Basi imetosha nimecheka sanaJazia nyama
umepatiaKatuga au nani?
Labda Kama anatokea Gambia au alisomea huko primary hadi form 6. Haingii akilini mwanafunzi wa bongo kutooisikia hiyo misemo.Shahidi wake naye aliyempeleka huko mahakamani (Afande Samuel Kaaya, mtaalam wa picha mnato) anafanya vurugu tu! anaulizwa kama aliwahi kusikia misemo maarufu kama ile ya "mkono mtupu haulambwi", "maneno matupu hayavunji mfupa, nk."
Anasema "sijawahi kabisa kuyasikia hayo maneno" 😀