Pre GE2025 Wakili Jebra Kambole: Jinsi ilivyo ngumu kumnadi Mbowe; sasa mpitisheni muone itakavyokuwa ngumu kuwanadi wagombea 2025. Mtapita kama mnaaga maiti

Pre GE2025 Wakili Jebra Kambole: Jinsi ilivyo ngumu kumnadi Mbowe; sasa mpitisheni muone itakavyokuwa ngumu kuwanadi wagombea 2025. Mtapita kama mnaaga maiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanachama watawafukuza hao wajumbe kwa mawe wakirudi wilayani. Na mimi ni mmojawapo hili tawi letu tunachangia mpaka kodi za ofisi za jimbo na wilaya!!

nasema hivi akirudi mjumbe wa mkutano mkuu aliyempigia Mbowe tutadeal naye huku chini hatuwezi kubali wahongwe huku wanajua kabisa wanachama hatumtaki Mbowe.
ndoto nyingine ni za kijeuri na kishirikina sana 🤣

Fikra za kushindwa uchaguzi ni kitu mbaya sana hasa unapogundua huwezi kuchaguliwa kwa namna yoyote ile 🤣

sasa gentleman,
kurusha mawe kutasaidia nini na wajumbe ni viongozi waandamizi wa chadema kwa miaka mi5 ijayo.

au mtarusha mawe kwa miaka mitano yote?🤣
 
Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.

Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huo huo kwa Wananchi katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.

Jebra anasema baada ya hayo kila mtu atapita kwenye Mitandao na mitaani kama anaaga maiti yaani haangalii marambili mbili.

View attachment 3186199
Mbowe aliyemshauri kamuharibia heshima yake yote
 
ndoto nyingine ni za kijeuri na kishirikina sana 🤣

Fikra za kushindwa uchaguzi ni kitu mbaya sana hasa unapogundua huwezi kuchaguliwa kwa namna yoyote ile 🤣

sasa gentleman,
kurusha mawe kutasaidia nini na wajumbe ni viongozi waandamizi wa chadema kwa miaka mi5 ijayo.

au mtarusha mawe kwa miaka mitano yote?🤣
Sawa endeleeni na kejeli tu, utapata majibu October 2025!! Tumeshachoka haiwezekani Zitto, Slaa na wangwe ndio wabaya tu miaka yote ila Mbowe ndio yupo sahihi. Sasa hivi hatudanganyiki
 
Tumefika huku!
20241227_143435.jpg
 
Sawa endeleeni na kejeli tu, utapata majibu October 2025!! Tumeshachoka haiwezekani Zitto, Slaa na wangwe ndio wabaya tu miaka yote ila Mbowe ndio yupo sahihi. Sasa hivi hatudanganyiki
fanyeni siasa za kistaarabu ndrugu zango,

mbona mnafanya kazi kubwa kumpaint Mbowe kama mtu mbaya in favor of Lisu, na matokeo yake mnaishia kupuuzwa na kuchekwa tu 🤣
 
fanyeni siasa za kistaarabu ndrugu zango,

mbona mnafanya kazi kubwa kumpaint Mbowe kama mtu mbaya in favor of Lisu, na matokeo yake mnaishia kupuuzwa na kuchekwa tu 🤣
Sawa tupuuzeni tu, Lissu sio Zitto mkizingua hakuna mwanacham atapiga kura tena.
 
Yupo sahihi mhe wakili,kweli tukitaka 2025 ushindani TAL anafaha atleast bungeni kuchangamke kukiwa na good numbers
 
Hapo umesema ila hiyo lugha ya Sultani na nyumbu wake haiskisi taswira na Pascal Mayalla muungwana au akaunti imekuwa hacked?
please forgive me,hizi ni lugha la lossing self control kwa hasira。Nisamehe bure!。
P
 
please forgive me,hizi ni lugha la lossing self control kwa hasira。Nisamehe bure!。
P
Unajua toka 2012 sijaona lugha ya kifedhuli kutoka kwa Pascal, tuachie siye tuliochanganyikiwa na siasa za Tanzania, nawachukiaga CCM lakini si Pascal Mayalla na uccm wake
 
Back
Top Bottom