MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Hatari sanaMovie ya kipindi cha apartheid system RSA.Ms.Masumbuka/Whoopie Goldberg alivyosumbuliwa na makaburu.Tofauti na Tanzania,hakuna makaburu bali ni makaburi yenye vitisho/CCM mfu.

Kumbe wewe ni retired kweli 😁 Ila Jf hii usikute huu ni mwaka wa kuzaliwa baba yakoLoh! Kumbe juzi tu ulikuwa UDSM mwanafunzi....! nilitoka pale 82
Lina umuhimu wake huwezi futaIlo somo la siasa lifutwe
Hakika jina lako linasadifu wasifu wako, ilike it.Loh! Kumbe juzi tu ulikuwa UDSM mwanafunzi....! nilitoka pale 82
Hilo ni somo huko chuoni we boya. Ni sawa ukawakamate wanajeshi wanaofundisha watu kutumia silaha, kisa huko mitaani kuna watu wana ujuzi wa kutumia silaha .Na mhadhiri naye alikuwa anaamini anaweza kuhamasisha watu wakaandamana yani ukishakuwa chadema tu hata akili inayeyuka.
Mkuu nimemsikia Kibatala leo akiunguruma pale Kisutu, kwamba kuna sheria ishapitishwa ya namna hiyo lakini inakandamizwa.Mitaala yao ipitiwe upya,wakajifunze pia kwa walioweza na waache kuajiri failures.
1.Tuwe na kanuni zitakazo walazimisha polisi kukamata watu baada ya upelelezi wao kukamilika.
2.Mahakama ikiambiwa upelelezi haujakamilika,imuachie huru huyo mtu hapohapo nawamlipe fidia.
Kuhamasisha maandamano ni kosa?.Na mhadhiri naye alikuwa anaamini anaweza kuhamasisha watu wakaandamana yani ukishakuwa chadema tu hata akili inayeyuka.
si bora afukuzwe tu, mie nina hofu watampoteza kama yule kijana wa Mbeya aliyechora picha ya ChuraKiziwi na kuichomaCCM watamfukuza kazi.
Yaani hii nchi kuwa na akili za bi msumi ndio utaishi kwa amani manniner
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imeamuru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, aachiwe kwa dhamana kuanzia Julai 21, 2026, wakati upelelezi wa tuhuma za uchochezi zinazomkabili ukiendelea.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Joachim Tiganga wakati wa usikilizwaji wa Shauri Na. 15653/2026.
Kaijage amekuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano yaliyojulikana kama "Sabasaba".
Upande wa Serikali ulieleza mahakamani kuwa haukuwa na pingamizi kwa maombi ya kumwachia kwa dhamana, na kwamba taratibu za dhamana zinaweza kuendelea kwa mujibu wa sheria.
Wakili wa mwombaji, Prosper Malangalila, alidai kuwa mteja wake alikaa mahabusu kwa siku 12 bila kufikishwa mahakamani, licha ya kosa analotuhumiwa kuwa linadhaminika.
Soma: Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba
Malangalila aliiomba Mahakama iamuru Kaijage aachiwe kwa dhamana, alipwe fidia kwa kuzuiliwa kwa muda huo na Serikali pia ilipe gharama za maombi hayo.
Baada ya kusikiliza hoja za pande zote, Mahakama iliamuru Kaijage aachiwe kwa dhamana, lakini ikakataa ombi la kulipwa fidia.
Mahakama imeeleza kuwa baada ya upelelezi kukamilika, Kaijage atafikishwa mahakamani kujibu rasmi tuhuma zinazomkabili
Nje ya Mahakama hiyo, tumezungumza kwa ufupi na Wakili Prosper Malangalila ambaye ni Wakili wa mleta maombi.
82 nasoma chekechea za kunywa uji nyuma ya kituo cha Polisi Mbeya pale..Duh 82 nipo la sita B.
