Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawasaidia sana na hata mambo yale aliyokuwa anafanya Magufuri ni ushauri wa Mbowe kwa kisingizio cha familia iliyoshiriki kuleta uhuru wa Tanganyika.Mbowe ni kama Raila Odimga kule Kenya.na sijui kwa nini ccm imejiingiza huko kumpigia debe mbowe, inashangaza sana!
Nyie sio ndio mlikuwa mnasema Mbowe amekaa muda mrefu madarakani?Mbowe anaweza na ameshaendesha chadema bila kuwa na mbunge, wala diwani. Kwa hiyo msitubabaishe
Wamegeuka tena kama sera ya chama chao inavyosema CHAMA CHA MAPINDUZI Kilicho chema kinageuka kuwa kibaya na Kibaya kinageuka kuwa chema.Yaani Haramu inageuka kuwa Halali kwa faida ya chama chao na Halali inageuka kuwa Haramu kwa usalama wa chama chao.Nyie sio ndio mlikuwa mnasema Mbowe amekaa muda mrefu madarakani?
Haahaa mwakani wakati mnatafuta kura za udiwani, ubunge na urais mziombe kwa wanachadema tu...Wakili Jebra Kambole,wewe sio mpiga kura! Jukumu la kuchagua Mwenyekiti wa Cha Chadema,waaachie wajumbe,ambao ndio wapiga kura.
Ikifikia kumchagua Rais wa TLS, nasi tutawaachia mfanye mambo yenu!
Hii ndiyo hoja..Mbowe ni asset ya CCM
Akichaguliwa maana yake kura zote 2025 zinaenda CCM kwa sababu wanamnadi leo kwa ajili hiyo
Humjui kambole na mbowe pia humjui, kambole anamjua mbowe na mbowe anamjua kambole wamefanyakazi pamoja kipindi mbowe anapambania kesi yake ya ugaidi alikua miongoni mwa mawakili wakeHawa ni mojawapo wa wale mawakili wanaomwambia mteja wake, "hii kesi imekukalia vibaya, sijuii labda tuombe Mungu" ulitegemea angeandika nini sasa? Wakili ameandika ushabiki hakuna jipya.
Hahaha ila kweliWakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huo huo kwa Wananchi katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.
Jebra anasema baada ya hayo kila mtu atapita kwenye Mitandao na mitaani kama anaaga maiti yaani haangalii marambili mbili.
View attachment 3186199
Haishangazi. Wanajua wakimpigia debe Mbowe mtampigia kura Lissu. Hata shutuma nyingine kuwa Mbowe ni CCM zinatoka kwao. Lissu ndie wanaemtaka awe Mwenyekiti kwa sababu hana track record ya Mbowe. Lissu hamfikii Mbowe kwenye network na strategies ndio maana Mbowe ni tishio zaidi.na sijui kwa nini ccm imejiingiza huko kumpigia debe mbowe, inashangaza sana!
Fact ya kihuni!wakili anaongea fact
Hao hao wahuni!Wahuni wepi?
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kumnadi MboweMbona kila wakili anamnadi wakili mwenzao Lissu ?? Wee Jebra Kambole usitubabaishe kama mnataka igeuzeni TLS iwe chama cha siasa mumchukue Lissu awe mwenyekiti wenu au anzisheni chama chenu huyo Lissu awe mwenyekiti wenu full stop.Acheni kutishatisha watu mara oo sijui maiti mara ooh sijui nini !
Mbowe anaogopa hadi kupost merry Christmas kwa hofu ya mapovu ya wanachama says a lot jinsi alivyokataliwa na wanachama. Sasa kama anajua wanachama hawamtaki anadhani akiwa mwenyekiti nani atachanga join the chain, au kuhudhuria mikutano na maandamano kama yeye ndio atakua kiongozi?Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.
Wakili Jebra Kambole amesema Jinsi ilivyongumu leo kumnadi Mbowe kwenye nafasi ya Uenyekiti hata mara baada ya kumpitisha watakutana na ugumu huo huo kwa Wananchi katika kuwanadi wagombea wote katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 chini ya MBOWE.
Jebra anasema baada ya hayo kila mtu atapita kwenye Mitandao na mitaani kama anaaga maiti yaani haangalii marambili mbili.
View attachment 3186199
Sawa jidanganyeni tunawasubiri tu 2025, tuone kuna mjinga gani atamsikiliza Mbowe. Nakuhakikishia atajiuzulu kabla ya 2029 haijafika maana ataongoza wajumbe tu wa mkutano mkuu ila hakuna supporter wa chadema atamuunga mkono huyu fisadi.Mbona kila wakili anamnadi wakili mwenzao Lissu ?? Wee Jebra Kambole usitubabaishe kama mnataka igeuzeni TLS iwe chama cha siasa mumchukue Lissu awe mwenyekiti wenu au anzisheni chama chenu huyo Lissu awe mwenyekiti wenu full stop.Acheni kutishatisha watu mara oo sijui maiti mara ooh sijui nini !
Wanachama watawafukuza hao wajumbe kwa mawe wakirudi wilayani. Na mimi ni mmojawapo hili tawi letu tunachangia mpaka kodi za ofisi za jimbo na wilaya!!mimi ni mTanzania,
mchambuzi muandamizi wa masuala ya vyama vya siasa na demokrasia nchini, ambea namshukuru Mungu kunijalia karama ya kusema ukweli kwa ujasiri na bila kificho..
Freeman Aikaeli Mbowe atachaguliwa kwa kishindo kikuu kuiongoza chadema Taifa mpaka mwaka 2030.
Bilashaka yoyote,
atawaagiza wajumbe wote wa mkutano mkuu Taifa, ikiwa ni pamoja na wenyeviti wa kanda zote 10 za kutawala, wenyeviti wa mikoa, wilaya na kata, kujipanga na kuhakikisha wanawasaidia na kuwategemeza kwa hali na mali wagombea uongozi wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu 2025,
na sio kama anavyopotosha huyo wakili mbabaishaji 🐒
Kuna watu wamejiaminisha kuwa CCM inawapenda sana CHADEMAHii ndiyo hoja..
Yaani eti hata chiembe CCM kijani mpaka kwenye meno yake leo eti anamnadi Freeman Mbowe..
Wanachofanya CCM kwa sasa, ni kujaribu kuhakikisha Tundu Lissu haongozi chama hiki...
Kwa kuwa Bw. Freeman Mbowe tayari yumo kwenye "payroll" yao, watajaribu kuhakikisha anabaki kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA...
Bw Freeman Mbowe akishapita , CCM watamgeuka tena na silaha zote za mashambulizi zitaelekezwa kwake na CHADEMA ndiyo itakuwa imejimaliza hivyo...!
Kipara bila akili ni sawasawa na TAKO🤣😅🤣😅🚴🚴🚴🚴Kumbe huyu wakili ni kundi moja la wahuni!