Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
Aaah, jomba wacha hizo, miaka ya '90 mbona suti za maana zilikuwapo!!Tatizo unaitazama picha kwa jicho la leo, ingawa mkulu hata leo pigo zake ni magumashi ila hii kwa nyakati zao haikuwa kichekezo bali heshima... tunatoka mbali bwashee.