Sasa nchi yetu haipo tayari kwa siasa wala vyama vingi. Watu wakiingia madarakani wanajiona ni MunguLina umuhimu wake huwezi futa
Unaweza kukuta kuna ofisa mmoja kampenda mke wake kaamua kumuweka ndani ili tu ajilie tunda la mke wa mwenzake kimasihala, maana nchi ilipo fikia sasa hakuna haki tena polisi ana weza kufanya chochote kile na akaenjoy maisha kwa furaha wakati wewe unateseka
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imeamuru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, aachiwe kwa dhamana kuanzia Julai 21, 2026, wakati upelelezi wa tuhuma za uchochezi zinazomkabili ukiendelea.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Joachim Tiganga wakati wa usikilizwaji wa Shauri Na. 15653/2026.
Kaijage amekuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano yaliyojulikana kama "Sabasaba".
Upande wa Serikali ulieleza mahakamani kuwa haukuwa na pingamizi kwa maombi ya kumwachia kwa dhamana, na kwamba taratibu za dhamana zinaweza kuendelea kwa mujibu wa sheria.
Wakili wa mwombaji, Prosper Malangalila, alidai kuwa mteja wake alikaa mahabusu kwa siku 12 bila kufikishwa mahakamani, licha ya kosa analotuhumiwa kuwa linadhaminika.
Soma: Mhadhiri UDOM akamatwa kisa Maandamano ya Sabasaba
Malangalila aliiomba Mahakama iamuru Kaijage aachiwe kwa dhamana, alipwe fidia kwa kuzuiliwa kwa muda huo na Serikali pia ilipe gharama za maombi hayo.
Baada ya kusikiliza hoja za pande zote, Mahakama iliamuru Kaijage aachiwe kwa dhamana, lakini ikakataa ombi la kulipwa fidia.
Mahakama imeeleza kuwa baada ya upelelezi kukamilika, Kaijage atafikishwa mahakamani kujibu rasmi tuhuma zinazomkabili
Nje ya Mahakama hiyo, tumezungumza kwa ufupi na Wakili Prosper Malangalila ambaye ni Wakili wa mleta maombi.
Analaana baba yako ndio maana alizaa takatakaNadhani unashida au una laana
Ipo hivyo,na ipo wazi kwanini ipo hivyo,Polisi wameshajiwekea ni utaratibu kukaa na mtu mahabusu ya polisi ni jambo la kawaida kwao na wengine hata mwaka wanakaa.AU
Mwandishi katupa jalalani taarifa muhimu, hajui umuhimu wake
AU
KAMA HII NDIO FULL STORY BASI UELEWA WETU NA UENDESHAJI WETU MICHAKATO YA KISHERIA ni finyu na dhaifu mno
Yani haiwezekani jambo hili kuishia hapo hapo tu kwamba wamesema aachiwe.
MAHAKAMA IMESEMA NINI KILIKOSEWA AMBACHO KIMEREKEBISHWA NA HUKUMU HII NA KWAMBA KWA TAFSIRI MPYA YA LEO JAMBO HILI HALITATOKEA TENA ????
DHAMANA HAZIDAIWI MAHAKAMANI. UNLESS KUNA PINGAMIZI! HATUWEZI KUWA TUNAENDA KUDAI DHAMANA MAHAKAMANI.
HAIWEZEKANI SERIKALI IKAJA MAHAKAMANI KUSEMA HATUNA PINGMIZI HALAFU PAAAAP, KESI IMEKWISHA! TUNACHEKELEA MITAANI.
ILIKUWAJE AKAKAA SIKU 12 ????
INGEKUWA NI WEWE NA MIMI TUNGEPATA POLITICAL PUSH AND FINANCIAL WHEREWITHAL YA KWENDA KUDAI DHAMANA MAHAKAMANI ???????
Somebody tell me this is an incomplete story
Mkuu unawewukaAU

Halafu kila kukicha mnamtukana Kikwete aliewapa uhuru kukosoa na pia kuchagiliwa kwa wabunge wengi wa upinzaniWakati sisi tunasoma pale udsm enzi hizo wakati mabomba bado yanatoa maziwa, kulikuwa na prof. Baregu na prof. Malekela walikuwa wanafundisha political science, na prof. Lwaitama, walikuwa wanamkosoa hadi Kikwete hadharani na hakuna aliyethubutu kuwakamata.