Inaitwa cab rank rule, wakili hutakiwi kumkataa mteja kwa umaarufu au kutokua maarufu kwake kama jambo lake lipo ndani ya uwezo wako wa kitaaluma.Amekuwa Wakili wa Mamluki walioishitaki Chadema akiwemo Lembrus Mchome anayepinga kufukuzwa
Mndeme amekuwa ofisi ya Katibu Mkuu na alipelekwa bungeni ofisi ya KUB
Kimsingi, Wakili ana wajibu wa kitaaluma kumtetea mteja yeyote anayemwajiri, asikiuke sheria au kanuni za maadili ya taaluma (Advocates Remuneration and Professional Conduct Rules).
Lakini ameenda kuwatetea ‘wahuni’ ambao wamekwenda Mahakamani kuishtaki CHADEMA.
Katika jambo hili, angeweza kutazama na kupima kuhusu mgongano wa Kisiasa na kimaadili (Political & Moral Dilemma) na kuchagua kati ya misingi ya maadili na utu dhidi ya maslahi au ulingo wa kisiasa.
Je, unaweza kuwa wakili upande wa mtu ambaye anamshtaki Baba yako au Mama yako kwa sababu ya kulipwa pesa za uwakili? Kwanini nasema hivyo?
Wakili Jonathan Wilfried Mndeme amekuwa:
1. Msaidizi wa Katibu wa Mbunge wa Ubungo (John Mnyika)
2. Ufadhili wa kusoma masomo ya Masters ya sheria - CHADEMA HQ
3. Ufadhili wa masomo (Law School) - CHADEMA HQ
4. Ofisa katika Kambi rasmi ya Upinzani ubungeni (KUB)
5. Katibu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB)
6. Msaidizi binafsi wa Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe.
7. Afisa wa sheria CHADEMA, Makao Makuu.
8. Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Makao Makuu.
9. Mjumbe wa Sekretariati CHADEMA, Makao Makuu.
10. Umeshiriki marekebisho (amendments) Katiba ya chama
Mtu aliyelelewa, kufadhiliwa masomo, na kupewa nafasi za juu za uongozi na taasisi (ndani ya CHADEMA na KUB), jamii na wanachama wa taasisi yetu tulimtazama kama “mtoto wa nyumbani”.
Wakili aliyejengwa na taasisi kusimama upande wa pili dhidi ya waliokuwa viongozi au walezi wake ni usaliti wa kiitikadi na ukosefu wa shukrani, hata kama kisheria una haki ya kufanya hivyo.
Na Kiiza Besigye mkuu, naye anakazaMpinzani wa kweli duniani, sio TZ tu, bali Duniani ni TL. I can bet a house on him. Wengine wote wana price yao, dau likifikiwa wanang'oka.
Jk amewasomesha nyote nyie, akawatwisha mafedha ya maana, mkanywa juisi yake ikulu, wengi wenu akawapa ubunge na mambo mengine kibaaao lakini mbona mmeishia kumtukana tu 24/7?!!Amekuwa Wakili wa Mamluki walioishitaki Chadema akiwemo Lembrus Mchome anayepinga kufukuzwa
Mndeme amekuwa ofisi ya Katibu Mkuu na alipelekwa bungeni ofisi ya KUB
Kimsingi, Wakili ana wajibu wa kitaaluma kumtetea mteja yeyote anayemwajiri, asikiuke sheria au kanuni za maadili ya taaluma (Advocates Remuneration and Professional Conduct Rules).
Lakini ameenda kuwatetea ‘wahuni’ ambao wamekwenda Mahakamani kuishtaki CHADEMA.
Katika jambo hili, angeweza kutazama na kupima kuhusu mgongano wa Kisiasa na kimaadili (Political & Moral Dilemma) na kuchagua kati ya misingi ya maadili na utu dhidi ya maslahi au ulingo wa kisiasa.
