Pre GE2025 Wakili Jebra Kambole: Jinsi ilivyo ngumu kumnadi Mbowe; sasa mpitisheni muone itakavyokuwa ngumu kuwanadi wagombea 2025. Mtapita kama mnaaga maiti

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Punguza maneno,tuonane siku ya uchaguzi!
Ila mkubali matokeo!
Jambo moja ambalo ni dhahiri mashabiki wa Mbowe hakuna mwenye uwezo wa kujenga hoja mna vihoja, ila mtueleze CHADEMA ni ya Mbowe mwingine hastahili kuongoza hadi Mbowe afe?
 
Mzee wa hovyo wa CCM, kama hujaona hoja yeyote ina maana akili yako ndogo kama kisoda imeshindwa kujibu, tuanze na moja, kwa nini makada wa CCM mnampigia kampeni Mbowe?
 
Ukitaka kujua unafki wa binadam hauna chama,Chama, angalia yanayotokea CDM,kazi wanayo kwakweli hadi huo uchaguzi tutajionea mengi.
 
Mzee wa hovyo wa CCM, kama hujaona hoja yeyote ina maana akili yako ndogo kama kisoda imeshindwa kujibu, tuanze na moja, kwa nini makada wa CCM mnampigia kampeni Mbowe?
ni muhimu sana ikiwa unahitaji ufafanuzi juu ya jambo Fulani mahususi, ukaandika uzi maalumu,

hata hivyo,
maomi ya hao wanaojiita sijui mawakili na wengine sijui madoctor ni wapotoshaji tu,

ni muhimu zaidi wakapuuzwa πŸ’
 
ni muhimu sana ikiwa unahitaji ufafanuzi juu ya jambo Fulani mahususi, ukaandika uzi maalumu,

hata hivyo,
maomi ya hao wanaojiita sijui mawakili na wengine sijui madoctor ni wapotoshaji tu,

ni muhimu zaidi wakapuuzwa πŸ’
Unatatarika kama bisi kwenye moto, nakuuliza tena acha akili yako ya kisoda maana nazidi kupata ufahamu huwezi penda CCM ukiwa na akili timamu.
Ukiwa kada wa CCM nini maslahi yako kwa Mbowe hadi kumpiga madongo Lissu?

Pili hao wanasheria na madoctor na wewe spin doctor nani mwenye mapungufu ya akili kwa hoja zako kwenye huu uzi?
 
Tatizo nyie mnaojidai wanasheria huwa mnaona watu wengine hawana akili ! Kama Kambole na wale wengine tulizeni mishono tufate demokrasi tu baas
Demokrasia ni kutompinga Mbowe aongoze CHADEMA hadi afe?
 
Mbowe anaweza na ameshaendesha chadema bila kuwa na mbunge, wala diwani. Kwa hiyo msitubabaishe
Lumumba ghafla mliyemuita Mugabe , Ayatollah, mfalme kageuka chaguo lenu?

Chadema msifanye kosa , adui hawezi kukupa mbinu za kumshinda .
 
Relax and calm down gentleman,

hakuna haja ya mihemko wala makasiriko dhidi ya ukweli ambao nimekua na ueleza mara zote humu jukwaani,

mimi sina haja kumpiga dongo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi au hao sijui mawakili na madokta wanaosingiziwa hadhi hiyo,

mathalani eti mzee lwaitama ni Dr, surely?🀣

au eti huyo alietajwa kwenye hoja ya msingi nae eti ni wakili, dah!🀣

labda wakili wa shetani πŸ’
 
Hawa ndio tulikuwa tumewapa dhamana ya uongozi wazee wasiokuwa na hekima wala akili. Pity
 
Hawa ndio tulikuwa tumewapa dhamana ya uongozi wazee wasiokuwa na hekima wala akili. Pity
Unamaanisha huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, asie na utulivu, hekima wala busara, right?

kiukweli kibaraka ana tamaa ya kiwango cha juu mno, hafai kua kiongozi kabisa popote duniani πŸ’
 
Viongozi wa dini wako kimya, hakuna hata mmoja aliyejitokeza kuzungumzia siasa za chadema kwa sasa. Basi wakae kimya hivyo hivyo mwanzo hadi mwisho wasije wakajitia kiherehere kumpongeza mbowe kwa ushindi wake wa kujiundia toka kwa wajumbe walevi
Changamoto iliyopo kwenye jambo hili la kugombea uenyekiti wa Chadema ni kwamba kila mmoja ana haki ya kisheria na kikatiba (ya chama na nchi) kugombea.
Sasa, keleleza mapenzi na hisia kutafsiri demokrasia haziwezi kushabikiwa na watu wenye akili.
Kutaka Mbowe aondoke kwa kuwa amekalia kiti muda mrefu au Lissu achaguliwe kwa kuwa mwenyekiti aliyepo amekuwepo kwa muda mrefu na ajiondoe siyo hoja zenye mashiko.
Lissu na Mbowe wapambane kwa hoja na Sera, wanachama wapige kura, hiyo ndiyo demokrasia ya kweli, ma wenye akili watataka hilo lifanyike kwa faida ya Chadema na nchi/taifa kwa ujumla.
 
Unamaanisha huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, asie na utulivu, hekima wala busara, right?

kiukweli kibaraka ana tamaa ya kiwango cha juu mno, hafai kua kiongozi kabisa popote duniani πŸ’
Nimehakikisha we mzee juha, siasa za 70's za kina Nyerere za kibanga kampiga mkoloni unaleta leo. Lishukuriwe hili jukwaa linatukutanisha na wajinga humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…