Wakili Katuga tangu alivyodanganya mahakama eti video ilichezwa Kisutu akapotea jumla

Shahidi wake naye aliyempeleka huko mahakamani (Afande Samuel Kaaya, mtaalam wa picha mnato) anafanya vurugu tu! anaulizwa kama aliwahi kusikia misemo maarufu kama ile ya "mkono mtupu haulambwi", "maneno matupu hayavunji mfupa, nk."

Anasema "sijawahi kabisa kuyasikia hayo maneno" 😀
 
Write your reply....hujamaliza
 
Labda Kama anatokea Gambia au alisomea huko primary hadi form 6. Haingii akilini mwanafunzi wa bongo kutooisikia hiyo misemo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…