Je, unaweza kuwa wakili upande wa mtu ambaye anamshtaki Baba yako au Mama yako kwa sababu ya kulipwa pesa za uwakili? Kwanini nasema hivyo?
Wakili Jonathan Wilfried Mndeme amekuwa:
1. Msaidizi wa Katibu wa Mbunge wa Ubungo (John Mnyika)
2. Ufadhili wa kusoma masomo ya Masters ya sheria - CHADEMA HQ
3. Ufadhili wa masomo (Law School) - CHADEMA HQ
4. Ofisa katika Kambi rasmi ya Upinzani ubungeni (KUB)
5. Katibu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB)
6. Msaidizi binafsi wa Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe.
7. Afisa wa sheria CHADEMA, Makao Makuu.
8. Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Makao Makuu.
9. Mjumbe wa Sekretariati CHADEMA, Makao Makuu.
10. Umeshiriki marekebisho (amendments) Katiba ya chama
Mtu aliyelelewa, kufadhiliwa masomo, na kupewa nafasi za juu za uongozi na taasisi (ndani ya CHADEMA na KUB), jamii na wanachama wa taasisi yetu tulimtazama kama “mtoto wa nyumbani”.
Wakili aliyejengwa na taasisi kusimama upande wa pili dhidi ya waliokuwa viongozi au walezi wake ni usaliti wa kiitikadi na ukosefu wa shukrani, hata kama kisheria una haki ya kufanya hivyo.
Elimu nzuri sana.Inaitwa cab rank rule, wakili hutakiwi kumkataa mteja kwa umaarufu au kutokua maarufu kwake kama jambo lake lipo ndani ya uwezo wako wa kitaaluma.
Machawa wote wa CCM na Chadema wote kwa ujumla wao ni ovyo tu. Kila mmoja anatulazimisha tukubaliane naye, why! Ukiwa na mtizamo tofauti naye, kosa na mitusi hapa JF. InachoshaHuyo ery n mpumbavu namba moja hapa Jf wakifatiwa wa wale wapumbavu chawa wa ccm
Huyu ni mwanaumeMwanamke haosomeshwi, au huwa hamhudhurii vikao
Kuna kesi nyingi za kusimamia/kutetea ili kupata fedha,, angekataa hiyo kesi ya wafadhili wake waliomlea, japo hajavunja sheria.kwani alisomeshwa ili awe nani pale Chadema kwa mfano?
Ofisi ya KUB haipo tena chadema na hulalamiki, ila aliekua akifanya kazi hapo akipata fursa nyingine nzuri zaidi unalamika. There must be something wrong mentally to some people within chadema circle politically speaking 🐒
ili alale njaa yeye na familia yake na nduguze walio mahospitali wafe kwa kukosa dawa, kwakua tu alisomeshwa na chadema right?🐒Kuna kesi nyingi za kusimamia/kutetea ili kupata fedha,, angekataa hiyo kesi ya wafadhili wake waliomlea, japo hajavunja sheria.

Kasimamie kesi anayoshtakiwa baba yako, ukimtetea mlalamikaji anayetaka kumfunga baba yako.ili alale njaa yeye na familia yake na nduguze walio mahospitali wafe kwa kukosa dawa, kwakua tu alisomeshwa na chadema right?🐒
nitasimania vizuri sana ili apate haki anayostahili na si vinginevyo 🐒Kasimamie kesi anayoshtakiwa baba yako, ukimtetea mlalamikaji anayetaka kumfunga baba yako.
Wewe umeona kesi za kusimamia hapa Nchini ni za kisiasa tu.???? Asimamie kesi zingine.
Sasa hii inahusiana vipi na mada, au na wewe unataka mwandishi apende unayopenda wewe??Tatizo la watu wengi hapa TZ, wanataka wao wanalopenda na kila mtanzania alipende. Wanalolichukia, kila mtu alichukie mfano ni Erythrocyte !! Ukiwa na mawazo tofauti na yeye basi wewe ni adui na unatakiwa uuawe. Hili ndilo tatizo kubwa hapa nchini
Sawa. Fanya hivyo tuone.nitasimania vizuri sana ili apate haki anayostahili na si vinginevyo 🐒
ok.Sawa. Fanya hivyo tuone.
