Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Unajidanganya kama unaamini Mbowe hana wafuasi hardcore. Kwake yeye watu kama nyie wakiondoka ni pakacha kuvuja.Mbowe hata akishinda chadema yake atabakinayo mwenyewe
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajidanganya kama unaamini Mbowe hana wafuasi hardcore. Kwake yeye watu kama nyie wakiondoka ni pakacha kuvuja.Mbowe hata akishinda chadema yake atabakinayo mwenyewe
Jambo moja ambalo ni dhahiri mashabiki wa Mbowe hakuna mwenye uwezo wa kujenga hoja mna vihoja, ila mtueleze CHADEMA ni ya Mbowe mwingine hastahili kuongoza hadi Mbowe afe?Punguza maneno,tuonane siku ya uchaguzi!
Ila mkubali matokeo!
Mzee wa hovyo wa CCM, kama hujaona hoja yeyote ina maana akili yako ndogo kama kisoda imeshindwa kujibu, tuanze na moja, kwa nini makada wa CCM mnampigia kampeni Mbowe?Gentleman,
si ujikite kwenye hoja mahususi mezani bila mawenge na mihemko kwa yasiyo husu hoja mezani,
nadhani wew, huyo alietajwa kwenye hoja na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi mmepoteza uelekeo kabisaa, mnatapatapa na kuweweseka vizuri sana,
itabidi mzoee sasa maana hakuna namna nyingine 🐒
Wewe kada wa CCM wapi unatusajili tunaomuunga mkono Lissu?wewe umpendaye lissu halafu hutoki kumuunga mkono imekaaje!
ni muhimu sana ikiwa unahitaji ufafanuzi juu ya jambo Fulani mahususi, ukaandika uzi maalumu,Mzee wa hovyo wa CCM, kama hujaona hoja yeyote ina maana akili yako ndogo kama kisoda imeshindwa kujibu, tuanze na moja, kwa nini makada wa CCM mnampigia kampeni Mbowe?
Lini ulitoka?Wewe kada wa CCM wapi unatusajili tunaomuunga mkono Lissu?
Unatatarika kama bisi kwenye moto, nakuuliza tena acha akili yako ya kisoda maana nazidi kupata ufahamu huwezi penda CCM ukiwa na akili timamu.ni muhimu sana ikiwa unahitaji ufafanuzi juu ya jambo Fulani mahususi, ukaandika uzi maalumu,
hata hivyo,
maomi ya hao wanaojiita sijui mawakili na wengine sijui madoctor ni wapotoshaji tu,
ni muhimu zaidi wakapuuzwa 🐒
Nitokeje?Lini ulitoka?
Demokrasia ni kutompinga Mbowe aongoze CHADEMA hadi afe?Tatizo nyie mnaojidai wanasheria huwa mnaona watu wengine hawana akili ! Kama Kambole na wale wengine tulizeni mishono tufate demokrasi tu baas
Hujui!Nitokeje?
Lumumba ghafla mliyemuita Mugabe , Ayatollah, mfalme kageuka chaguo lenu?Mbowe anaweza na ameshaendesha chadema bila kuwa na mbunge, wala diwani. Kwa hiyo msitubabaishe
Relax and calm down gentleman,Unatatarika kama bisi kwenye moto, nakuuliza tena acha akili yako ya kisoda maana nazidi kupata ufahamu huwezi penda CCM ukiwa na akili timamu.
Ukiwa kada wa CCM nini maslahi yako kwa Mbowe hadi kumpiga madongo Lissu?
Pili hao wanasheria na madoctor na wewe spin doctor nani mwenye mapungufu ya akili kwa hoja zako kwenye huu uzi?
Naunga mkono hojaKipara bila akili ni sawasawa na TAKO🤣😅🤣😅🚴🚴🚴🚴
Hawa ndio tulikuwa tumewapa dhamana ya uongozi wazee wasiokuwa na hekima wala akili. PityRelax and calm down gentleman,
hakuna haja ya mihemko wala makasiriko dhidi ya ukweli ambao nimekua na ueleza mara zote humu jukwaani,
mimi sina haja kumpiga dongo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi au hao sijui mawakili na madokta wanaosingiziwa hadhi hiyo,
mathalani eti mzee lwaitama ni Dr, surely?🤣
au eti huyo alietajwa kwenye hoja ya msingi nae eti ni wakili, dah!🤣
labda wakili wa shetani 🐒
Unamaanisha huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, asie na utulivu, hekima wala busara, right?Hawa ndio tulikuwa tumewapa dhamana ya uongozi wazee wasiokuwa na hekima wala akili. Pity
Changamoto iliyopo kwenye jambo hili la kugombea uenyekiti wa Chadema ni kwamba kila mmoja ana haki ya kisheria na kikatiba (ya chama na nchi) kugombea.Viongozi wa dini wako kimya, hakuna hata mmoja aliyejitokeza kuzungumzia siasa za chadema kwa sasa. Basi wakae kimya hivyo hivyo mwanzo hadi mwisho wasije wakajitia kiherehere kumpongeza mbowe kwa ushindi wake wa kujiundia toka kwa wajumbe walevi
Nimehakikisha we mzee juha, siasa za 70's za kina Nyerere za kibanga kampiga mkoloni unaleta leo. Lishukuriwe hili jukwaa linatukutanisha na wajinga humuUnamaanisha huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, asie na utulivu, hekima wala busara, right?
kiukweli kibaraka ana tamaa ya kiwango cha juu mno, hafai kua kiongozi kabisa popote duniani 🐒