia nani?
Mtumishi wa umma? Mwananchi asiye mtumishi wa umma?
Na nani kasema loloye kuhusu "tufanye kila tunachotaka"?
Kwa nini unaleta habari za "tufanye kila tunachotaka" ambazo hazipo katika mjadala, kwenye mjadala ambao unajadili mambo maalum na si "kufanya kila tunachotaka"?
Kwani mimi nimesema Idris afanye kila anachotaka?
Wapi nimeandika hilo?
Mbona unaleta hoja ambazo hazina kichwa wala mguu katika majadiliano ambayo yanalenga kujadiki vitu maalum?
Why do you want to paint me, a libertarian with clearly stated boundaries, as an anarchist with no boundaries?
Do you even know the difference?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Baba yangu si kiongozi aliyeomba kuwa katika position yenye figisu.Angekua anaicheka picha ya baba yako ungefurahi?
Haya maneno yana "Clouds" ndani mwake!!Mi Naona tu Idris anyongwe kwa kweli he is too much
Mr Bold hajambo, kitambo sijakutana na post yakoWashauri wa Idriss sijui ni akina nani! Ile video tokea nilipoiona nilijua itamletea shida, kwa jinsi picha zile za ‘TBT’ za Rais zilivyoenea mitandaoni huku wengi wakifanya dhihaka haikufaa yeye kujifunga kibwebwe kuchekelea waziwazi.
Kwa hili umelivagaa Idriss, umepatikana...
Ni wazi Rais hakupendezwa na dhihaka zile, utayabeba machungu yake wewe mwenyewe!
Ukiponea hili uache kiherehere cha kurukia mambo, cheap stunts zitakuponza!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yeye ni mchekeshaji na ubongo wake ndivyo ulivyoumbwa na anachoona yeye kinachekesha mtu mwingine hataona kinachekesha, ndivyo ubongo ulivyo.
Ubongo unaweza ukakufanya ucheke ukimuona mtu mwingine na wengine watakushangaa, kicheko hicho si cha hiari yako. Tujiulize ikitokea kapandishwa kizimbani na hakimu au mtu yoyote akamcheka kwa muonekano wake naye amfungulie shitaka?
Kucheka hukuongezea siku za kuishi, laughter is the best medicine. Inatoka na ubongo kufanya imagination nyingi kichwani mwako.
Malaika hahaaaaa ila inachekesha acha tuongeze siku za kuishi....Sheria ya nchi gani inasema mkubwa hachekwi
Nikumbushe kifungu tafadhali
Vipi wale wanaomchora na komwe kwenye magazeti nao wakamatwe kwa kumdhihaki malaika?
Sent using Jamii Forums mobile app