Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Pesa za Chama, ulikuwa mkakati maalum wa ChademaKwamba mkuu pesa za chama zilikuwa zinatolewa kumfundisha huyo Mndeme
Au kuna watu wa Chadema ndo walikuwa wakimlipia ada?
Hata hivo ubinadam ni kazi sana.
Mtu mweusi hajawahi kuwa na msimamo.Pesa za Chama
Tenda wema uende zako, usingoje shukran.Amekuwa Wakili wa Mamluki walioishitaki Chadema akiwemo Lembrus Mchome anayepinga kufukuzwa
Mndeme amekuwa ofisi ya Katibu Mkuu na alipelekwa bungeni ofisi ya KUB
Ni kweli kwamba Wakili hachagui kesi ya kusimamia, lakini Kwa Mndeme Hapana, huyu ni miongoni Mwa wanasheria waliosomeshwa na Chadema HQ digrii na Law school amesomeshwa na Chadema, kwa huyu kushirikiana na Wasaliti anashangaza
Tatizo la watu wengi hapa TZ, wanataka wao wanalopenda na kila mtanzania alipende. Wanalolichukia, kila mtu alichukie mfano ni Erythrocyte !! Ukiwa na mawazo tofauti na yeye basi wewe ni adui na unatakiwa uuawe. Hili ndilo tatizo kubwa hapa nchiniDuuuh tenda wema, nenda zako.
Erythrocyte soma hiyooπ€£Mwanamke hasomeshwi
huenda ana changamoto binafsi kisaikolojia huyo πTatizo la watu wengi hapa TZ, wanataka wao wanalopenda na kila mtanzania alipende. Wanalolichukia, kila mtu alichukie mfano ni Erythrocyte !! Ukiwa na mawazo tofauti na yeye basi wewe ni adui na unatakiwa uuawe. Hili ndilo tatizo kubwa hapa nchini
kwani alisomeshwa ili awe nani pale Chadema kwa mfano?Amekuwa Wakili wa Mamluki walioishitaki Chadema akiwemo Lembrus Mchome anayepinga kufukuzwa
Mndeme amekuwa ofisi ya Katibu Mkuu na alipelekwa bungeni ofisi ya KUB
Ni kweli kwamba Wakili hachagui kesi ya kusimamia, lakini Kwa Mndeme Hapana, huyu ni miongoni Mwa wanasheria waliosomeshwa na Chadema HQ digrii na Law school amesomeshwa na Chadema, kwa huyu kushirikiana na Wasaliti anashangaza
Hivi Lembrus anapinga kufukuzwa? Na kesi amefungua kupingwa kwake?Pesa za Chama, ulikuwa mkakati maalum wa Chadema
Japo huwa sikubaliani na machawa jinga jinga wa vyama vyote, hata wale machawa jinga jinga wa chama changu, lakini chawa jinga anapotoa hoja ya msingi, yenye mashiko, huwa naunga mkono, hivyo kwenye hili, la ukosefu wa shukrani, nakuunga mkono, na hata mimi niliwahi kulishauri jambo kama hili kwa wale wanasiasa malaya malaya wa Chadema, wanapo hamia chama kingine, wasiwe watovu wa shukrani kwa Chadema, kilicho waokota huko kilipowaokota, kikawalea, kikawatunza, kikawajenga, kikawapendezesha, wakaonekana, wakatongozwa, na kwa tamaa zao, na tabia zao za kimalaya malaya, wakatongozeka na kuhamia kwa bwana mwingine! https://www.jamiiforums.com/threads...kiwa-sana-vinginevyo-karma-itawahusu.1463886/Wakili aliyejengwa na taasisi kusimama upande wa pili dhidi ya waliokuwa viongozi au walezi wake ni usaliti wa kiitikadi na ukosefu wa shukrani, hata kama kisheria una haki ya kufanya hivyo.
Huyo ery n mpumbavu namba moja hapa Jf wakifatiwa wa wale wapumbavu chawa wa ccmTatizo la watu wengi hapa TZ, wanataka wao wanalopenda na kila mtanzania alipende. Wanalolichukia, kila mtu alichukie mfano ni Erythrocyte !! Ukiwa na mawazo tofauti na yeye basi wewe ni adui na unatakiwa uuawe. Hili ndilo tatizo kubwa hapa nchini
*****huenda ana changamoto binafsi kisaikolojia huyo π
***** kata viunokwani alisomeshwa ili awe nani pale Chadema kwa mfano?
Ofisi ya KUB haipo tena chadema na hulalamiki, ila aliekua akifanya kazi hapo akipata fursa nyingine nzuri zaidi unalamika. There must be something wrong mentally to some people within chadema circle politically speaking π