Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
Hawezi maana sasa hivi hatuna tofauti na North Korea!Jamani eeh kama hapa ndiyo tulipo tuna kizazi tatizo kidogo.
Kuicheka picha binafsi sioni kama big deal. Wengine wanamchora ana kichwa kibaya na siyo tatizo kwanini hili liwe tatizo?
Ajabu zaidi ni wanapotokea watu wakisema hilo ni kos kubwa sana afunzwe adabu. Yaani, kucheka picha ni kosa kubwa sana ufunzwe adabu.
Jpm akiibuka na akasema haoni tatizo? Itabidi wamuachie. Kisha same people waliosema afunzwe adabu wataside upande wa jpm. Also if jpm will do this atavuna popularity na atatutofautisha sisi na North Korea.