Na usimamie kesi ya Lissu pia anayoshitakiwa na CCM yangu,
Uongozi unasubiri nini kumtimua mamluki wa aina hii? Hawa wanatakiwa wahamie CHAUMMA. CHADEMA ya sasa siyo ya wachumia tumbo. Ni ya waoambanaji na wazalendo kwa nchi.Amekuwa Wakili wa Mamluki walioishitaki Chadema akiwemo Lembrus Mchome anayepinga kufukuzwa
Mndeme amekuwa ofisi ya Katibu Mkuu na alipelekwa bungeni ofisi ya KUB
Kimsingi, Wakili ana wajibu wa kitaaluma kumtetea mteja yeyote anayemwajiri, asikiuke sheria au kanuni za maadili ya taaluma (Advocates Remuneration and Professional Conduct Rules).
Lakini ameenda kuwatetea ‘wahuni’ ambao wamekwenda Mahakamani kuishtaki CHADEMA.
Katika jambo hili, angeweza kutazama na kupima kuhusu mgongano wa Kisiasa na kimaadili (Political & Moral Dilemma) na kuchagua kati ya misingi ya maadili na utu dhidi ya maslahi au ulingo wa kisiasa.
Je, unaweza kuwa wakili upande wa mtu ambaye anamshtaki Baba yako au Mama yako kwa sababu ya kulipwa pesa za uwakili? Kwanini nasema hivyo?
Wakili Jonathan Wilfried Mndeme amekuwa:
1. Msaidizi wa Katibu wa Mbunge wa Ubungo (John Mnyika)
2. Ufadhili wa kusoma masomo ya Masters ya sheria - CHADEMA HQ
3. Ufadhili wa masomo (Law School) - CHADEMA HQ
4. Ofisa katika Kambi rasmi ya Upinzani ubungeni (KUB)
5. Katibu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB)
6. Msaidizi binafsi wa Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe.
7. Afisa wa sheria CHADEMA, Makao Makuu.
8. Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Makao Makuu.
9. Mjumbe wa Sekretariati CHADEMA, Makao Makuu.
10. Umeshiriki marekebisho (amendments) Katiba ya chama
Mtu aliyelelewa, kufadhiliwa masomo, na kupewa nafasi za juu za uongozi na taasisi (ndani ya CHADEMA na KUB), jamii na wanachama wa taasisi yetu tulimtazama kama “mtoto wa nyumbani”.
Wakili aliyejengwa na taasisi kusimama upande wa pili dhidi ya waliokuwa viongozi au walezi wake ni usaliti wa kiitikadi na ukosefu wa shukrani, hata kama kisheria una haki ya kufanya hivyo.
Yote hii ni kazi ya KUB mstaafu. Kuna mkono wake hapaAmekuwa Wakili wa Mamluki walioishitaki Chadema akiwemo Lembrus Mchome anayepinga kufukuzwa

Unajua kitu kinaitwa kuwajengea uwezo wafanyakazi wako?Kwamba mkuu pesa za chama zilikuwa zinatolewa kumfundisha huyo Mndeme
Au kuna watu wa Chadema ndo walikuwa wakimlipia ada?
Hata hivo ubinadam ni kazi sana.
Ni kweli mkuu. Ukitaka kuona hao watu wanaungana, ongelea hoja ya uwepo wa mgombea binafsi. Hakuna atakayekusapotiMachawa wote wa CCM na Chadema wote kwa ujumla wao ni ovyo tu. Kila mmoja anatulazimisha tukubaliane naye, why! Ukiwa na mtizamo tofauti naye, kosa na mitusi hapa JF.