Mimi ni Muumini wa Mgombea Binafsi ili kupata Katiba Mpya Bora si bora KatibaNi kweli mkuu. Ukitaka kuona hao watu wanaungana, ongelea hoja ya uwepo wa mgombea binafsi. Hakuna atakayekusapoti

Mkata viuno Leo nimeona pahala wanasema mashoga wameongezeka temeke si ubadilike?kwani alisomeshwa ili awe nani pale Chadema kwa mfano?
Ofisi ya KUB haipo tena chadema na hulalamiki, ila aliekua akifanya kazi hapo akipata fursa nyingine nzuri zaidi unalamika. There must be something wrong mentally to some people within chadema circle politically speaking 🐒
Chadema ina mapungufu makubwa katika kufanya vetting ya watu kuwa maafisa wa chama..kelele za mamluki ni za siku zote, badala ya mamluki kuonekana wajinga, wao chadema ndio wanakuwa wajinga, miaka nenda rudi mnahangaika na tatizo la usaliti ndani ya chama..mmekosa jibu, matatizo ya nchi mtaweza kuyatafutia majibu? Km tatizo dogo la usaliti kila siku mnalalama..vipi matatizo ya nchi..!Amekuwa Wakili wa Mamluki walioishitaki Chadema akiwemo Lembrus Mchome anayepinga kufukuzwa
Mndeme amekuwa ofisi ya Katibu Mkuu na alipelekwa bungeni ofisi ya KUB
Kimsingi, Wakili ana wajibu wa kitaaluma kumtetea mteja yeyote anayemwajiri, asikiuke sheria au kanuni za maadili ya taaluma (Advocates Remuneration and Professional Conduct Rules).
Lakini ameenda kuwatetea ‘wahuni’ ambao wamekwenda Mahakamani kuishtaki CHADEMA.
Katika jambo hili, angeweza kutazama na kupima kuhusu mgongano wa Kisiasa na kimaadili (Political & Moral Dilemma) na kuchagua kati ya misingi ya maadili na utu dhidi ya maslahi au ulingo wa kisiasa.
Je, unaweza kuwa wakili upande wa mtu ambaye anamshtaki Baba yako au Mama yako kwa sababu ya kulipwa pesa za uwakili? Kwanini nasema hivyo?
Wakili Jonathan Wilfried Mndeme amekuwa:
1. Msaidizi wa Katibu wa Mbunge wa Ubungo (John Mnyika)
2. Ufadhili wa kusoma masomo ya Masters ya sheria - CHADEMA HQ
3. Ufadhili wa masomo (Law School) - CHADEMA HQ
4. Ofisa katika Kambi rasmi ya Upinzani ubungeni (KUB)
5. Katibu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB)
6. Msaidizi binafsi wa Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe.
7. Afisa wa sheria CHADEMA, Makao Makuu.
8. Mkurugenzi wa Sheria CHADEMA, Makao Makuu.
9. Mjumbe wa Sekretariati CHADEMA, Makao Makuu.
10. Umeshiriki marekebisho (amendments) Katiba ya chama
Mtu aliyelelewa, kufadhiliwa masomo, na kupewa nafasi za juu za uongozi na taasisi (ndani ya CHADEMA na KUB), jamii na wanachama wa taasisi yetu tulimtazama kama “mtoto wa nyumbani”.
Wakili aliyejengwa na taasisi kusimama upande wa pili dhidi ya waliokuwa viongozi au walezi wake ni usaliti wa kiitikadi na ukosefu wa shukrani, hata kama kisheria una haki ya kufanya hivyo.
Fedha za chama zinasomesha ndugu za viongozi!Amekuwa Wakili wa Mamluki walioishitaki Chadema akiwemo Lembrus Mchome anayepinga kufukuzwa

Jikite kwenye mada, ukitaka kunijadili Mimi fungua Uzi mpya nitakuja hukohuko kukupiga spanaTatizo la watu wengi hapa TZ, wanataka wao wanalopenda na kila mtanzania alipende. Wanalolichukia, kila mtu alichukie mfano ni Erythrocyte !! Ukiwa na mawazo tofauti na yeye basi wewe ni adui na unatakiwa uuawe. Hili ndilo tatizo kubwa hapa nchini
Tatizo huwa unajiona una akili sana wakati huna lolote! JitathiminiJikite kwenye mada, ukitaka kunijadili Mimi fungua Uzi mpya nitakuja hukohuko kukupiga spana
Jadili mada badala ya mleta hojaTatizo huwa unajiona una akili sana wakati huna lolote! Jitathimini