LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
na sijui kwa nini ccm imejiingiza huko kumpigia debe mbowe, inashangaza sana!Mbowe ni asset ya CCM
Akichaguliwa maana yake kura zote 2025 zinaenda CCM kwa sababu wanamnadi leo kwa ajili hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na sijui kwa nini ccm imejiingiza huko kumpigia debe mbowe, inashangaza sana!Mbowe ni asset ya CCM
Akichaguliwa maana yake kura zote 2025 zinaenda CCM kwa sababu wanamnadi leo kwa ajili hiyo
Bila Mbowe kushika hatamu CHADEMA, ni wazi CCM itakuwa inahesabu hatua kuelekea mlango wa exitna sijui kwa nini ccm imejiingiza huko kumpigia debe mbowe, inashangaza sana!
wakili anaongea factKumbe huyu wakili ni kundi moja la wahuni!
Hizo ndizo lugha Sultani na nyumbu wake wanaweza kuelewa, mtaji wa 2025 wanao sijui kwanini hawataki kuutumia?!. Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huo huo kwa Wananchi katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.
Jebra anasema baada ya hayo kila mtu atapita kwenye Mitandao na mitaani kama anaaga maiti yaani haangalii marambili mbili.
View attachment 3186199
Wanaahindwa kunadi sera imebaki vitisho tu! Chadema itakosa wanachama, mara Chadema itashindwa uchaguzi ( utafikiri waliishawahi kushinda).Mbowe anaweza na ameshaendesha chadema bila kuwa na mbunge, wala diwani. Kwa hiyo msitubabaishe
Hakuna kitu kama hicho! Mbowe anachukua uenyekiti bila shida yoyote!Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huo huo kwa Wananchi katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.
Jebra anasema baada ya hayo kila mtu atapita kwenye Mitandao na mitaani kama anaaga maiti yaani haangalii marambili mbili.
View attachment 3186199
Huo ni ukweli mchungu, huku mtaani wanachadema na wasio wanachadema wanamwombea lissu ashinde uwenyekiti wa chademaWakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huo huo kwa Wananchi katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.
Jebra anasema baada ya hayo kila mtu atapita kwenye Mitandao na mitaani kama anaaga maiti yaani haangalii marambili mbili.
View attachment 3186199
Haahaa mkuu, simu hailambwi, subirini 2025, mpitisheni huyo mbowe...Mbona kila wakili anamnadi wakili mwenzao Lissu ?? Wee Jebra Kambole usitubabaishe kama mnataka igeuzeni TLS iwe chama cha siasa mumchukue Lissu awe mwenyekiti wenu au anzisheni chama chenu huyo Lissu awe mwenyekiti wenu full stop.Acheni kutishatisha watu mara oo sijui maiti mara ooh sijui nini !
😂😂Viongozi wa dini wako kimya, hakuna hata mmoja aliyejitokeza kuzungumzia siasa za chadema kwa sasa. Basi wakae kimya hivyo hivyo mwanzo hadi mwisho wasije wakajitia kiherehere kumpongeza mbowe kwa ushindi wake wa kujiundia toka kwa wajumbe walevi
Inaonekana humjui askofu Mwamakula wewe😁Viongozi wa dini wako kimya, hakuna hata mmoja aliyejitokeza kuzungumzia siasa za chadema kwa sasa....
Wakili Jebra Kambole,wewe sio mpiga kura! Jukumu la kuchagua Mwenyekiti wa Cha Chadema,waaachie wajumbe,ambao ndio wapiga kura.Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huo huo kwa Wananchi katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.
Jebra anasema baada ya hayo kila mtu atapita kwenye Mitandao na mitaani kama anaaga maiti yaani haangalii marambili mbili.
View attachment 3186199
Wasemaji wa mkopo kwa m.kiti mpo au kipindi cha kutolewa kwa mkopo kimeisha au?Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huo huo kwa Wananchi katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.
Jebra anasema baada ya hayo kila mtu atapita kwenye Mitandao na mitaani kama anaaga maiti yaani haangalii marambili mbili.
View attachment 3186199
Kiboko ya wasemaji wa mkopo.Inaonekana humjui askofu Mwamakula wewe😁
Tundu Lisu aliwahi kumnadi mgombea gani wa udiwani au ubunge na akashinda uchaguzi, zaidi ya kujinadi yeye binafsi kwa tamaa na uchu wa nafasi aliyokua ana gombea yeye?Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huo huo kwa Wananchi katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.
Jebra anasema baada ya hayo kila mtu atapita kwenye Mitandao na mitaani kama anaaga maiti yaani haangalii marambili mbili.
View attachment 3186199
Wewe na Chadema wapi na wapi!Mbowe anaweza na ameshaendesha chadema bila kuwa na mbunge, wala diwani. Kwa hiyo msitubabaishe
Unachakupoteza kipi wewe kwa Chadema?Tundu Lisu aliwahi kumnadi mgombea gani wa udiwani au ubunge na akashinda uchaguzi, zaidi ya kujinadi yeye binafsi kwa tamaa na uchu wa nafasi aliyokua ana gombea yeye?
hajawahi kuthubutu kupoteza muda wake wa kuropoka ropoka kumnadi mgombea yeyote wa chadema. So, huo anaoufanya huyo muungwana ni upotoshaji kabisa..
Infact,
wagombea uongozi wa nafasi mbalimbali chadema hujitegemea wenyewe na kamwe hawajawahi kumtegemea mwenyekiti wa chadema au mgombea urasi wa chadema.
So,
huyo muungwana aache mdomo na kubwekabweka kama alivyo Tundu Lisu tu.
Ni muhimu kufanya siasa za kujitegemea 🐒
mimi ni mTanzania,Unachakupoteza kipi wewe kwa Chadema?