Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

Acheni siasa, ile ni dhihaka na sio vinginevyo. Tupingane na Rais katika mambo ya msingi ila sio kumdhihaki.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Lakini Nifah kwani wewe ile picha unaionaje?

Lile koti na ile miwani ya mviringo je?

Ule mchongoko?

Ile stance je?

Idris aache kiherehere lakini.. 😂 😂 😂 😂 😂
 
Lakini Nifah kwani wewe ile picha unaionaje?

Lile koti na ile miwani ya mviringo je?

Ule mchongoko?

Ile stance je?

Idris aache kiherehere lakini.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kusema kweli inachekesha lakini si unajua tena mkubwa hachekwi? Wengine tulicheka kimyakimya yakaisha, ila yeye kiherehere ndio kinamponza.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nitajie sheria aliyovunja
Halafu umejuaje kuwa alikuwa anaicheka ile picha
Hata kama angeicheka ile picha,yule sio rais,alikuwa mfanyakazi wa nyanza au mbunge tu
 
Hivi kuna tofauti ya kucheka na kufurahi, mi nimeona ile video kijana akifurahi sababu sioni sababu ya kucheka picha ya mhishimiwa kwani alikuwa amevaa nadhifu na amependeza hivyo hakukuwa na sababu ya kucheka ile picha
 
Mimi binafsi siwezi kufurahia kudhihakiwa mitandaoni! Hasa watu wanapodhihaki mwonekano au mavazi yako!

Sijali kama ni magufuli au ni mtu mwingine aliyefanyiwa hivyo! Hapa nazungumza tu katika ujumla wake!

Kudhihaki watu mitandaoni ni jambo lisilovumilika!

Hawa wajinga wajinga waliolimbuka na mitandao wacha washughulikiwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idris Sultana hata kama alicheka picha ya John Magufuli wakati huo hakuwa Rais hivyo hamuwezi kusema kamdhihaki Rais!!! Angekuwa ameicheka picha ya RAIS John Pombe Magufuli pengine mgeweza kuwa na hoja!!
 
Ila mbona pale walikua watatu hakuna sehemu inayoonesha kwamba yule wa kati kati ndio alikua anachekwa...hahahahaha...
 
Next time aweke picha ya baba yake halafu acheke.
 
kwa hiyo Jpm hachekwi [emoji23][emoji23]

Hii nchi kuja kuendelea ni kazi sana kwa mentality hizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3069]

Mkulima wa mahindi
Ukiambiwa nchi inayoendelea ujue hata kucheka haturusiwi kucheks viongozi maana hawajazoea kuchekwa
 
Hivi watanzania mmekuwaje? Tuseme wewe huwezi kuicheka picha ya baba yako kama inachekesha, tena na yeye akiwa pale akacheka na wewe; mmekuwa kama akili mmeondoa kwenye ubongo na kujaza tu mamichanga. Eti hakupendezwa! Lumumba bwana!!! Shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…