Wakili Jonathan Mndeme, aliyesomeshwa na CHADEMA, aungana na Wasaliti

Mpinzani wa kweli duniani, sio TZ tu, bali Duniani ni TL. I can bet a house on him. Wengine wote wana price yao, dau likifikiwa wanang'oka.
 
Inaitwa cab rank rule, wakili hutakiwi kumkataa mteja kwa umaarufu au kutokua maarufu kwake kama jambo lake lipo ndani ya uwezo wako wa kitaaluma.
 
Mpinzani wa kweli duniani, sio TZ tu, bali Duniani ni TL. I can bet a house on him. Wengine wote wana price yao, dau likifikiwa wanang'oka.
Na Kiiza Besigye mkuu, naye anakaza
 
Jk amewasomesha nyote nyie, akawatwisha mafedha ya maana, mkanywa juisi yake ikulu, wengi wenu akawapa ubunge na mambo mengine kibaaao lakini mbona mmeishia kumtukana tu 24/7?!!
 
Huyo ery n mpumbavu namba moja hapa Jf wakifatiwa wa wale wapumbavu chawa wa ccm
Machawa wote wa CCM na Chadema wote kwa ujumla wao ni ovyo tu. Kila mmoja anatulazimisha tukubaliane naye, why! Ukiwa na mtizamo tofauti naye, kosa na mitusi hapa JF. Inachosha
 
Acha Unyumbu . Kwa hiyo Mlimsomesha ili aje awe nyumbu na kasuku . Kaa kwa kutulia maana Elimu aliyoipata ndio anaitumia na kuwafundisha maana ya haki na kuwatoeni ujinga mlionao wa kulea udikteta ndani ya chama na kufumbia macho uovu na uonezi
 
Kuna kesi nyingi za kusimamia/kutetea ili kupata fedha,, angekataa hiyo kesi ya wafadhili wake waliomlea, japo hajavunja sheria.
 
Kuna kesi nyingi za kusimamia/kutetea ili kupata fedha,, angekataa hiyo kesi ya wafadhili wake waliomlea, japo hajavunja sheria.
ili alale njaa yeye na familia yake na nduguze walio mahospitali wafe kwa kukosa dawa, kwakua tu alisomeshwa na chadema right?🐒
 
Kasimamie kesi anayoshtakiwa baba yako, ukimtetea mlalamikaji anayetaka kumfunga baba yako.

Wewe umeona kesi za kusimamia hapa Nchini ni za kisiasa tu.???? Asimamie kesi zingine.
 
Kasimamie kesi anayoshtakiwa baba yako, ukimtetea mlalamikaji anayetaka kumfunga baba yako.

Wewe umeona kesi za kusimamia hapa Nchini ni za kisiasa tu.???? Asimamie kesi zingine.
nitasimania vizuri sana ili apate haki anayostahili na si vinginevyo 🐒
 
Tatizo la watu wengi hapa TZ, wanataka wao wanalopenda na kila mtanzania alipende. Wanalolichukia, kila mtu alichukie mfano ni Erythrocyte !! Ukiwa na mawazo tofauti na yeye basi wewe ni adui na unatakiwa uuawe. Hili ndilo tatizo kubwa hapa nchini
Sasa hii inahusiana vipi na mada, au na wewe unataka mwandishi apende unayopenda wewe??
 
Uongozi unasubiri nini kumtimua mamluki wa aina hii? Hawa wanatakiwa wahamie CHAUMMA. CHADEMA ya sasa siyo ya wachumia tumbo. Ni ya waoambanaji na wazalendo kwa nchi.
 
Yote hii ni kazi ya KUB mstaafu. Kuna mkono wake hapa
 
Kwamba mkuu pesa za chama zilikuwa zinatolewa kumfundisha huyo Mndeme
Au kuna watu wa Chadema ndo walikuwa wakimlipia ada?
Hata hivo ubinadam ni kazi sana.
Unajua kitu kinaitwa kuwajengea uwezo wafanyakazi wako?
 
Machawa wote wa CCM na Chadema wote kwa ujumla wao ni ovyo tu. Kila mmoja anatulazimisha tukubaliane naye, why! Ukiwa na mtizamo tofauti naye, kosa na mitusi hapa JF.
Ni kweli mkuu. Ukitaka kuona hao watu wanaungana, ongelea hoja ya uwepo wa mgombea binafsi. Hakuna atakayekusapoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…