Wakili Kibatala awataka wananchi kupuuzia taarifa zilizodai kuwa Polepole alipatikana katika eneo la ufukwe

Wakili Kibatala awataka wananchi kupuuzia taarifa zilizodai kuwa Polepole alipatikana katika eneo la ufukwe

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Kwa Tafsiri isiyo rasmi kupitia ukurasa wake wa Intagram Wakali Peter kibatala ameandika kuwa;

"Kwanza kabisa tunaomba radhi kwa kukosa kutoa taarifa katika kipindi cha giza totoro; lakini kama mnavyoelewa, hicho kilikuwa ni kipindi kigumu zaidi katika historia ya maisha yetu hapa nchini, na kipaumbele cha haraka zaidi kilikuwa ni kuendelea kuishi.

Kulikuwa na marufuku za kutotoka nje, kukatika kwa umeme, na mambo mengi ya giza ambayo yanapaswa kufutwa kabisa katika fikra za Taifa.

Hata hivyo, bado kuna giza la aina nyingine kivuli kisichoelezeka lakini tutaendelea kupambana hadi tushinde.

Pili, sisi wanasheria wake na wa familia yake tunaendelea kufanya kila juhudi mahakamani. Mapambano kama haya si tukio la siku moja, bali ni mchakato wa muda mrefu unaohitaji kujitoa kwa moyo wote. Kama ilivyo daima, tutaendelea kuwa na ari na uadilifu katika juhudi zetu za kisheria ili kubaini hatima ya Mheshimiwa Balozi Polepole, tukiwa na matumaini kwamba siku moja tutarejea pamoja naye.

Kwa sasa, tafadhali puuzieni uvumi uliosambazwa kuhusu kugundulika kwake katika eneo fulani la ufukweni. Taarifa hizo zimekuwa chanzo cha maumivu makubwa kwa familia.

Nitasalia kuwa msemaji rasmi wa familia ya Polepole katika mambo yote ya kisheria, au yale yenye athari za kisheria.

Kama ambavyo Humphrey mwenyewe alikuwa akisema:
“MUNGU WETU WA MBINGUNI AWABARIKI SANA.”
English version

RE: Hon. Amb. Humphrey H. Polepole,

1st of all we apologize most profusely for the hiatus in the provision of updates during the very dark days; but as You can all understand, those were the darkest days of our existence in this Country, and the immediate priorities were survival.

There were curfews, outages;many dark things that must be excorcised from the National psyche.

A darkness of a different kind, a ghostly haze, still abounds, but we will prevail.

Secondly; we, His and His family's lawyers are still giving it our very all in courts, such battles are never an event, but a passionate process. As always; we will be relentless in our lawyerly endeavours to ascertain the fate of Hon. Amb. Polepole, the hope being that we will be re-united one day.

For now;please ignore speculations that had been bandied about regarding this discovery, at this or that seafront. It is all very traumatizing to the family.

I shall remain the Polepole Family spokesperson on all matters legal; or those with legal implications.

As Humphrey himself would say "MUNGU WETU WA MBINGUNI AWABARIKI SANA".

Soma pia
 
Kama watu wamepigwa mkwala hivi

Kiu ya watanzania nikumwona pole pole Kama anavyo onekana A.K.A CHUO CHA SHARIA

kwanini Yana tumika maelezo malefu badara ya kufanya kitendo kimoja tu Cha kumwonyesha huyu bwana?

Mungu ibariki Tanzania mungu wape busara na hekima viongozi wetu wa Tanzania
 
Back
Top Bottom