Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But you're following the North Korean model huh? 😹😹. Maajabu.His name is Jiwe...or you can call him "the bulldozer",don't mess with him
But remember,this is Tanzania,we are not pretending to be americans
Hapa ndipo tunapotofautiana na wazungu...wao wangechunguza why mtu aicheke picha ya Rais ili wakijua sababu walifanyie kazi haraka.Huyo kijana wamwache akae huko ajifunze
Exactly! Ukomunisti ni laana. Unanyima wananchi uwezo wa kufikiri huku ukiwafanya viongozi wawe miungu watu.Exactly, ukomunisti ni janga.
Nimegundua kuwarudisha watanzania kwenye sera za ukomunisti ni rahisi sana kwasababu tulianzia huko...
Wasukuma ni washamba tangu long timeKwani Wasukuma tuna nini? Achana na sisi wewe!
Tatizo unaitazama picha kwa jicho la leo, ingawa mkulu hata leo pigo zake ni magumashi ila hii kwa nyakati zao haikuwa kichekezo bali heshima... tunatoka mbali bwashee.
Mzee ni mjima tangu zamani mpaka leo. Hata kuongea kiswahili fasaha tu ni shida.Kama ulikuwa mkubwa miaka hiyo utakumbuka hili, kuna picha za ‘Nkapa’ pia kipindi hicho majanga tupu.... sema huyu Mzee wetu hadi leo pigo zake za kijima tu.
Namhala wing’we alemugoola atadebile kuzwala chiza. [emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu kwani hiyo picha ikoje mpaka rais wako achukie? Je hiyo picha ilipigwa na idrissa bila idhini ya rais au rais aliipiga mwenyewe na kwa hiari yake?Washauri wa Idriss sijui ni akina nani! Ile video tokea nilipoiona nilijua itamletea shida, kwa jinsi picha zile za ‘TBT’ za Rais zilivyoenea mitandaoni huku wengi wakifanya dhihaka haikufaa yeye kujifunga kibwebwe kuchekelea waziwazi.
Kwa hili umelivagaa Idriss, umepatikana..
Tuliza makalio wewe utueleze amevunja sheria ipi kwa kucheka picha ya Magufuli?Mbona kama masihara huwa hawawafanyii wazazi wao. Akamcheke mama ake au baba ake. Kibaya zaidi usikute hakumpigia hata kura huyo magufuli, na ndio sababu ya hizo dharau na dhihaka. Anajifanya ana trend na siasa za upinzani. Alipewa millioni 500. Angezisimamia vizuri sidhani hata kama angekuwa na huo muda wa kuleta dhihaka kwa rais. Pengine angekuwa bize na kina angela kairuki huko kwenye uwekezaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau na mitiHamna haja ya kumuumiza Sana, sisi siyo sadist na Kama sikosei hili kosa lake la pili, nadhani kijana Ana kichwa kigumu bado hajaelewa tuko kipindi gani,apewe onto Kali Sana na akirudia Tena Basi adhabu Kali ya kumfunga adabu ihusike,
Mfano viboko, faini etc
Picha ya rais ni ipi?
Tupate ufafanuzi.
Sent using iphone pro max
Kumbe kucheka siku hizi ni dhihaka ,kejeli nk...Yaani Lugola yupo mtaani lakini..Kuongozwa kwa ujinga ni ujinga mkubwa sana..Pia hiyo sio picha ya Rais tuache uongoNimeangalia ile sio commedy, alilenga kumdhalilisha Mkuu wa Nchi lazima achunguzwe huwenda kuna mtu anamtumia nyuma ya pazia
Apo kwenye picha nani ni Rais?Acheni siasa, ile ni dhihaka na sio vinginevyo. Tupingane na Rais katika mambo ya msingi ila sio kumdhihaki.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkiambiwa ni Madikteta mnanuna, yaani mtu kucheka mwenyewe ni kosa kwa mujibu wa kifungu kipi?Hakucheka picha huyo, aulizwe vizuri kilichomchekesha! Halafu ni vichekesho gani hivyo vya mchekeshaji kujicheka mwenyewe?
Kama ni wengi wanaofanya dhihaka hii inakuinesha hakubalikiWashauri wa Idriss sijui ni akina nani! Ile video tokea nilipoiona nilijua itamletea shida, kwa jinsi picha zile za ‘TBT’ za Rais zilivyoenea mitandaoni huku wengi wakifanya dhihaka haikufaa yeye kujifunga kibwebwe kuchekelea waziwazi.
Kwa hili umelivagaa Idriss, umepatikana..
Lakini kama ni ile picha ya wa3, mbona mhusika alitokelezea tu?Acheni siasa, ile ni dhihaka na sio vinginevyo. Tupingane na Rais katika mambo ya msingi ila sio kumdhihaki.
Sent from my iPhone using JamiiForums