sheiza
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 7,640
- 11,680
Mbona kama masihara huwa hawawafanyii wazazi wao. Akamcheke mama ake au baba ake. Kibaya zaidi usikute hakumpigia hata kura huyo magufuli, na ndio sababu ya hizo dharau na dhihaka. Anajifanya ana trend na siasa za upinzani. Alipewa millioni 500. Angezisimamia vizuri sidhani hata kama angekuwa na huo muda wa kuleta dhihaka kwa rais. Pengine angekuwa bize na kina angela kairuki huko kwenye uwekezaji.Vijana mnajisahau sana kama ni uhuru sio kwa kiasi hicho.
This is Africa not America!
Sent using Jamii Forums mobile app