Wakili Jonathan Mndeme, aliyesomeshwa na CHADEMA, aungana na Wasaliti

Ni kweli mkuu. Ukitaka kuona hao watu wanaungana, ongelea hoja ya uwepo wa mgombea binafsi. Hakuna atakayekusapoti
Mimi ni Muumini wa Mgombea Binafsi ili kupata Katiba Mpya Bora si bora Katiba
 
Mkata viuno Leo nimeona pahala wanasema mashoga wameongezeka temeke si ubadilike?
 
Sasa naelewa kwanini CCM iliungana na Mbowe ili Tundu Lisu asishinde. Waliona ss upinzani wa haki na kweli unakuja Tanganyika.
 
Chadema ina mapungufu makubwa katika kufanya vetting ya watu kuwa maafisa wa chama..kelele za mamluki ni za siku zote, badala ya mamluki kuonekana wajinga, wao chadema ndio wanakuwa wajinga, miaka nenda rudi mnahangaika na tatizo la usaliti ndani ya chama..mmekosa jibu, matatizo ya nchi mtaweza kuyatafutia majibu? Km tatizo dogo la usaliti kila siku mnalalama..vipi matatizo ya nchi..!
 
Fedha za chama zinasomesha ndugu za viongozi!
 
Tatizo la watu wengi hapa TZ, wanataka wao wanalopenda na kila mtanzania alipende. Wanalolichukia, kila mtu alichukie mfano ni Erythrocyte !! Ukiwa na mawazo tofauti na yeye basi wewe ni adui na unatakiwa uuawe. Hili ndilo tatizo kubwa hapa nchini
Jikite kwenye mada, ukitaka kunijadili Mimi fungua Uzi mpya nitakuja hukohuko kukupiga spana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…