Mbangaizaji wa Taifa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 493
- 844
I'mWakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanataka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo,
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu kumnadi Leo Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huu katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.
Jebra anasema kila mtu atapita kwenye Mitandao kama anaaga maiti yaani haangalii marambili.
View attachment 3186199
Unaleta habari za hapo zamani za kale zama hizi?Mbowe anaweza na ameshaendesha chadema bila kuwa na mbunge, wala diwani. Kwa hiyo msitubabaishe
Zama hizi zilianza na kaleUnaleta habari za hapo zamani za kale zama hizi?
Matter of fact yupo pale kwa maelekezo, yeye ndio ana keep chadema from achieving anythingMbowe ni asset ya CCM
Akichaguliwa maana yake kura zote 2025 zinaenda CCM kwa sababu wanamnadi leo kwa ajili hiyo
Bila TAL kuutaka Uenyekiti wa CDM hakika tusingeujua ukweli mchungu huu.SIasa za Tanzania ni ngumu sana. Unaweza kufikiri watu wako serious kumbe hamna kitu
Asipojiangalia atajikuta anakosa vyoteMatter of fact yupo pale kwa maelekezo, yeye ndio ana keep chadema from achieving anything
Too bad ccm wame mu expose au amekuwa exposed mapema mnoAsipojiangalia atajikuta anakosa vyote
Eti kama wanaaga maiti😆😆😆Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanataka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo,
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu kumnadi Leo Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huu katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.
Jebra anasema kila mtu atapita kwenye Mitandao kama anaaga maiti yaani haangalii marambili.
View attachment 3186199
Mbona muhuni aliyekosa maarifa inaonekana ni wewe!!Kumbe huyu wakili ni kundi moja la wahuni!
Tutakumbuka maneno haya kama Mbowe atashinda. Tutaangalia utasimamia wapi.Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanataka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo,
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu kumnadi Leo Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huu katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.
Jebra anasema kila mtu atapita kwenye Mitandao kama anaaga maiti yaani haangalii marambili.
View attachment 3186199
Amekupiga kwenzi la kwenye kipara we mzee wa Kwihala.Kumbe huyu wakili ni kundi moja la wahuni!
Mbona muhuni aliyekosa maarifa inaonekana ni wewe!!
Huyo wakili amejenga hoja, wewe umepiga kelele! Get back to your sense if at all one time you had been a sensible creature.
Wahuni wepi?Kumbe huyu wakili ni kundi moja la wahuni!